Leo kutoka Facebook nimependa sana hii picha ya classmate wangu henzi za Nurulyakini Secondary school. Yeye anaitwa Shahan Nyamasagara na huyo ndio “barafu” wa moyo wake ? pendeza sana met ake na mimi. Wewe nakuaminia kuwa wifi yangu yupo kwenye mikono salama kabisaaaa! ? Mungu azidi ilinda ndoa yenu, upendo, amani, furaha, vikadumu ndani yenu. Mbarikiwe sana wapendwa

Asante sana met wangu kwa maneno m azuri na ya faraja kwetu zidi kutuombea mungu
Amen!