Zamaradi, I salute you mke mwenzangu! Umenena mama kama mwanamke anaye jitambua na kujithamini! Hands-off ? Angalau sasa nina uhakika kuwa shemeji yangu ana kwakwe sio #Yakhaya ??………. Mungu akujaliye yale yote mema ambayo roho yako inatamani! Lovely!

One thought on ““Nimekuweza, Umeniweza, Tumewezana”- Zamaradi Mketema”