Harusi ilifungwa siku ya Jumapili July 1st, 2018 katika kanisa la Houston International S.D.A…. bibi harusi alisindikizwa na kukabidhiwa kwa Bwana harusi na kaka yake (mdogo wake) aitwaye Robert. Mchungaji aliye fungisha ndoa alikuwa mtumishi wa Mungu Pastor Caleb Migombo kutoka North Carolina. Maharusi wakitoka kanisani baada ya kuunganishwa kuwa mwili mmoja. Tunawaombea kheri katika safari yao hii.