Huwezi kumuonyesha KIPOFU NJIA kwa kumtembeza gizani kwani yeye ni kipofu na haoni kama yupo gizani!! Huwezi kumfundisha mtu ambaye ni “bully” kuacha ku-bully watu just by doing the same thing wakati hicho ndicho anachokijua na ku- experience in his / her whole life!! Love! Love! Love! Kama Yesu alivyo tupenda sisi nasi tupendane vivyo hivyo!! Love conquers all!…………Kwa msionifahamu mimi naitwa Alpha Igogo na Upendo ndio Dini yangu! Nasema hivi My name is Alpha Igogo and Love is my Religion! Mbarikiwe wote.