Pendeza sana binti wa school mate wangu. Mungu akuongoze ukawe mwanamke mwema. Ubarikiwe sana
A word of wisdom
The Mndalilas’ family
Eala upadates- by Hon. ShyRose Bhanji
#EalaUpadates 10/03/2016-17/03/2016: EALA began 2week bunge session last Tuesday here in Dar and the following took place:
1. The opening session was graced by Premier Kassim Majaliwa on behalf of HE John Pombe Magufuli who is also the Chair of EAC Summit.
- He highlighted a number of key issues pertaining to EAC integration such as the implementation of Single Customs Territory which has achieved minimum clearance time for goods at Ports and Customs.
- Development of One Stop Border Posts has reduced travel time for passengers and freight vehicles. EAC has done very well in reducing Tarrif related barriers. He underlined the importance of sensitization and awareness creation to the people so that they realise full benefits of integration.
2. Eala passed a Motion for a Resolution to congratulate SSudan’s admission to EAC
3. Eala also debated and passed a Bill on Disaster Risk Reduction Management which aims at curbing the impact of disasters in EAC coutries. The Bill now awaits assent by Heads of States in EAC.
4. The EAC Sectretary General bid farewell to Eala after the expiry of 5year term.
During the 2nd weeks (Tue, Wed n Thu 15/03/2016-17/03/2016) the following took place:
1. The EAC Supplementary Appropriation Bill, 2016 (first reading)
2. The EAC Customs Management Act (Amendment) Bill, 2016. (First reading)
3. The EAC Sectional Properties Bill, 2016. (First reading).
4. Report of Accounts Committee on the oversight activity undertaken to EAC Institutions was read, debated and passed. Among other challenges the report highlighted funding as one of the challenges facing Lake Victoria Fisheried Organisation (LVFO-one of EAC Instition).
In my contribution I highlighted the importance of Lake Victoria hence the need for all parter states of EAC to inject more funds so that LVFO carry its operations smoothly. On the look of things LVFO is an integration agenda given the extent of the impact in Eac.
- Lake Victoria has a multi sectoral dimension….it is a source of food sufficiency, employment to many who live and work on the shores of this lake; and source of income to the communities from fish export markets.
- I also called on LVFO to put in place sensitization strategy to reach out many stakeholders; public and private sectors so that with this awareness it will be easy to raise funds and carry out its operations smoothly. In my view, the biggest challenge facing LVFO is that little if anything is known by key stakeholders and the public.
5. The Committee of Legal, Rules and Privileges on the oversight activity on the harmonisation of National Lawas in the EAC context was read, debated and passed.
ACTIONS TAKEN BY EAC COUTRIES TO HARMONISE THEIR NATIONAL LAWS:
- Partner States are at different stages of implementation of the directives of Eac Council of Ministers on the harmonisation on national laws.
- The Commitee observed that the Partner States are very slow in amending their laws to comply with the directive of Council of Ministers of Eac.
6. Eala moved a Motion for a Resolution to bid farewell to Hon. Amb. Dr. Richard Sezibera who is the outgoing SG of EAC. During the debate Members paid tribute to Dr. Sezibera for all the achievements during his 5year term. Some of these achievements include the recent introduction of the International Eac e-passport, ratification of the Monetary Union, reduction of Ntbs, Single Customs Territory and One Stop Border Posts in Eac. All these developments have contributed to the increase in intra Eac trade.
7. Eala passed a Motion for a Resolution to thank the Founding Fathers and their First Ladies of the First EAC (1967-1977).
- Eala members paid tribute to the founding fathers; HE Julius Nyerere, HE Milton Obote and HE Jomo Kenyatta.
- The assembly also registered great appreciation to the former First Ladies for supporting their husbands.
- The Assembly requested First Ladies: Mama Maria Nyerere, Mama Ngina Kenyatta and Mama Miriam Obote to grace the next special sitting in Arusha.
8. Private Member’s Bill on Eac Counter Trafficking in Persons was introduced. This Bill seeks for common measures to prevent prosecution of perpetrators of trafficking in persons. Eala completed its 2week session today 17/03/2016. Bunge was adjourned until next sitting in Arusha.
Father and daughter moment
Malia Obama and her beloved father Mr. President ❤❤❤
Kutoka Facebook
Awii! my sweet sister! Mama Amika pendeza sana and I love what am seeing. Mungu ni mwema sana ?? wapendwa, najua siyo wote tuna uwezo wa kutembea kila kona ya dunia hii! Ila kuna wenzetu ambao Mungu amewapa nafasi hiyo ya upendeleo basi si mbaya tukifurahia nao hata kwa macho tuu nasi tukaione dunia katika picha ???naomba utembelee blog ya www.maisafari.com ili uweze ona ukuu wa uumbaji wa Mungu! ??
Father and daughter moment
My darling long time buddy Maina Ang’iela Owino and his beautiful daughter all the way from the queen’s land! Looking sharp my friend ……Still waiting for you to takeover ubunge wa Rorya hopefully 2020 you will do it ??
“Nilitambua mimi mwenyewe siwezi kupambana na adui yangu” -Dina Marios
Kuna wakati ADUI yangu alidhamiria kunifanya kichekesho, kuniaibisha, kunifedhehesha, kuiua nafsi yangu, kuipoteza thamani yangu, niwe kituko nisiwe wa wakutumainiwa wala kutegemewa, watu waninyooshee vidole, kufinyana kwa umbea kuniteta na kunicheka. Nilitambua mimi mwenyewe siwezi kupambana na adui yangu. Nikamgeukia Mungu nikamuomba yeye ndio apigane vita hiyo. Na kama yeye alimruhusu ADUI anifedheheshe basi aonekane katika maisha yangu kama alivyoonekana kwa Yusuf lile alilopanga katika maisha adui asiwe na mamlaka ya kuliharibu.
Nikamwambia Mungu wangu utete nao wanaoteta nami,Upigane nao wanaopigana nami. Uishike ngao na kigao usimame unisaidie waaibishwe, wafedheheshwe wote wanaoitafuta nafsi yangu.
Kupitia yeye nilipata amani ya moyo wangu huku nikaamini yatakwisha. Napenda nikwambie leo wale wote wanaoichimbia shimo nafsi yako shimo hilo wataingia wenyewe. Wale wote wanaokusagia maneno na kuligeuza jina lako chakula. Wanakunenea kushindwa, laana, mikosi, ipo siku watayameza maneno yao wenyewe. Tena wanaapizana tutaona kama atafanikiwa kama walivyoapizana ndivyo watakavyoaibika. Shimo walilochimba kwa kazi yako, biashara zako, familia yako, afya yako, jina lako….. Shimo hilo litawafukia wenyewe. Wewe endelea kumtumainia aliye juu.
#zaburi35 #maishaclass
Moshie Chilwana birthday dinner
Mr and Mrs Chilwana. Wamependeza sana. Japo sina huwakika wameowana miaka mingapi lakini ukiwaangalia usoni unaona jinsi walivyo fanana kama ndugu vile. Kwenye upendo wa kweli hata sura uwonyeha! Mbarikiwe sana. Birthday girl akiangalia cake yake kwa furaha na sura ya shukran kwa Mungu na mumewe ? that nyama choma looks delicious ? Inapendeza kwakweli. Jamani kama couple hamkubahatika kufanya sherehe ya ndoa yenu au kama mliowana kienyeji / kimila basi vitu kama birthday au wedding anniversary ndio nafasi yenu ya kufurahia. Hii haimaanishi kuwa Mr and Mrs Chilwana hawakufanya sherehe ya ndoa hapa! Nimesema tuu kutoa mfano. Pendeza sana! Ukimpenda mtu kwa dhati uwezi ficha hisia zako kwani kila kitu kina kuwa naturally ? Happy birthday Moshie! Ubarikiwe sana. Na asante sana kwa ku share picha zako ?
Anti-inflammatory smoothie for rapid pain relief
A chronic pain can prevent you from performing your everyday routine. Experiencing pain in your back, legs, knees and ankles, is a common issue which usually occurs as a result of a lack of a physical activity. A pain in the joints can also occur if you suffer from some disease, such as rheumatoid arthritis, osteoarthritis, gout, bursitis, strains, or some injury, or, it may result from tear and wear, as well as from a poor blood circulation.
If you are dealing with pain in your spine, legs, and joints, you should try the following smoothie recipe which will help you to rapidly get rid of inflammation and pain. Here is a natural recipe for a smoothie that will permanently relieve your pain.
Preparation of the Smoothie: In order to make this smoothie, you need the following ingredients:
• 1 lemon
• 1 orange
• 2 pears
• 2 cups of pineapple
• 2 celery stalks
• ½ teaspoon of coconut oil
• a dash of black pepper
• an inch of raw turmeric root What you should do is to peel the orange, the lemon, and the turmeric, chop and core the pears and the pineapples and, put all of these ingredients in a blender.
You should use a blender because it keeps the dietary fiber of these ingredients inside, unlike a juicing machine which filters it out as a waste.
Blend the ingredients at high speed. When the smoothie is ready, you can either consume it or, you can store it in a jar for up to 5 days.
Benefits of the Smoothie: This smoothie is very effective in relieving your pain due to the rich nutrient value of the ingredients contained in it. These ingredients have many antioxidant and anti-inflammatory properties which can relieve your pain, reduce the inflammation, and improve your bone quality.
When you mix these ingredients you will be provided with optimal results and, you will be protected from many health conditions.
The orange, the lemon and the pears are a great source of vitamin C. This vitamin is a very powerful antioxidant, which reduces the inflammation and prevents many health conditions, including inflammatory arthritis, osteoarthritis (OA), as well as rheumatoid arthritis (RA).
The lemon is also rich in vitamin E which, along with the vitamin C, is effective in protecting the cells from free radical damage.
The celery contains vitamin K. This vitamin prevents bone mineralization and abnormal cartilage, which increase the risk of osteoarthritis in your knees and your hands.
The pineapple contains bromelain which is very helpful in reducing the joint pain. And, the turmeric can relieve the pain, strengthen the bones and improve their function.
With the intake of this smoothie, you will start to notice the results in just a few days. If you don’t feel any pain relief, you shouldn’t stop drinking it because, depending on the severity of the pain, this drink will heal it completely in a period of time from two weeks to three months.
Source: http://awesomema.com/anti-inflammatory-smoothie-recipe-for-rapid-pain-relief/
Some of Obama and Michelle great moments
2nd Inauguration day……………kumbe nao wanakunywa maji ya DASANI! mimi nilifikiri wana maji special made in WhiteHouse?? ……..haya endelea ku enjoy pichaHahaha! ???Dont walk in front of me I may not follow! Don’t walk behind me I may not lead! Walk beside me just be my friend!!mnaona kampa jacket mkewe asipigwe na baridi eeh? what a gentleman! Nakumbuka kuna mkutano mmoja hivi wa Wasabato ulifanyika jangwani miaka ya nyuma. Basi Mchungaji mmoja (alikuwa ameletwa nafikiri kutoka America) anaitwa Phiz Henry. Katika kuhubiri kuhusu upendo akaita wazee wakanisa wote waje mbele na wake zao. Yani ilikuwa kichekesho cha mwaka ???
- Wengi walikuwa hawajakaa pamoja na wake zao hivyo hawakujua walipo
- Walio waungwana walitoka kwenye viti na kuwasubiria wake / waume zao kwenye aisle
- Wasiojali walisonga mbele kivyao vyao
- Mchungaji akasema kila mtu amgeukie mke / mume wake washikane mikono. Wale walioenda mbele bila kujali mke wake au mume wake amesimama wapi wakabaki wanashangaa ?? wakaanza kugeuka kuangalia wapi partners zao wapo. Kumbe Mchungaji anawachora tuu, huku washiriki wakicheka
- Mchungaji akasema kila mtu am kiss mke wake ?? ilikuwa balaa!! Kuna waliogeuka na kumuangalia Mchungaji kama alikuwa anauwakika na alicho kisema ?? wengine walifanya kama walivyo agizwa bila shida yoyote
- Conclusion: Upendo wa kweli uwanzia nyumbani! When you truly love someone you can’t be ashamed of them (“But whoever denies me before men I will also deny him before my Father in heaven” Matthew 10:33). Wale wanao pendana walionekana toka mwanzo. (1) kwanza wanakaa pamoja kama familia au walisubirina kabla ya kwenda mbele (2) zowezi la kumshika mkono na kumbusu mkewe alikuwa shida kwao
lovely Obama : “unajua wanatuonea wivu hawa” ……..Michelle: “aah!” lol I love that dress! mmh! need a shoulder to lean on Obama!
Only in America ??? hii ilikuwa hivi karibuni. Halafu angalia binti yake pamoja na Joe Biden walivyo busy na mpira wakati wenzao wako busy na kiss ?? …………….kwakweli tutawa miss wakitoka WhiteHouse ???
A competent wife!
I support the message!!………Amen!
Mjumbe hauwawi!..You be the judge!
HOTUBA YA BALOZI JUMA MWAPACHU KUTANGAZA KUREJEA CCM MIKOCHENI 16/03/2016
Ndugu zangu,
Mtakumbuka kwamba mnamo tarehe 13 Oktoba 2015, nilitangaza kuihama CCM na kurejesha kadi yangu ya uanachama kwenye ofisi ya CCM Kata ya Mikocheni. Nilitoa maelezo kwanini niliamua kujiondoa CCM (maelezo hayo pia niliyabandika katika ukurasa wangu wa facebook). Nilieleza kwamba CCM imepoteza mwelekeo kwa kuamua kumnyima haki ya kugombea mcha mungu Edwad Lowasa. Nikasema Edwad Lowasa ndiye chaguo la wana-CCM na ndiye chaguo la Watanzania. Nikasema nitakuwa mnafiki nikiendelea kubaki CCM huku naamini Edwad Lowasa anafaa kuwa Rais kuliko John Pombe Magufuli.
Baada ya miezi miwili ya uongozi wa Magufuli nataka niseme nilikosea sana. Nililewa mahaba ya Lowasa, nililewa ahadi ya Lowasa kunipa uwaziri wa mambo ya Nje. Niliamini mafuriko ya Lowasa ambayo yakanifanya niamini kabisa anachukua nchi. Tulikubaliana na wenzangu kwamba wiki mbili za mwisho tuihame CCM kwa wimbi kubwa ili kuitikisa na kuitoa madarakani. Lakini baadhi wakaogopa na hadi sasa wengine wamebaki CCM na wana vyeo.
Leo natangaza kurudi CCM kwasababu nimeona kazi nzuri ya Magufuli. Nimefanya kosa kubwa katika siasa ambalo nawasihi vijana kwenye siasa wasifanye. Nilihama kwa kwasababu ya mtu (Lowassa). Nimerudi kwasababu ya mtu (Magufuli). Nataka niwaahidi kwamba CCM ikiweka mtu hovyo baada ya Magufuli, sitahama. Usemi wa CCM kwamba Chama Kwanza, Mtu Baadaye sasa ndio nauona maana yake. Niliwalaumu CCM kwa kumuacha Lowassa lakini sikujua kwamba CCM ina uwezo wa miujiza wa kuibua jembe bora linaloitwa Magufuli.
Naomba mnisamehe kwa kulifanya jambo langu la kujitoa CCM na kurudi CCM kuwa jambo la kitaifa ukizingatia kwamba sikuwa na nafasi yoyote ya uongozi wa CCM wakati nahama na pia sijawahi kuwa hata Mjumbe wa NEC ya CCM na nilikuwa nje ya ulingo wa siasa za CCM kwa miaka 20. Niliamua kulifanya jambo kubwa ili kumsaidia Lowassa. Na sasa nimeamua kulifanya jambo kubwa ili Magufuli ajue sasa niko naye kwasababu sitaki shughuli zangu na za washirika wangu zikwamishwe na Serikali kwasababu tu huko nyuma niliamua kumsaidia swahiba wangu.
Naomba radhi kwa familia ya baba wa taifa mwalim Nyerere kwa kuitumia kisiasa siku aliyokufa (tar 14 Octoba) na kutumia msiba wake kutoa kauli za kisiasa zidi ya chama chake alichokiunda na ambacho hadi anakufa alikuwa mwanachama.
Wananchi wote tumuombee Magufuli na tumsaidie kwani tumepata nyerere mpya.
Mungu Ibariki Tanzania.Mungu Ibariki Afrika
Balozi Juma Mwapachu
people will always be people! And God will always be God!
Hot shot of the day
Gorgeous! Hawa Gwao former Miss Tanzania-UK. Kapendeza sanaaaaaa!…… Happy birthday girl, me love you mingi ???
Akothee Akothee katika ubora wake
Ha! Ha! Ha! Nafikiri Akothee na mimi “mapepo” yetu yanaendana ??? yani mimi sipendi mtu wa kuvuta nywele zangu au kubana kichwa changu na vilemba. Naweza zimia aisee!! Ukiona nimefungua kilemba jua ni mapozi tuu ya picha ?? Rasta za wamasai niliwahi suka mara moja tuu tena kwa shinda kweli kweli. Siwezi kaa chini kabisa ??………
The Lyimos
Awii! The Lyimos family looking great, of course as usual!! Hapa walikuwa wameenda shuleni kwa watoto wao (Holy Rosary Elementary school) kwa ajili ya father and daughter, mother and son 1st dance. Hapa baba aki dance na binti yake. Raha eeh! Ubarikiwe baba mwema.
Mama naye na kijana wake. Safi sana. Beautiful! Mbarikiwe sana wapendwa. Asanteni kwa ku share picha zenu ?❤❤❤
Kutoka Facebook
Leo nimependa picha za my darling friend Prisca kutoka Geita…….. hawa watu wa migodini huwa wananukia pesa kila wakati ?? pendeza sana my friend. Ubarikiwe sana. Btw, lemme change the channel as this one is confidential ??? Be iwinjo gimakoni Nyakowak? Apeleka no make matek ???
Father and daughter moment
Wow! Ain’t they cute! mimi penda nyinyi sana. Zari my dear, despite her skin color and gender; you got nothing here! Yani ni Diamond mtupu!! #DNAForWhat? ??
Manhood
My dad and his business colleague. As usual, doing what he does best ?