Hongera sana Dr Nai, nakutakia baraka tele katika safari ya hii ya maisha yako mapya unayo tarajia kuanza. Mungu akutangulie katika kila jambo na mipango yote uliyo nayo! Fundi / designer wako anajua sana ku-designe na kushona nimeangalia nguo zake kadhaa kwakweli ni mtaalam! The Doctors themselves! Pendeza sana…….hongera pia kwa mama Dr. Victoria Kisyombe kwa kule binti na sasa unamuozesha. Mungu kumbariki sana. And once again congratulations to you Dr. Nai!