“Nitakulinda nitakupenda na kukuombea pia hiyo ndio kazi yangu.Mengine tumwachie yeye aliye juu ayatimize kwa wakati usiogope Mimi ndio askari wa Mungu niko kazini ?❤️❤️❤️❤️❤️? ” ~~~~~~ Mrs Paul Makonda
Jamani!! Huyu wifi yangu siyo wa dunia hii kwakweli!! Hivi anawezaje kusimama strong na kutembea bila woga wakati shetani na majeshi yake yanamuandama kila kona!!! Kweli Mungu ni muweza wa yote!! Such a phenomenal woman! Great role model to many of us!! May Almighty God richly keep blessing you. ?❤