Leo nimependa picha ya hawa ma twins. Wakiswali swala ya maulidi. Huwa napenda sana twins hasa wakifanana but no more babies for me I am n done!! ??Juzi kati ilikuwa ni birthday yao na mama yao aliwatakia kheri ya siku ya kuzaliwa kama ujumbe hapo juu unavyo someka. Nami nasema kheri iwe kwenu mnapo anza mwaka mpya wa maisha yenu. Mbarikiwe sana.