Regrann from @monalisatz - Dear Mama, Najisikia mwenye bahati mno kuwa mtoto wako.Umekuwa mama bora kwangu,bibi mzuri kwa watoto wangu,rafiki yangu wa karibu, mfanyakazi mwenzangu, kila kitu kwangu. Sijui ningekuwaje bila wewe? Mungu akutunze mama yangu. Nakupenda kila saa, Nakupenda kila siku. Happy birthday Mama @natashamamvi - #regrann