2nd Inauguration day……………kumbe nao wanakunywa maji ya DASANI! mimi nilifikiri wana maji special made in WhiteHouse?? ……..haya endelea ku enjoy pichaHahaha! ???Dont walk in front of me I may not follow! Don’t walk behind me I may not lead! Walk beside me just be my friend!!mnaona kampa jacket mkewe asipigwe na baridi eeh? what a gentleman! Nakumbuka kuna mkutano mmoja hivi wa Wasabato ulifanyika jangwani miaka ya nyuma. Basi Mchungaji mmoja (alikuwa ameletwa nafikiri kutoka America) anaitwa Phiz Henry. Katika kuhubiri kuhusu upendo akaita wazee wakanisa wote waje mbele na wake zao. Yani ilikuwa kichekesho cha mwaka ???
- Wengi walikuwa hawajakaa pamoja na wake zao hivyo hawakujua walipo
- Walio waungwana walitoka kwenye viti na kuwasubiria wake / waume zao kwenye aisle
- Wasiojali walisonga mbele kivyao vyao
- Mchungaji akasema kila mtu amgeukie mke / mume wake washikane mikono. Wale walioenda mbele bila kujali mke wake au mume wake amesimama wapi wakabaki wanashangaa ?? wakaanza kugeuka kuangalia wapi partners zao wapo. Kumbe Mchungaji anawachora tuu, huku washiriki wakicheka
- Mchungaji akasema kila mtu am kiss mke wake ?? ilikuwa balaa!! Kuna waliogeuka na kumuangalia Mchungaji kama alikuwa anauwakika na alicho kisema ?? wengine walifanya kama walivyo agizwa bila shida yoyote
- Conclusion: Upendo wa kweli uwanzia nyumbani! When you truly love someone you can’t be ashamed of them (“But whoever denies me before men I will also deny him before my Father in heaven” Matthew 10:33). Wale wanao pendana walionekana toka mwanzo. (1) kwanza wanakaa pamoja kama familia au walisubirina kabla ya kwenda mbele (2) zowezi la kumshika mkono na kumbusu mkewe alikuwa shida kwao
lovely Obama : “unajua wanatuonea wivu hawa” ……..Michelle: “aah!” lol I love that dress! mmh! need a shoulder to lean on Obama!
Only in America ??? hii ilikuwa hivi karibuni. Halafu angalia binti yake pamoja na Joe Biden walivyo busy na mpira wakati wenzao wako busy na kiss ?? …………….kwakweli tutawa miss wakitoka WhiteHouse ???