Anna Kweka aliingia ukumbini kwa furaha na madaha kabisa….
Nakutakiwa kheri na baraka zote zifuatane nawe katika hii safari mpya ya maisha yako. Mungu akuongoze , ukawe mke mwema, ndoa yako ikajae furaha na amani siku zote! Mbarikiwe sana wewe na mwenza wako ? Kwa kifupi Anna Kweka ni rafiki yake mdogo wangu Magreth mwenye gauni la purple hapo juu (second from left)……….Najua Anna alipendeza sana lakini kikubwa kilicho nivutia mimi ni style yake aliyo itumia kwenda kumuinua her husband to be ….. . embu tazama video hapo chini ?
Amependeza kwakweli, inavutia saaaaaaana