Regrann from @mspaulsen - The smiles when a you are a single mother and get to wittness your daughter,s wedding...... I can proudly say I know how she feels. It's the best achievement and a blessing . The feeling is unexplainable. I wish this to all single mothers out there we rock ???thanks God and our daughters for making us proud - #regrann Maneno ya kugusa moyo haya kutoka kwa Madam Rita Paulsen. Je, wewe umeahawahi kukutwa na hali kama iliyomkuta Madam Rita? Yani ukaona mtu anapitia jambo au anakutwa na kitu fulani (jema au baya) halafu zile hisia zake ukahisi ni wewe kwasababu huwenda nawe unapitia kitu hichohicho au ulishawahi kupitia huko nyuma? Kwanini nime share nanyi hii " status" ya Madam Rita, nikuwa maisha ni fumbo, ukimwona kichaa yupo uchi usimcheke kwani hujui yakesho! Watu pekee ambao wanaweza kuelewa kwanini yule kichaa yupo uchi na nijinsi gani anajisikia niwale ambao walishawahi kuweuka! Nawale ambao wanajua thamani ya kuwa na akili timamu niwale wale uliowahi kuwa vichaa. Ndivyo ilivyo hapa, only those who are or have been single mothers before ndio wanaoelewa ujumbe wa Madam Rita na furaha ya mama Princess Megan. ***Siku zote dharau maiti siyo binadamu mwenye pumzi ya uhai***
Related