Mke mwema havutwi kwa mwanaume kwa pesa zake au cheo chake, mke mwema huhitaji MUDA, UAMINIFU, MAPENZI, KUJIAMINI NA UCHAPAKAZI. Mapenzi kamwe hayawezi kuleta chakula mezani au kulipa bili, inahitajika pesa, ila penye upendo pana matumaini na utulivu wa nafsi, hivyo ni rahisi kuwa na moyo wa kutafuta PESA. True or False?
Wapendwa naomba mnisamehe sana. Huyu kaka niona hii status yake kwa Facebook ya mtu ambaye ali share. Tatizo nimesaha jina nimejaribu kukumbuka lakini wapi ?? please kama utasoma hapa naomba uniambie jina lako. Au kama mtu unamfahamu please naomba mfikishie ujumbe ?
So true. Speaking from experience. I pray that all women get this. It is TRUE!!
It is true that, kwenye upendo, unapata nguvu ya kutafuta, ukiwa na amani ya moyo.
Amen! ….
My dear wala usiweke email address siyo lazima. Asante sana
Very quickly this website will be famous among all blog people,
due to it’s pleasant content
Thank you ?