My sister! Umependeza, na weusi wako usiyo chuja. Wapendwa wasomaji wangu huyu ni dada yangu mtoto wa marehemu baba yangu mkubwa. Yeye anaishi Tanga na familia yake. Mdogo wake ndiye yule anategemea kuowa yule wifi yetu mpya toka Tanga. Nime m-miss sana, love you sister!
Mimi penda yy mingi mingi
??
Ata mimi nawapenda dada zangu wote. Mbarikiwe sana