Nawatangazieni walevi wote, heshima muhimu kwani huyu sasa ni mke halali wa Mr Francis Eron owino Ang’iela! Hongereni sana. Nawatakieni maisha mema, ndoa njema, furaha, na amani ndani ya nyumba yenu! Wana waka waka…… Wana meremeta….. Mtu na binamu yake, pendeza sana Jamani naomba nimtambulishe shangazi yangu kipenzi mama wa bibi harusi. Ni huyo ☝ aliyevaa kitenge. Na pembeni yake ni mama yangu mzazi. Mjomba wangu ambeye ni baba mzazi wa bibi harusi hakuweza kushuhudia tukio hili la kihistoria kwa maisha ya mwanae kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wake! ……. Miaka zaidi ya mitandao (5) oliyopita baba wa bibi harusi alipatwa na ugonjwa wa kupooza mwili ambao umemfanya amekuwa mlemavu wa viungo na partially blind! Hivyo hawezi toka nje ya nyumba yake……. tunamshukuru Mungu kwa yote! ?? mama zangu nawaona!….. kitu ambacho sielewagi ni kwanini maharusi huwa wana kwenda baharini ?? don’t get it ??? mtoto wa shangazi yangu Maria Otedo mama Ngosha na kuona mwenyewe kwenye mapozi ya habarini na shangazi yako lol! wow! Mtu na mama zake! Pendeza sana. Lawyer, I love your outfit! So cute!Pendeza sana wapendwa Nani kama mama! Mama Igogo I love your shoes ? Nice one! ??? hii picha kila nikiitizama naishia kucheka! Sijui mlikuwa mnaimba nini Magreth utafikiri ulikuwa unamsuta mtu lol! Blessing naye alikuwepo making her own show lol! Kwa mara nyingine tena, hongereni sana maharusi. Wishing you the best!