Facts of life: *Throw Away That Degree Otherwise You Will Die Poor* ??? ✊Things have changed so we must change too, Universities in the 60s used to produce 1000 graduates each year and they would get jobs even before finishing, but now each year we graduate more than 80,000 from over 30 universities and 100 institutes. ??♂Where are these people going? Even if We pray day and night, we can't have jobs for even a quarter of these graduates. _The education system only trains one to be a slave to another, work for someone for a pay cheque and make sure his dreams are achieved, it doesn't prepare us for the current competitive world where almost everyone has gone to school._ ?Most of the Educated people in Africa are poor not because they are dense but the way they see things just doesn't apply to the real world. ??The lucky ones who get a job earn less than 600k for a salary before tax and other deductions. When the deductions are put into consideration, the net salary comes to around 400k. The net salary then suffers from loan deductions, The landlord then demands for his 300k and monthly shopping takes away 100k leaving one with 0shs The taxi will demand for 6k going to and from work and other emergencies come in. The whole salary is gone and borrowed money starts working. ? Most of the degree holders are poverty stricken, borrowing money to buy smart phones, nice clothes, shoes, makeup ,chicken and chips, pizza, and a small car for shobies. ??The biggest excuse for getting paid such low amounts of money and having to sit and work for another person for 30 days is *THE DEGREE* that one possesses and that’s all. This has made most of the degree holders very poor and will die that way most likely. ? _*A degree holder does not know how to generate money even from the simplest thing unless that money is generated for the employer. He is so dependent on the salary that he can do anything to get a job but will not think of starting a business of his own to employ others not even operate a chapati Business where he can make 30k a day.*_ ▪A degree holder is not prepared to sell chips but enjoys them with friends every 3days in a week, my brother think of doing business here ▪A degree holder is not trained how to make money from school yet it's the order of the day in the real world. ▪A degree holder is not prepared to sell second hand clothes but is very happy to be employed by the business owners and is very good at buying expensive clothes ▪A degree holder is not prepared to make 1.5M monthly doing his own business but is very happy to work at the Till in a bank getting paid 500k. ▪A degree holder is not prepared to start a company and grow it in 2 to 3 years but will spend 4 years searching for a job and works for 30years pushing another person's dream. ▪A degree holder is not prepared to sell food to students but will be happy to be reporting to a boss with no qualifications as long as he is paid 400k for a salary. ▪A degree holder is so eager to get out of this country and work in another country than spend time to develop his own country by creating solutions and innovations. ▪A Tanzanian degree holder would rather sweep the streets of London or USA than start a business and make money in Tanzania – others work in people’s homes as maids. ▪A degree holder in Tanzania will watch movies and music on his laptop all the time but never to write a book or research about business opportunities using the same laptop and make money. ▪A degree holder will blame the government for lack of jobs even when he was on government bursary for him to have his degree. ▪ Tanzania is blessed with people who have master’s degree and others are doctors in different technical fields such as IT and Engineering but all of them have failed to create a cartoon character and develop a movie from the same instead very happy to buy Tom and Jerry for their children thereby promoting America. ?? *At the University I went to, there is an old man very humble and illiterate. He does not speak English but sells Soda at 1500shs and Fresh juice at 500 each making a profit of 600shs on each soda plus 300shs on juice. He also sells chips at 2500shs making a profit of 800shs on each plate. Not less than 30 students buy chips and a drink every single day. This means he makes a profit of 18000 for a soda ,9000shs for juice and 24000 for chips and a total profit of 51000shs Every single day. In 10 days he makes a profit of 510000shs, in twenty days 1,020,000shs that's 1,530,000 a month* ??The degree holder working in a bank at the till gets a salary of 700k every month with nssf, local service tax, pay as you earn and other deductions. ? *Why are the degree holders poor?* Because they have decided to pride themselves in a degree and failed to think better than a man who does not have even a certificate to his name. ?If you want to progress, throw away that degree and start thinking better than someone without a degree. Be prepared to get your hands dirty and work like an ox for your business. ?A lot of opportunities exist in Tanzania but u have to be keen to identify them. ? *Your innovation, commitment, hard work and patience will pay off.* ***Copied from a friend Facebook***
“Ni ushauri wa bure chukua au niachie”
Regrann from @lemutuz_superbrand – FACTS:
- To you all Mamen Mwanamke anayekupenda atakupigia simu wakati wowote katika siku na ukiona hakupigii eti yupo busy sana ujue muongo HAKUPENDI
- First date dinner out mara Mbebezz kaja na wenzake ujue hakupendi ni Muongo
- Ukiona Mbebezz anaogopa kupiga picha na wewe na ana visingizio vingi kama naogopa mitandao babe! ujue ni Muongo anaogopa mtu wake kwako kaja kupima kama una mzigo kuliko mtu wake
- Akikuambia hana mtu ni muongo hakuna mbebez super hapa mjini ambaye hana mtu kwako kaja kupima tu kama una mzigo kuliko mtu wake wa siku zote
- Ukiona mbebezz anaogopa kukukaribisha ofisini kwake au hata ukienda hakutambulishi kuwa ni mtu wake ujue sio hakupendi ila ana mtu pale ofisini anayetaka kumtingisha tu kwa kukutumia wewe
- Ukiona anaogopa kuonekana na wewe Serena Hotel au Kempisk ujue huko ndiko mtu wake anakokua sana
- Ukionasimuyakeikiliaanakimbiapembeniujue ni mtu wake huyo
- Ukiona mbebezz hapatikani kwenye simu yake saa za usiku ujue yupo na mtu wake
- Ukiona Mbebezz hapatikani kuanzia Ijumaa anaanza kukutafuta tena Jumatatu ujue alikua na mtu wake amebanwa
- Ukiona mbebez hataki kukupa namba yake ya simu au eti hana simu ujue ana mtu
- Ukiona mbebebzzz anakuwa mkali sana akisikia umesema unatoka naye ujue hakutaki ana mtu anaogopa utamharibia
- Now guys haya hayahitaji Mwanaume kuwa na PhD ukiona Mbebezz ana hata moja tu ya hizi dalili WACHANA NAYE atakusumbua tu mbele ya Safari UTAPAGAWA! …..ni Ushauri wa Bure Chukua au Niachie …Good Morning! – @lemutuz_superbrand – #regrann
??? nani kaibiwaaaa? It’s a long weekend ukiona kimya ujuwe ninebanwa ???
Photo of the day: The Utegi family
Mtu kwao!
Mtu kwao jamani! Namshukuru sana Mungu kwa kumfikisha mama salama Tanzania. Aliondoka siku ya Jumapili na sasa yupo Bongoland akifurahi na ndugu zake na familia yake. Hapa ni akipiga soga na shemeji yake (baba yangu mkubwa) Mzee Charles Olung'a Igogo nyumbani kwake baba mkubwa. Mama yangu huwa anasafiri lakini mara nyingi baada ya siku kadhaa au wiki anakuwa amerudi nyumbani, hivyo kukaa kwake hapa U.S.A kwa miezi 3 na wiki mbili kumefanya iwe mara ya tatu kukaa nje ya nyumbani kwake zaidi ya mwezi. Mara ya kwanza ilikuwa 1998 ambapo alikwenda kwenye short course ya miezi minne (4 months) huko China, mara ya pili alikuja kunitembelea Kalamazoo, Michigan alikaa mwezi mmoja (1 month), na hii ya mwaka huu imekuwa mara ya tatu japo safari hii alikuja kimatibabu zaidi. Basi twasema asante kwa Mungu kwa mibaraka yote kwani jinsi mama alivyokuwa anaumwa halafu karibia hospital zote ambazo zinaaminika hapo Dar es salaam wanachukua vipimo vyote majibu yanakuja NORMAL ?? was a heartbreaking and a bit challenge to us kama tusingekuwa na uwezo wa kumleta hapa Marekani nani anajua sasa kama tungekua naye hai ?? hivyo tunakila sababu ya kumshukuru Mungu na kulisifu jina lake milele zote. Kwani wengi ni wagonjwa na hawana uwezo wa kwenda kutibiwa popote pale nje ya Tanzania au nje sehemu waishizo. Sisi ni nani Bwana!! Lihimidiwe jina lako milele zote. ??
Kesha la asubuhi: Kufanya Kazi Kupitia Vyombo Vinyenyekevu
*KESHA LA ASUBUHI* _IJUMAA MEI 25, 2018_ *Kufanya Kazi Kupitia Vyombo Vinyenyekevu* _Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu. 1 Wakorintho 1:25._ ? Mungu atatembea juu ya watu wenye nafasi duni katika jamii, watu ambao hawajafikia kuwa wasiojali miale angavu ya nuru kupitia katika kutafakuri kwa muda mrefu juu ya nuru ya ukweli, na kukataa kufanya maboresho au mwendelezo wo wote ndani yake. Wengi kama hao wataonekana wakikimbia hapa na pale, wakibidishwa na Roho Mtakatifu wa Mungu kupeleka nuru ile kwa wengine. Ukweli wa neno la Mungu, ni kama moto katika mifupa yao, ukiwajaza kwa tamaa kuu ya kutaka kuwaelimisha wale wanaokaa gizani. ? Wengi, hata miongoni mwa wasomi, sasa wanatangaza maneno ya Mungu. Watoto wanahimizwa na Roho kwenda mbele na kutangaza ujumbe kutoka mbinguni. Roho amemwagwa kwa ajili ya wote watakaosikia ushawishi wake, na, huku wakiacha taratibu zote za kibinadamu, kanuni zake za lazima na njia zake za uangalifu, watatangaza ukweli kwa nguvu ya uwezo wa Roho. Makundi mengi watapokea imani na kujiunga katika majeshi ya Bwana. ? Wengi wa wale ambao wanakiri kuwa wafuasi wa Bwana kwa sasa hawajisalimisha kwa uongozi wa Roho wake, lakini wanajaribu kumfunga lijamu Roho Mtakatifu, na kumwendesha kama wapendavyo. Wote walio kama hao ni lazima waache kujitosheleza kwao, na kujisalimisha wenyewe bila kubakiza cho chote kwa Bwana, ili apate kutenda mapenzi yake mema ndani yao na kupitia kwao. ? Mapigo saba ya mwisho yako karibu kushuka juu ya wasiotii. Wengi wameacha wito wa injili uende bila kusikiwa; wamepimwa na kujaribiwa; lakini vizuizi vikuu vimeonekana kutisha mbele ya uso wao, vikizuia mwendo wao wa kusonga mbele. Kupitia katika imani, ustahimilivu, na ujasiri, wengi watavishinda vikwazo hivi na kutembea kwenda katika nuru yenye utukufu. Karibu pasipo kutambua vikwazo vimesimamishwa katika njia nyembamba; mawe ya kujikwaa yamewekwa katika njia hii; vyote hivi vitasukumwa mbali. Kinga ambayo wachungaji wa uongo wameweka kuyazunguka makundi yao ya kondoo zitakuwa kama hakuna; maelfu watapiga hatua kwenda kwenye nuru, na kufanya kazi ya kuieneza nuru hii. - Review and Herald, July 23, 1895. *MUNGU AKUBARIKI UNAPOTAFAKARI*
Photo of the day: The Mashimi
“Mwanaume ambaye hawaheshimu Wazazi wake jua hatakuheshimu wewe kama mke wake na hatawaheshimu Wazazi wako pia”
Regrann from @lemutuz_superbrand - FACT: To you all my dear Sisters.......Mwanaume ambaye hawaheshimu Wazazi wake jua hatakuheshimu wewe kama mke wake na hatawaheshimu Wazazi wako pia ....Mwanaume asiyejua kuheshimu Traffic Signs anapoendesha gari lake barabarani ujue hatakuheshimu hata wewe...yaani Mwanaume asiyejua Stop Sign...asiyejua Red Light....asiyejua Zebra yaani kusubiri watembea kwa miguu wapite .....atakufanyia hayo hayo kwenye Ndoa au Relationship ....Ukiumwa hatasubiri upone ataku Cheat ...Ukisafiri kikazi hatasubiri urudi ataku Cheat! ..Ukifiwa ukaenda Msibani hatakusubiri urudi ataku Cheat tu! ....Kama Mwanaume wako anagombana sana na madereva wengine barabarani ujue ATAKUDUNDA TU kama Mpenzi au mke wake ....kama anakaripia karipia watu kwenye simu ujue atakukaripia na wewe ....I mean kama vipi MUWACHE CAUSE ATAKUSUMBUA MBELE YA SAFARI I mean ni Ushauri wangu wa bure Uchukue au Niachie ...ila usije kulia lia kuwa hukujua au hukuambiwa! - @lemutuz_superbrand - #regrann
HABARI NZURI KWA WATANZANIA WOTE
HABARI NZURI KWA WATANZANIA WOTE •Ndege yetu aina ya Boeing 787-8 imemaliza hatua zote muhimu za uunganishwaji wa vifaa vya ndani kwa mafanikio makubwa. •Zoezi hilo lililoanza 4/5/2018 na kumalizika 21/05/2018 linatoa picha ya ndege hii kuweza kuwa delivered kabla hata ya tarehe tajwa (9/7/2018). •Hatua inayofuata ambayo kimsingi ndiyo ya mwisho ni Pre Flight preparation, testing and certification. Pre flight prep zitaanza leo mpaka pale watakapojiridhisha na kuset tarehe ya delivery. •Ndege hii itakuwa na seat 22 za Business Class na seat 240 za Economy Class. Heko kwa serikali ya JPM. ***Nimetoa kwenye Facebook ya UVCCM***
Kesha la asubuhi: Kufukuza giza
*KESHA LA ASUBUHI* JUMATANO 23/05/2018 *_KUFUKUZA GIZA_* ?_Ondoka, uangaze; kwa kuwa nuru yako imekuja, Na utukufu wa Bwana umekuzukia. Maana, tazama, giza litaifunika dunia, Na giza kuu litazifunika kabila za watu; Bali Bwana atakuzukia wewe, Na utukufu wake utaonekana juu yako. Isaya 60:1, 2._ ✍?Kanisa limeteuliwa kuwa njia ambayo kupitia hiyo nuru takatifu inapaswa kuangaza katika giza la kimaadili la ulimwengu huu, na miale yenye kuleta amani ya Jua la haki kuanguka juu ya mioyo ya wanadamu. ✍?Kazi ya binafsi kwa mtu mmoja mmoja na kwa familia hufanya sehemu ya kazi ambayo inabidi ifanywe katika shamba la Bwana la mizabibu ya kimaadili. Upole, ustahimilivu, uvumilivu, upendo wa Kristo ni lazima vidhihirishwe katika kaya za dunia. ✍?Kanisa lazima liinuke na kuangaza. Wakiwa angavu kwa Roho na nguvu ya ukweli, watu wa Mungu ni lazima waondoke na kwenda katika ulimwengu unaolala katika giza, ili kudhihirisha nuru ya utukufu wa Mungu. Mungu ametoa kwa watu uwezo bora wa akili ili utumike kwa ajili ya heshima yake, na katika kazi ya umisionari nguvu hizi za akili zinaitwa katika utendaji hai. Uboreshaji na ukuzaji wa hekima wa karama hizi za Mungu utaonekana ndani ya watumishi wake. Siku kwa siku kutakuwapo na ukuaji katika kumfahamu Kristo. ✍?Yeye aliyewahi kusema kwa jinsi ambavyo kamwe hakuna mwanadamu aliwahi kusema, aliyevaa vazi la ubinadamu, bado ni Mwalimu Mkuu. Kadiri unavyofuata katika nyayo zake, ukiwatafuta waliopotea, malaika watasogea karibu, na kupitia katika nuru ya Roho wa Mungu, ufahamu mkuu zaidi utapatikana kuhusu njia na mbinu bora za kufanikisha kazi iliyowekwa mikononi mwako. … ??♂```Wale ambao wangelikuwa nuru ya ulimwengu wameangaza miale dhaifu na milegevu tu. Nuru ni nini? Nuru ni uchaji Mungu, wema, ukweli, rehema, upendo; ni udhihirishaji wa ukweli katika tabia na katika maisha. ??♂ Injili inategemea uchaji Mungu wa waumini wake binafsi kwa ajili ya nguvu zake za kuleta maendeleo, na Mungu ametoa kinachotakiwa kupitia katika kifo cha Mwana wake mpendwa, ili kwamba kila roho iwezeshwe kikamilifu kutenda kila tendo jema. Kila roho inapaswa kuwa nuru kali inayong’aa, ikionesha sifa zake yeye aliyetuita kutoka katika gizani na kuingia katika nuru yake ya ajabu. -Review and Herald, March 24, 1891.``` *MUNGU AWE NANYI MNAPOJISOGEZA KARIBU NAE. AWABARIKI WOTE*
Dina Marious: Nilipofikia sasa naweza Kufanya Official Launch ya product hii hapa Tanzania
Regrann from @dinamarious - Nilipopata mtoto Feb 2014 wakati nahangaika kutafuta mafuta mazuri ya mtoto nikashauriwa ya nazi. Nikazunguka kila kona nisiyaone ndio nikakata shauri la kutengeneza mwenyewe sababu najua kutengeneza. Lakini wakati natengeneza ndio likaja wazo la biashara nakumbuka kabisa nikishauriana na Da Husna mmiliki wa @zero2twelve maduka ya nguo za watoto akanishauri fanya. Nilipoanza nakumbuka alikuwa mteja wangu wa kwanza alinunua carton 24 But ninachokumbuka nilipopata wazo sikulaza damu nikaanza mdogo mdogo kwa ugumu wake nikijaribu kujifunza na Mimi niwe na bidhaa yangu yenye jina langu. Michakato ya kufungua kampuni Mimi ni mlipa kodi TRA kila mwezi sina malimbikizo ya madeni. Kuyasajili TFDA yakaguliwe na kupata kibali yanafaa kwa watoto na watu wazima. Kupata barcode pale GS1 ambapo Mimi ni mwanachama Na mambo mengi mengi. Kwa sasa unaenda mwaka wa nne lakini ya milima na mabonde,kurudi nyuma kujifunza na kujipanga upya. Kubwa nilichokuwa nataka ni kukuza Brand yangu ya mafuta ya nazi Dina Marios Baby Coconut Oil itambulike na iaminike sikuwaza pesa hata kidogo. Nilipofikia sasa naweza Kufanya Official Launch ya product hii hapa Tanzania. - #regrann Kwanza nianze kwa kusema hongera sana Dina Marious a.k.a Mama King Zion kwa ubunifu na kuleta bidhaa bora! Natamani mama yetu Mh. Samia Suluhu ndio awe mgeni rasmi siku hii au baba yangu Dr Magufuli ili ajionee kuwa Wanawake tunaweza na azidi kutuunguka mkono kuwapa wanaume wengine motisha ya kuwanyanyua wanawake kwenda kwenye uchumi wa viwanda. Jamani mafuta haya ya Dina Marious coconut oil ndio mambo yote kwa ngozi nyororo yenye afya kwa mtoto wako. Ni mazuri sana sio tu kwa watoto hata watu wazima. Mimi niliyatumia sana nilipokuwa Bongo bahati mbaya sikubeba kuja nayo hivyo huku natumia Coconut oil ya Wamexico au Jamaica. Mimi natumia pure coconut oil wakati wote labda wakati wa baridi ndio natumia Nevea lotion kwasababu nataka kitu cha kuongeza joto. Nunua mafuta haya bila wasiwasi utunze ngozi ya mwanzo. Simmeona yamethibitishwa basi usiwe na hofu. Tumuunge mkono Mwanamke wa shoka halafu simnajua 10% inakwenda kwenye ile charity yake ya Dada Dina Marious kusaidia watoto, wamama, na watoto yatima. Tumuunge mkono, tujenge jamii zetu.
Kesha la asubuhi: Kusafiri Pamoja na Wamisionari
*Kesha la Asubuhi* *Juma Nne* *Kusafiri Pamoja na Wamisionari* ??Basi hawa walipokuwa wakimfanyia Bwana ibada na kufunga, Roho Mtakatifu akasema, Nitengeeni Barnaba na Sauli kwa kazi ile niliyowaitia. Ndipo wakiisha kufunga na kuomba, wakaweka mikono yao juu yao, wakawaacha waende zao. Basi watu hao, wakiisha kupelekwa na Roho Mtakatifu wakatelemkia Seleukia, na kutoka huko wakasafiri baharini hata Kipro. Matendo ya Mitume 13:2-4. ??Ni jinsi gani tunauhitaji uwapo wa Mungu! Kwa ajili ya ubatizo wa Roho Mtakatifu, kila mtendakazi anapaswa kuwa anapumua maombi yake kwenda kwa Mungu. Makundi mbalimbali yanapaswa kukutana pamoja ili kumwita Mungu kwa ajili ya msaada maalum, kwa ajili ya hekima kutoka mbinguni, ili kwamba watu wa Mungu waweze kufahamu jinsi ya kupanga na kubuni jinsi ya kutekeleza kazi hiyo. Kwa namna ya pekee watu wanapaswa kuomba kwamba Bwana awachague mawakala wake, na kuwabatiza wamisionari kwa Roho Mtakatifu. Kwa siku kumi wanafunzi waliomba kabla baraka ya Pentekoste kuja. Ilihitajika muda kiasi kile kuwafikisha katika ufahamu wa kile kinachomaanishwa na kutoa maombi yenye kuleta matokeo yanayotarajiwa, kusogea karibu zaidi na zaidi kwa Mungu, kukiri dhambi zao, kunyenyekesha mioyo yao mbele za Mungu, na kwa imani kumtazama Yesu, na kubadilishwa kufanana na sura yake. Baraka ile ilipokuja, ilijaza mahali pote walipokuwa wamekusanyika; na huku wakiwa wamejazwa uwezo, waliondoka kwenda kufanya kazi yenye kuleta matokeo yanayotarajiwa kwa ajili ya Bwana. ??Inatupasa kuomba kwa bidii kwa ajili ya kushuka kwa Roho Mtakatifu kama vile wanafunzi walivyoomba katika siku ile ya Pentekoste. Iwapo walimhitaji [Roho yule] wakati ule, tunamhitaji zaidi leo. Giza la kimaadili, kama vile kitambaa cha maziko, linaifunika dunia. Kila aina ya mafundisho ya uongo, uasi, na madanganyo ya kishetani yanaongoza vibaya akili za wanadamu. Pasipo Roho na uwezo wa Mungu, itakuwa ni kazi bure kusumbuka kufanya kazi katika kuwasilisha ukweli. Ni lazima tuwe na Roho Mtakatifu ili apate kutuhimili katika mapambano haya; “Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.” (Waefeso 6:12). ??Hatuwezi kuanguka maadam tunamtumainia na kumwamini Mungu. Hebu kila roho ya kwetu, wachungaji na washiriki, iseme, kama Paulo alivyosema, “Hata mimi napiga mbio vivyo hivyo, si kama asitaye; napigana ngumi vivyo hivyo, si kama apigaye hewa” (1 Wakorintho 9:26), bali kwa imani na tumaini takatifu, katika kutarajia kupata thawabu. - Home Missionary, Nov. 1, 1893.
Tracing Luo people ….!
Luo peoples_The Luo (also spelled Lwo) are several ethnically and linguistically related Nilotic ethnic groups in Africa that inhabit an area ranging from South Sudan and Ethiopia, through Northern Uganda and eastern Congo (DRC), into western Kenya, and the Mara Region of Tanzania. Their Luo languages belong to the Nilotic group and as such form part of the larger Eastern Sudanic family. Luo groups in South Sudan include the Shilluk, Anuak, Pari, Acholi, Balanda Boor, Thuri, Maban, and Luo of Dimo, and those in Uganda include the Alur, Padhola, and Joluo. The Joluo and their language Dholuo are also known as the "Luo proper", being eponymous of the larger group. The level of historical separation between these groups is estimated at about eight centuries. Dispersion from the Nilotic homeland in South Sudan was presumably triggered by the turmoils of the Muslim conquest of Sudan.[citation needed] The migration of individual groups over the last few centuries can to some extent be traced in the respective group's oral history. The Luo (also Lwo) are part of the Nilotic group of people. The Nilote had separated from the other members of the East Sudanic family by about the 3rd millennium BC. Within Nilotic, Luo forms part of the Western group. Within Luo, a Northern and a Southern group is distinguished. "Luo proper" or Dholuo is part of the Southern Luo group. Northern Luo is mostly spoken in South Sudan, while Southern Luo groups migrated south from the Bahr el Ghazal area in the early centuries of the second millennium AD (about eight hundred years ago). A further division within the Northern Luo is recorded in a "widespread tradition" in Luo oral history: the foundational figure of the Shilluk (or Chollo) nation was a chief named Nyikango, dated to about the mid-15th century. After a quarrel with his brother, he moved northward along the Nile and established a feudal society. The Pari people descend from the group that rejected Nyikango. The Anuak are a Luo people whose villages are scattered along the banks and rivers of the southwestern area of Ethiopia, with others living directly across the border in South Sudan. The name of this people is also spelled Anyuak, Agnwak, and Anywaa. The Anuak of South Sudan live in a grassy region that is flat and virtually treeless. During the rainy season, this area floods, so that much of it becomes swampland with various channels of deep water running through it. The Anuak who live in the lowlands of Gambela are distinguished by the color of their skin and are considered to be black Africans. The Ethiopian peoples of the highlands are of different ethnicities, and identify by lighter skin color. The Anuak have accused the current Ethiopian government and dominant highlands people of committing genocide against them. The government's oppression has affected the Anuak's access to education, health care and other basic services, as well as limiting opportunities for development of the area. The Acholi, another Luo people in South Sudan, occupy what is now called Magwi County in Eastern Equatorial State. They border the Uganda Acoli of Northern Uganda. The South Sudan Acholi numbered about 10,000 on the 2008 population Census. Around 1500, a small group of Luo known as the Biito-Luo, led by Chief Labongo (his full title became Isingoma Labongo Rukidi, also known as Mpuga Rukidi), encountered Bantu-speaking peoples living in the area of Bunyoro. These Luo settled with the Bantu and established the Babiito dynasty, replacing the Bachwezi dynasty of the Empire of Kitara. According to Bunyoro legend, Labongo, the first in the line of the Babiito kings of Bunyoro-Kitara, was the twin brother of Kato Kimera, the first king of Buganda. These Luo were assimilated by the Bantu, and they lost their language and culture. Later in the 16th century, other Luo-speaking people moved to the area that encompasses present day South Sudan, Northern Uganda and North-Eastern Congo (DRC) – forming the Alur, Jonam and Acholi. Conflicts developed when they encountered the Lango, who had been living in the area north of Lake Kyoga. The Lango also speak a Luo language. According to Driberg (1923), the Lango reached the eastern province of Uganda (Otuke Hills), having traveled southeasterly from the Shilluk area. The Lango language is similar to the Shilluk language. There is not consensus as to whether the Lango share ancestry with the Luo (with whom they share a common language), or if they have closer ethnic kinship with their easterly Ateker neighbours, with whom they share many cultural traits. Between the middle of the 16th century and the beginning of the 17th century, some Luo groups proceeded eastwards. One group called Padhola (or Jopadhola - people of Adhola), led by a chief called Adhola, settled in Budama in Eastern Uganda. They settled in a thickly forested area as a defence against attacks from Bantu neighbours who had already settled there. This self-imposed isolation helped them maintain their language and culture amidst Bantu and Ateker communities. Those who went further a field were the Joka Jok and Joka Owiny. The Jok Luo moved deeper into the Kaviirondo Gulf; their descendants are the present-day Jo Kisumo and Jo Rachuonyo amongst others. Jo Owiny occupied an area near Got Ramogi or Ramogi hill in Alego of Siaya district. The Owiny's ruins are still identifiable to this day at Bungu Owiny near Lake Kanyaboli. The other notable Luo group is the Omolo Luo who inhabited Ugenya and Gem areas of Siaya district. The last immigrants were the Jo Kager, who are related to the Omollo Luo. Their leader Ochieng Waljak Ger used his advanced military skill to drive away the Omiya or Bantu groups, who were then living in present-day Ugenya around 1750AD. Between about 1500 and 1800, other Luo groups crossed into present-day Kenya and eventually into present-day Tanzania. They inhabited the area on the banks of Lake Victoria. According to the Joluo, a warrior chief named Ramogi Ajwang led them into present-day Kenya about 500 years ago. As in Uganda, some non-Luo people in Kenya have adopted Luo languages. A majority of the Bantu Suba people in Kenya speak Dholuo as a first language and have largely been assimilated. The Luo in Kenya, who call themselves Joluo (aka Jaluo, "people of Luo"), are the third largest community in Kenya after the Kikuyu, and Luhya. In 2010 their population was estimated to be 4.1million. In Tanzania they numbered (in 2001) an estimated 980,000 [1]. The Luo in Kenya and Tanzania call their language Dholuo, which is mutually intelligible (to varying degrees) with the languages of the Lango, Kumam and Padhola of Uganda, Acoli of Uganda and South Sudan and Alur of Uganda and Congo. The Luo (or Joluo) are traditional fishermen and practice fishing as their main economic activity. Other cultural activities included wrestling (yii or dhao) kwath for the young boys aged 13–18 in their age sets. Their main rivals in the 18th century were luo Lango, the Highland Nilotes, who traditionally engaged them in fierce bloody battles, most of which emanated from the stealing of their livestock. The Luo people of Kenya are nilotes and are related to the Nilotic people. The Luo people of Kenya are the fourth largest community in Kenya after the Kikuyu, Kenya, and, together with their brethren in Tanzania, comprise the second largest single ethnic group in East Africa. This includes peoples who share Luo ancestry and/or speak a Luo language. Acoli (Uganda and Kenya) Acholi (South Sudan and Uganda) Alur (Uganda and DRC) Anuak (Ethiopia and South Sudan) Blanda Boore (South Sudan) Gambella (Ethiopia) Jopadhola (Uganda) Jonam (Uganda) Jumjum (South Sudan) Jurbel (South Sudan) Kumam (Uganda) Joluo (Kenya and Tanzania) Luo of Dimo (South Sudan) Pari (South Sudan) Shilluk (South Sudan) Thuri (South Sudan) Maban (South Sudan) Balanda Bwoor (South Sudan) Cope/Paluo people (Uganda) *** Hii article nimekopi toka kwa mmoja wa marafiki zangu Facebook. Picha nilizoweka hazina uhusiano wowote na article japo wote ni Wajaluo***
Madam Rita Paulsen: I can proudly say I know how she feels
Regrann from @mspaulsen - The smiles when a you are a single mother and get to wittness your daughter,s wedding...... I can proudly say I know how she feels. It's the best achievement and a blessing . The feeling is unexplainable. I wish this to all single mothers out there we rock ???thanks God and our daughters for making us proud - #regrann Maneno ya kugusa moyo haya kutoka kwa Madam Rita Paulsen. Je, wewe umeahawahi kukutwa na hali kama iliyomkuta Madam Rita? Yani ukaona mtu anapitia jambo au anakutwa na kitu fulani (jema au baya) halafu zile hisia zake ukahisi ni wewe kwasababu huwenda nawe unapitia kitu hichohicho au ulishawahi kupitia huko nyuma? Kwanini nime share nanyi hii " status" ya Madam Rita, nikuwa maisha ni fumbo, ukimwona kichaa yupo uchi usimcheke kwani hujui yakesho! Watu pekee ambao wanaweza kuelewa kwanini yule kichaa yupo uchi na nijinsi gani anajisikia niwale ambao walishawahi kuweuka! Nawale ambao wanajua thamani ya kuwa na akili timamu niwale wale uliowahi kuwa vichaa. Ndivyo ilivyo hapa, only those who are or have been single mothers before ndio wanaoelewa ujumbe wa Madam Rita na furaha ya mama Princess Megan. ***Siku zote dharau maiti siyo binadamu mwenye pumzi ya uhai***
BAADA YA KUFA NINI KINAENDELEA? By Melania Shedrack
*BAADA YA KUFA NINI KINAENDELEA?*VIFUATAVYO NI VITU VINAVYOTOKEA. I. *UKIFA HAUWEZI KUFAHAMU NENO LOLOTE* ....MHUBIRI 9:5-6,10 kwa sababu walio hai wanajua ya kwamba watakufa; lakini wafu hawajui neno lo lote, wala hawana ijara tena; maana kumbukumbu lao limesahauliwa. Mapenzi yao na machukio yao, na husuda yao, imepotea yote pamoja; wala hawana sehemu tena katika jambo lo lote lililofanyika chini ya jua. Lo lote mkono wako utakalolipata kulifanya, ulifanye kwa nguvu zako; kwa kuwa hakuna kazi, wala shauri, wala maarifa, wala hekima, huko kuzimu uendako wewe II. *MWANADAMU ANAPOKUFA HANA TOFAUTI NA MNYAMA* ....MHUBIRI 3:19-20 Kwa maana linalowatukia wanadamu linawatukia wanyama; jambo moja lawatukia; anavyokufa huyu ndivyo anavyokufa huyu; naam, wote wanayo pumzi moja; wala mwanadamu hana kitu cha kumpita mnyama; kwa maana yote ni ubatili.Wote huendea mahali pamoja; wote hutoka katika mavumbi; na hata mavumbini hurudi tena, ZABURI 49:12 Lakini mwanadamu hadumu katika heshima, Bali amefanana na wanyama wapoteao III. *UKIFA HAUWEZI KUJUA WATOTO WAKO WANAENDELEAJE* ..... AYUBU 14:21 Wanawe hufikilia heshima, wala yeye hajui; Kisha wao huaibishwa, lakini yeye hana habari zao IV. *UKIFA HAUWEZI TENA KUMSIFU MUNGU BALI UKIWA HAI* ........ ZABURI 146:2,4 Nitamsifu Bwana muda ninaoishi, Nitamwimbia Mungu wangu ningali ni hai. Pumzi yake hutoka, huurudia udongo wake, Siku hiyo mawazo yake yapotea V. *WALIOKUFA WOTE BADO WAMELALA MAKABURINI WATAFUFULIWA YESU ANAPORUDI MARA YA PILI* ...... 1 WATHESALONIKE 4:13-18 Lakini, ndugu, hatutaki msijue habari zao waliolala mauti, msije mkahuzunika kama na wengine wasio na matumaini.Maana, ikiwa twaamini ya kwamba Yesu alikufa akafufuka, vivyo hivyo na hao waliolala katika Yesu, Mungu atawaleta pamoja naye. Kwa kuwa twawaambieni haya kwa neno la Bwana, kwamba sisi tulio hai, tutakaosalia hata wakati wa kuja kwake Bwana, hakika hatutawatangulia wao waliokwisha kulala mauti. Kwa sababu Bwana mwenyewe atashuka kutoka mbinguni pamoja na mwaliko, na sauti ya malaika mkuu, na parapanda ya Mungu; nao waliokufa katika Kristo watafufuliwa kwanza. Kisha sisi tulio hai, tuliosalia, tutanyakuliwa pamoja nao katika mawingu, ili tumlaki Bwana hewani; na hivyo tutakuwa pamoja na Bwana milele. Basi, farijianeni kwa maneno hayo. Isaya 26:19 Wafu wako wataishi, maiti zangu zitafufuka; amkeni, kaimbeni, ninyi mnaokaa mavumbini, kwa maana umande wako ni kama umande wa mimea, nayo ardhi itawatoa waliokufa VI. *JE MUNGU ANAO UWEZO WA KUMRUDISHIA KILA KIUNGO AMBACHO MWANADAMU ANAKUWA NACHO WAKATI WA UHAI WAKE MF.NGOZI,NYAMA,,MIFUPA,,,!* ....... EZEKIELI 37:3-10 Akaniambia, Mwanadamu, je! Mifupa hii yaweza kuishi? Nami nikajibu, Ee Bwana MUNGU, wajua wewe. Akaniambia tena, Toa unabii juu ya mifupa hii, uiambie, Enyi mifupa mikavu, lisikieni neno la Bwana. Bwana MUNGU aiambia mifupa hii maneno haya; Tazama, nitatia pumzi ndani yenu, nanyi mtaishi. Nami nitatia mishipa juu yenu, nami nitaleta nyama iwe juu yenu, na kuwafunika ngozi, na kutia pumzi ndani yenu, nanyi mtaishi; nanyi mtajua ya kuwa mimi ndimi Bwana. asi nikatoa unabii kama nilivyoamriwa; hata nilipokuwa nikitoa unabii, palikuwa na mshindo mkuu; na tazama, tetemeko la nchi, na ile mifupa ikasogeleana, mfupa kwa mfupa mwenziwe. Nikatazama, kumbe! Kulikuwa na mishipa juu yake, nyama ikatokea juu yake, ngozi ikaifunika juu yake; lakini haikuwamo pumzi ndani yake. Ndipo akaniambia, Tabiri, utabirie upepo, mwanadamu, ukauambie upepo, Bwana MUNGU asema hivi; Njoo, kutoka pande za pepo nne, Ee pumzi, ukawapuzie hawa waliouawa, wapate kuishi. Basi nikatabiri kama alivyoniamuru; pumzi ikawaingia, wakaishi, wakasimama kwa miguu yao, jeshi kubwa mno. VII. *HAIRUHUSIWI KUFANYA IBADA YA WAFU AU KUWAOMBEA ETI MUNGU AWABARIKI/AWASAMEHE* TORATI 18:9-11 Asionekane kwako mtu ampitishaye mwanawe au binti yake kati ya moto, wala asionekane mtu atazamaye bao, wala mtu atazamaye nyakati mbaya, wala mwenye kubashiri, wala msihiri, wala mtu alogaye kwa kupiga mafundo, wala mtu apandishaye pepo, wala mchawi, WALA MTU AWAOMBAYE WAFU VIII. *JE NI KWELI WAFU WAKIFA BAADAYE HUWATOKEA NDUGU ZAO?* ...... 2 WAKORINTHO 11:13-15 Maana watu kama hao ni mitume wa uongo, watendao kazi kwa hila, wanaojigeuza wawe mfano wa mitume wa Kristo. Wala si ajabu. Maana Shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru. Basi si neno kubwa watumishi wake nao wakijigeuza wawe mfano wa watumishi wa haki, ambao mwisho wao utakuwa sawasawa na kazi zao. JIBU NI HAPANA -Wafu wanaowatokea watu na kuongea nao tena wanafanana kabisa na ndugu zao waliokufa hizo huwa ni roho za mashetani zinazojigeuza katika maumbile mbalimbali ya marehemu ili kuwadanganya watu kuwa hawafi huo ni udanganyifu mkubwa wa shetani *TAHADHARI:* Wafu hawaendi mbinguni wanapokufa bali huzikwa kaburini, pia hawawezi kusamehewa kama walikufa bila kuungama dhambi zao.
Happy birthday Cookie
Happy birthday mwanangu Cookie Moses Iyobo! Mungu akujalie afya njema, maisha mazuri yaliyojaa amani na furaha, na zaidi ya yote akujalie kumjua na kumtumikia yeye Mungu muumba wa Mbingu na Dunia. Happy birthday beautiful, much love from aunt Alpha. @auntyezekiel naomba copy ya movie ya Cookie (Mama) nasi tutizame please
“If you find true love don’t look at limitations”
START TO SEE ADVERTSITY THE RIGHT WAY.
When life hits you with so much pain,so much hurt & disappointments, you need to find strength & comfort in knowing that God didn’t promise us days without pain, laughter without sorrow, or sun without rain, but He did promise strength for the day, comfort for the tears & light for the way.
If God allows it on you, He will also bring you through it all & you will never be the same again. Whatever you are going through – He has a reason.
Here she is;
Princess ? Meghan Markle
—————-
She is half black ,half white.(Biracial) African American origin.
Her parents got divorced when she was 6 years old
She was married before @30 years and divorced two years after .
Despite these factors you may consider as odds and a humble/not too smooth beginning, she rose above these circumstance and made a mark for herself.
She became a popular and successful actress
Became an advocate for gender equality and women empowerment.
Became a Global Ambassador for World Vision Canada
Became a UN advocate for women
Owns her own Clothing Line
She is Founder and Editor-in-Chief of her own blog.
And now at age 36 she is married to Prince Harry of England who is 34 years
Love is the way.she is making a grand entrance into The Royal Family! That is the story of MEGHAN MARKLE!
Amidst all, her family instead of supporting her new found journey to happiness, they’re busy putting her down. This coward brother writes to Prince Harry not to get married to a divorcee, old….
She’s an epitome of a true humble lady.
MORAL OF THE STORY:
1. Prince Harry followed his heart to beat all odds. If you find true love don’t look at limitations.
2. Your family background is not a limiting factor to anything.Do not let society define who you are, or friends telling you how old you’re and should be getting married!
3. The end of one marriage does not mean the end of your life!
4. Work hard to pick up the pieces of your life and start all over again! Do not give up on yourself .
5. Do not despise the days of humble beginning. Start small even as a brief case girl or tea girl or a secretary but don’t stay small. Dream and think big, stay focused , keep your eyes on the ball and aim for the stars.
6.. You may have to kiss a few frogs before you meet your Prince. Don’t give up on love ! You are lova
Never loss hope because Life can go from 0 to 100 Real Quick” ???.
Good Morning Everyone. Blessed Sunday. Ramdhan Kareem. NTV Mwasuze Mutya 9am.Every Weekday. NTV/Spark TV.
Safari ya mama Washington DC
Siku iliyofuata, tuliamka na kupata breakfast, kisha tukaendelea na mizunguko yetu. Nilitaka mama aone Washington DC yote kila jengo la office na majumba ya matajiri wa huko. Bahati mbaya au nzuri mama alikataa kutembea alidai amechoka kwasababu ya mizunguko ya jana yake. Hivyo, ikabidi tuchukue tour bus ambayo ilituonyesha sehemu zote tulizopenda kuona. Of course, nimuhimu kusalimiana na wapendwa wako pale unapopata nafasi. Basi hapa tutakutana na cousin yangu (mtoto wa mama yangu mkubwa, mama yake ni wapili kuzaliwa katika familia ya mama yangu) Dr. Joseph Obure yeye anafanya kazi hapo Washington DC. Mama na wanae Mama na kijana wake wakisogoa story za miaka mingi ? Mama na binti yake katika pozi ? Siku ilyofuata, tulianza kwa kununua green tea na pumpkin bread (my all time favorite breakfast) katika cafe ya Starbucks, tuliungana na aunt yangu aitwaye Sophie au mama AnnaD na baadaye kuanza safari ya kuelekea Makao Makuu duniani ya kanisa la Wasabato. Hili eneo ni kubwa sana kama utabahatika kutembelea basi panga angalau masaa azidi ya matatu ili uweze kufaidi na kujifunza kidogo. Mama yangu alifurahia sana. Basi safari yetu kwa siku hii ikaishia napa, tukaenda kula na kufanya mizunguko kidogo ya dakika za mwisho kwani muda wetu ulikuwa unatupa mkono. Nawatakieni maandalizi mema ya Sabato na Sabato njema kwa waumini wote wa dhehebu la Wasabato duniani ?
Kesha la asubuhi: Anakwenda Nyumba kwa Nyumba Pamoja na Watendakazi wa Injili
KESHA LA ASUBUHI IJUMAA 18 MAY 2018 *Anakwenda Nyumba kwa Nyumba Pamoja na Watendakazi wa Injili* ? _Akawaita wale Thenashara, akawapa uwezo na mamlaka juu ya pepo wote na kuponya maradhi. Akawatuma wautangaze ufalme wa Mungu, na kupoza wagonjwa. Akawaambia, Msichukue kitu kwa safari yenu, fimbo, wala mkoba, wala mkate, wala fedha, wala mmoja wenu asiwe na kanzu mbili. Na nyumba yo yote mtakayoingia kaeni humo, mpaka mtoke mjini. Luka 9:1-4._ ✍?Bwana anawaita watu wake kuchukua njia mbalimbali za huduma za umisionari. Wale walioko katika njia kuu na walio katika sehemu zisizofahamika vizuri katika maisha wanapaswa kusikia ujumbe wa injili. Washiriki wa kanisa wanapaswa kufanya kazi ya uinjilisti katika kaya za majirani zao ambao bado hawajapata ushahidi mkamilifu wa ukweli ulio kwa ajili ya wakati huu. ✍?Hebu wale ambao wanachukua kazi hii wafanye maisha ya Kristo kuwa somo lao la kudumu. Hebu na kwa bidii sana, wawe wanatumia kila uwezo katika huduma ya Bwana. Matokeo yenye thamani sana yatafuatia juhudi za dhati zisizo na ubinafsi. Kutoka kwa Mwalimu mkuu watendakazi watapokea elimu ya juu kabisa kuliko zote. Lakini wale ambao hawagawi nuru hii waliyoipokea siku moja watatambua kuwa wamepata hasara ya kutisha. ✍? Wengi wa watu wa Mungu inabidi watoke na machapisho kwenda katika sehemu ambazo ujumbe wa malaika wa tatu haujatangazwa. Kazi ya mwinjilisti wa vitabu ambaye moyo wake umejazwa na Roho Mtakatifu imejaa uwezekano wa ajabu wa mema. Uwasilishaji wa ukweli, katika upendo na usahili, kutoka nyumba moja hadi nyingine, unapatana na maelekezo aliyotoa Kristo kwa wanafunzi wake alipowatuma katika safari yao ya kwanza ya umisionari. Kwa nyimbo za sifa, maombi ya dhati, na uwasilishaji sahili wa ukweli katika familia moja, watu wengi watafikiwa. ✍? Mtendakazi mtakatifu atakuwapo kupeleka usadikisho kwa mioyo. “Mimi niko pamoja nanyi siku zote” (Mathayo 28:20) ndio ahadi. Kukiwapo uthibitisho wa uwapo wa kudumu wa Msaidizi wa jinsi hiyo, tunaweza kutenda kazi kwa imani na tumaini na ujasiri. ??♂```Ukinaifu wa huduma yetu kwa Mungu unapaswa kuvunjwa. Kila mshiriki wa kanisa anapaswa kujiingiza katika huduma fulani maalum kwa ajili ya Bwana. ??♂ Hebu wale ambao wamejiimarisha katika ukweli waende katika sehemu jirani, na kufanya mikutano. Hebu Neno la Mungu na lisomwe, na hebu mawazo yanayoelezwa yawe katika jinsi ambayo yataeleweka na wote bila shida. - Review and Herald, May 5, 1904```. *MUNGU AKUBARIKI*
Safari ya mama Washington DC
Siku ya tarehe 13 mwezi huu wa Tano, mimi na mama yangu tulisafiri kidogo kwenda mji mmoja unaitwa Washington DC. Huu mji ni makao makuu ya U.S.A hivyo nilikuwa nakwenda kumuonyesha mama Makao Makuu ya Marekani na pia kwa kuwa ilikuwa ni siku ya wakina mama duniani hivyo ikawa pia kama sehemu ya Mother's Day treat! Safari yetu ilianzia Houston, Texas hapo kwenye picha ni mama akiwa kwenye train kuelekea terminal ambayo tulipandia ndege. Kitu ambacho nimejifunza katika changamoto za kutaka kufurahia maisha na kuwa na amani na watu, nikuwa siku zote kama unataka kufurahia matembezi yako binafsi basi nivizuri uwe umejiandaa kufurahiya bila kubugudhi watu wengine. Labda kama kweli unaamini hakuta kuwa na maneno ya chini au kuchafuana kwa majungu basi fikia kwa mwenyeji wako lasivyo Starehe kwa size ya Wallet yako ??? Nasema haya kutoka na experience ambazo nimewahi kuzipata au nimeona baadhi ya watu wakipata (Hii ni topic nyingine kabisa ipo siku nitaileta). Kiufupi hapa ndipo nilipo amua kufika. Hapa tulikuwa tukipata Mother's Day dinner @Tony Cheng's restaurant. Mama yangu anamatatizo ya tumbo, tupo extra careful na nini anakula. Kwasasa Chinese food ndio vipo salama kwa tumbo lake. Hapa tulikuwa tukipata Chinese menu kwenye restaurant moja iitwayo Tony Cheng's ndani ya Chinatown, hapo Washington DC. Mimi mwenyewe baada ya kula, nguvu tele ya kuzunguka kidogo kabla ya kurudi hotelini. Baada ya kula na kuzunguka kidogo Chinatown nikampeleka mama kuona WhiteHouse ya Marekani. Kwasababu hatukuwa na huwakika lini tungekwenda hivyo ilikuwa ngumu kwangu kuweka appointment ya kupewa tour ya ndani ya WhiteHouse. For security purposes inahitajika at least one month appointment kabla ya kwenda. Lakini hata hii tu ya nje ya jengo alifurahia. Mama yangu hanaga makuu ?? *** hii ni part one, nitamalizia nyingine baadaye***