Mimi #Zezeta zezeta! Huu wimbo ni mtamu sanaaaaaa! Namshukuru my Muhaya kwa kunitumia huu wimbo lakini bado najiuliza sijui kati yangu mimi na yeye nani #Zezeta kuliko mwenzake ???? au ni Ma-double Zezeta ?? …………Honestly, Rayvanny hajawahi kuniangusha na nyimbo zake. Nimeusikiliza huu zaidi ya mara tano, na hata bado hamu haijaniisha! Safi sana! ??
