Wapendwa wasomaji wangu, naomba mniwie radhi! Ninamambo mengi nimebanwa hivyo muda unakuwa hautoshi ndio maana inaweza pita siku sija blog. Silipwi na mtu kublog nafanya kwa hiyari yangu hivyo nipale tu ninapopata muda wa ziada ndipo ninapoweza ku blog!……………Kwasababu hiyo kuanzia leo katika kile kipengele cha “Kutoka Facebook” nitakuwa nawaletea picha zaidi ya moja kufidia siku ambazo sitakuwa na blog!……… Haya leo nimezipenda hiziFoster (Bongoland), kapendeza sana na top yake ya kitenge…..love the colors
Fina (Australia), kapendeza sana na B&W suit, pia nimependa sana kiatu chake
Hawa (Queens land a.k.a UK) nimependa sana muonekano wake na pozi la kujiamini….nice!
Congratulations????
Sijajua to whom that goes to, but, let me say thank you on behalf of everyone!