Regrann from @neema_ndepanya - Niandike nini sasa kuhusu wewe mwanamke jamani?? My mom
My Everything
My woman
Mungu wangu wa pili duniani
Am speechless???
HAPPY BIRTHDAY Mwanamke uliyenifanya niwe hapa nilipo...
Nakupenda sana mama angu!!
@kisa_ndepanya @kisa_ndepanya - #regrann
Nami naomba niungane na Movie Director wanguvu kumtakia mdogo wangu kipenzi Kissa Ndepanya kheri na baraka ya siku ya kuzaliwa kwake. Mwenyezi Mungu aliyejaa neema akuzidishie baraka zake kimwili, kifedha, na kiroho. Happy birthday Kissa, love you babysister ?❤
Related