Nawapendaje hawa watu! Mama na kijana wake! Kwa msiyo wajua hapa ni mama yangu mzazi ambaye ni mama mlezi / mama mdogo wa Mzee William (pembeni yake). Mzee William yeye ni mtoto wa marehemu baba yangu mkubwa. Yeye amekulia nyumbani kwetu toka ana miaka 4; ameanzia chekechea akiwa kwetu hivyo amelelewa na wazazi wangu…… tunamuita “mzee” kwa heshima ya kupewa jina la babu mzaa baba “William”. Hapa ilikuwa ni 2012 huko maeneo ya Kunduchi beach nyumbani kwa kaka yangu mkubwa. It’s not a throwback day but since it’s his birthday I decided to be nice by throwing back this ?? Happy birthday brother!❤❤