Awiih! Mwanangu mimi huyu, mutoto wa Kikurya si mchezo ati! Pendenza sana binti wa Chambiri, muke ya Mmbando……… Nawakumbusha nyie walevi wa kupenda vya watu ni hivi!! Imeandikwa; “usitamani mke wa jirani yako”!! Tazama hii picha kwa heshima na tahadhima ?? kusifia ruska lakini usisifie sana ??…. Ubarikiwe sana mke mwema!
