? ????…….. Mtu chake apendacho hakina hila machoni uridhika kuwa nacho japo hakina thamani eee ?? mapenzi nayo hayafichiki mapenzi yako moyoni mwangu??? mwenye mapenzi haoni iii ingawa macho anayo!!………………. nyie mtakazana kusema ooh! Bibi kizee, sijui anawatoto 7, kaachika mara 5; wenzenu ndio kwanza mapenzi moto moto wako busy wanatafuta pesa ?? Anyway, nimependa sana hizi picha nikaamua kushare humu! Huu si ndio ule mwezi wa “mahaba” ?? basi nitajaribu kuwaletea picha za couples zaidi. Halafu endelea kutembelea hii blog tarehe 14 siku ya Valentine Day nitawaletea couple ambayo nitaona inafaa kuwa the best for 2016. Kama hukuona nani alitwaa taji mwaka jana basi chungulia hapa shukran!