Isn’t that lovely! Too cute to say the least!!…… Sina mpango wala nia ya kuzaa tena mtoto mwingine. Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa mtoto wangu mmoja aliyenipa bila kuangaika kama wanawake wengine wanavyo angaika! Nampenda sana mtoto wangu, and always I feel proud to say “she is my only biological child / daughter”!! She’s just PERFECT the way she is (only child)! Nasikiaga na kusoma wanawake wengine wanasema kuwa “he completed me” wakimaanisha WAUME zao. But ma’am! To me is definitely different MY DAUGHTER COMPLETED ME!………Lakini pamoja na kuwa sina mpango wa kuzaa tena haimaanishi siwezi furahiya wanawake wenzangu ambao wapo kwenye ‘parenthood’! Mie sinaga hizo! Furaha ya mtu mwingine naona sawa na furaha yangu! Hivyo sipatagi shida kumsifia mtu au kufurahiya kizuri cha mtu mwingine hata kama anijui!…………. Anyway, napenda sana huu muamko ambao watu wamekuwa nao siku hizi wa kuvaa SARE na watoto zao! Inapendeza sana. Niliona hiyo picha ya juu kwa Wema Sepetu nika Click link ya Aunt Ezekiel nakukutana na picha zaidi……,…Wamependeza sana. Mungu awabariki siku zote!