Kama si wewe Bwana tugekuwaje sisi?! ….. Usifiwe msalaba wa Yesu, lisifiwe kaburi la Bwana linalo zidi yote asifiwe Mwokozi ? ❤ Mtu na bibi yake katika pozi siku ya jana huko Austin, Texas tulikwenda kushangaa kidogo kwenye Makao Makuu ya Texas state. Birthday girl katika pozi ? Leo ni birthday ya mwanangu, ili kuingiza kumbu kumbu katika blog hii basi naomba niseme Happy birthday Mercy! May God give you all that your heart desires for His glory, Amen! Saa nyingine lazima uiname chini ili uweze kuinuliwa juu! #BeConfidentYetHumble
In today’s world of technology and social media no generation should left behind ??Nahisi walikuwa wananiteta ?? Siku zote salama panapo upendo kila sauti ni tamu panapo upendo ?
One thought on “Ni kwa neema tu!”