“MWANAMKE USIPOJITAMBUA NA KUJIELEWA UKAJIAMINI UKAWA NA MSIMAMO BASI UJUE UTATUMIKA KILA SIKU NA KILA MTU KAMA KOPO LA CHOO CHA KULIPI”

Regrann from @open_kitchen2014  -  Mwanamke  anayejiamini  she looks so sexy and classy  mwanamke anayetambua thamani  yake always  anajiheshimu  na anasimamia kile anachokiamini  na hata mume wake  atamuheshimu daima milele kwasababu anajua  umuhimu wake na mchango  wake katika familia ? ? Lakini pia heshima hiyo na kujiamini huko  hakuji kwa urahisi kwasababu ni kitu ambacho  anajengewa toka akiwa mdogo na wazazi (Mwenyezi Mungu  awarehemu wazazi wangu ) lakini  namshukuru sana mama yangu  kwa kunilea na kunifundisha what it means kuwa  mwanamke na sio mwanamke tu bali mwanamke anayejiamini 

Kila siku alikuwa anatufundisha  ukijua kufanya kazi na kusimamia familia  basi ujue  kamwe hakuna atakaye kuangusha  kirahisi  utaheshimika kuanzia na  wadogo zako mpaka  watu wazima kila utakapo ingia mahali kila mtu atatambua uwepo wako na atakupa heshima yako  iwe ni nyumbani kwako ,kazini kwako,au  popote  pale ?

?  Malezi na misingi mizuri ya maisha  ndio  zawadi bora kabisa ambayo mama anaweza kumpa mtoto 

Ukimpenda sana mtoto  wako  lakini ukashindwa  kumlea katika misingi mizuri  na kumwongoza aweze kujua nini maana ya  kujiheshimu ,kukuheshimu ,na kuheshimika  ni sawa na  kupaka chokaa kwenye nyumba ya nyasi  TAFAKARI ?

MWANAMKE USIPOJITAMBUA  NA  KUJIELEWA UKAJIAMINI UKAWA NA MSIMAMO  BASI UJUE UTATUMIKA  KILA SIKU NA KILA  MTU KAMA KOPO LA CHOO CHA KULIPIA ???????  - #regrann

Leave a Reply