Aren’t they cute?! Wamependeza sana halafu wazurije! Regina umebarikiwa watoto wazuri sanaaaaaa na familia nzuri mno, hongera!
Nyie ni warembo sana ?
safi sana, mother and son ?
Dada na kaka, wazurije sasa. Wamependeza sana ?
Mbarikiwe sana wapendwa ??
