Jackline na wanajeshi wake!…… Can you imagine sikuwahi kufikira kuwa watoto wa Jackline wanaweza tembea peku peku ??Naomba msinifikirie vibaya I mean it well! Yani achilia mbali kuwa ni watoto wa Billionaire Mengi hivyo uwezo wa kununua viatu wanao ila kweli kabisa nilikuwa na muona Jackline ni “germophobe” fulani hivi. Na hivi uwezo wa kuishi that life (germ free) anao basi nikadhani watoto wake hata hawawezi kanyaga sakafu bila viatu au socks fulani hivi ?? Masikini kumbe dada wa watu yupo very-very simple! Kha!…………. Anyway wamependeza sana. Pia wazazi wengine muige mfano wa Jackline money doesn’t define who she is! Big up! Nakupenda zaidi ya jana ?? Mbarikiwe