Our 2016 Hottest And Best couple katika ubora wao! Wakiwa katika sherehe ya uzinduzi wa hatua nyingine mpya na nzuri ya LB for IDE´AL clothing line iliyo fanyika jijini Atlanta Georgia………Hongereni sana. Nawatakia mafanikio mengine makubwa zaidi ya haya!
kwa picha zaidi kuhusu tukio hili bonyeza hapa au tembelea ukurasa wa Facebook wa Linda Bezuidenhount
![](https://i0.wp.com/www.alphaigogo.com/wp-content/uploads/2016/08/Screenshot_2016-08-16-22-49-53-1-1.png?resize=672%2C345&ssl=1)