Hahahahah! Nimependa hayo maneno ya kwenye Tshirt “Smart Luo Man”! Huyu kama humfahamu ni mdogo yake na mimi. Yani huyu ndo alikuwa kitenda mimba kwenye familia yetu. Mara Blessing huyo akaja ?? sasa Blessing ndio mdogo wetu wa mwisho, I guess ?? Yeye ni Dr. wa mifugo na hapo I guess alikuwa kazini maana naona kama mabanda ya mifugo kwa nyuma.