Familia ya Mbuna. Mama na wanae
…..#Family…..
Katika pita pita yangu huko Facebook nilikwenda kuchungulia kwa Foster nikakutana na huu ujumbe juu ya #Family. Ukanigusa sana nikaona ni share nanyi. Nilishawahi sema huko nyuma kuwa mimi ni muumini wa philosophy inayosema ‘There’s no perfect family on this earth’! Nafurahi kuona Foster naye ni mmoja wa waumini wa hii philosophy. Kila familia ina matatizo yake, na hakuna njia iliyo sahihi ya kutatua migogoro ya familia ambayo inaweza tumika katika familia zote nudiani kwani kila family ni Unique! Hivyo matatizo yaliopo ndani ya familia yatatatuliwa na wanafamilia husika. #WhenIt’sFamily When it’s family you forgive them for they know not what they do
When it’s family you trust them and your heart’s an open doorWhen it’s family there’s a mirror of the worst and best in youSome are fighters, others faint!……Winners, Lossers, Sinners, Saints it’s all family But not a one is turned away when it’s family And just pray to God to do the rest when it’s familyFoster, please accept my sincere appreciation for allowing me to use your personal and family pictures without any problem, indeed free of charge! In all honestly I have used your pictures in so many occasions and at times I felt guilty; ? but you never made me feel that way. You gave me the freedom to pick and choose as I pleased! You made me feel like I’m one of your #Family!! My dear Foster, mimi Alpha sina cha kukulipa bali nakuombea kheri na baraka tele katika maisha yako na familia yako yote!
May you all (the Mkapas’, Mbunas’, Kalanjes’, and others) have a very happy holidays, with all the blessings and love from God! ??❤❤ #WhenIt’sFamily