Regrann from @j_n_mengi - You’re my everything, I couldn’t have asked for a better man to call my husband. Thank you for spending your life with me and thank you for a beautiful love. Happy Anniversary to us.❤? - #regrann Awwih! How did I missed this?!! Happy belated anniversary baba na mama wawili. Mungu zaidi mimina baraka zake kwenye ndoa yenu na familia yenu!..... Jamani kupendwa raha jamani haswa akiwa mumeo halali siyo wakuiba ?? Hivi mnafikira Mrs Billionaire atakuja kuzeeka? Subutuuu! Siyo kwa mahaba hayo! She will forever be 21 ati ?? mtazeeka nyie na ndoa zenu zilizo jaa stress ???? .....Halafu ona mtu na elimu na pesa zake lakini anaheshimu na kumpenda mkewe namna hii lakini wale wenye vijincent vya kubadilisha mboga ni shida! Roho mbayaaa kama walizaliwa kwenye mitaro ya maji machafu ?? ........... Mama wawili please tulete Dr Mengi Houston kwenye Customer appreciation day please. Tunataka tujifunze mambo mazuri ya biashara toka kwake. Kwani wewe hutaki na sisi tuwe na uwezo wa "tuela" tudogo vya kwendea vacation? Please we need to hear his wisdom Mrs Billionaire. Sharing is caring please do. Thank you in advance