Leo kutoka Facebook nimependa sana hii picha ya childhood friend and schoolmate wangu Furaha. Kilicho nichekesha ni haya maneno ambayo aliambatanisha na hii picha ? “Kuna MTU aliniambia hiviii “kila picha wewe unapost sura tu… Miguu wewe huna?!!!”…??? hiyo hapo Tena midhuriiii?? au unataka uone na goti kabisa? Hahahaha No way..???? Likizo njema bandugu.. Tuombeane heri tuumalize mwaka salama.. Amina…” ?
Yani ninecheka sana!……….Ubarikiwe mpendwa
Thanks my friend Alpha Igogo… ?????? Yaani unanikumbusha enzi zetu za keko juu… thanks once again girlfriend…
Hahahahaha! you are welcome my darling, those were good old days in Keko Juu. God bless you