Mama yangu ndani ya California ??amekwenda kutembelea ndugu, jamaa, na marafiki ambao wanaishi katika jimbo hilo. Kwanza namshukuru sana Mungu kwa kumfikisha salama. Pili nawashukuru ndugu na marafiki wa California kwa kumu host mama yangu, haswa Ruth Ogot (gal!! Sina cha kukulipa zaidi ya kusema asante sana ubarikiwe milele). Haya mama enjoy your stay! ???