Awii! Aren’t they cute! wamependeza sanaaaaaa! ??? si kwa mapozi haya jamani kha! Sasa hapo ulikuwa unaimba ‘Zari lala’ badala ya “Latty lala” lol! Pendeza sana baba Tee na mama Tee wa ukweli ❤❤
Jamani ratiba ya tour si mmeiyona? Kama bado tazama hapa ? hutakiwi kupitwa na hii history ?