Leo nimependa sana hii picha. Ma watatu kama apendavyo kujiita, ni mama wa lile jeshi la 3 soldiers, wale watoto handsome twin boys na mdogo wao mmoja. Wajina wa mama yangu umependeza sana. Kweli wakina Cecy ni wanawake warembo sana na wanahekima nyingi! Ubarikiwe mpendwa.
