Jamani wapendwa naomba mnisamehe ratiba ziligoma kidogo hivyo ilikuwa ngumu ku-blog. Na kwasababu hiyo nimeshindwa kuwatakia kheri ya siku ya kuzaliwa kwa ndungu, jamaa, na marafiki ambao wamezaliwa tarehe hizi za mwanzo wa mwezi October. Hivyo basi naomba nichukuwe nafasi hii kuwatakia kheri ya siku ya kuzaliwa wale wote ambao wamezaliwa mwezi huu. Nawaombea maisha marefu yalio jaa upendo, amani, furaha, na afya njema. Mbarikiwe wote.
Happy belated birthday Lucy Happy belated birthday da Rozalia na wengine wote walio zaliwa mwezi huu.
Asante sana mdogo wangu, mungu akubariki sana
Unakaribishwa dada yangu!
Unakaribishwa. Ubarikiwe.