Lilian katika harakati za kupunguza mafuta na maji mwilini. Najua kuna mtu atawaza eti “maji mwilini”! Yes! Siyo kila mtu mnene anamafuta mengi mwilini mwake. Wengine ni wanakuwa wana maji zaidi kuliko kiwango cha kawaida ambacho mwili utakiwa kubeba! Hizo picha hapo juu ☝ ni picha za mwaka jana (2015) na hivyo ndivyo alivyo kuwa. Hii ? alipiga mwanzo mwa mwaka huu (2016) . Kapendeza sanahapa ni picha yake ya sasa Yeye amekakazania sana mazoezi ya nguvu pamoja na diet. Naona ana ruka kamba, anaogelea sana, ana kimbia, pamoja na mazoezi mengine kama kuendesha bicycle………. Hongera sana Lilian.