A word of wisdom

Screenshot_2016-01-22-23-40-42-1Source: one of my Facebook  friends.

Happy 1st birthday my son Evin

imageHappy 1st birthday my handsome boy. Mwenyezi Mungu azidi kukubariki, akupe maisha marefu yenye amani na furaha, na afya njema. Ukulinde na mapepo yooote ya dunia hii. Happy birthday my nephew, love you so much! Screenshot_2016-01-23-15-24-24-1-1Screenshot_2016-01-23-15-24-04-12016-01-23 15.26.02imageHappy birthday Evin, we all love you!

Joke of the day

*The reason why I hate make-up*

1st Day : she comes looking like Lady Gaga

2nd Day : she comes looking like Beyonce

3rd Day : she comes looking like Rihanna

4th Day : she comes looking like Nicki Minaj

5th Day : she comes for a sleep~over ……. in the morning she looks like MR. IBU

⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇FB_IMG_1453434930860????? credit to Mambobiad

“Kushinda wivu…….”

Wivu ni hali ya kuwa na uchungu moyoni pamoja na chuki kutokana na mafanikio ya mtu/watu wengine. wivu ni mbaya na madhara yake ni makubwa pengine zaidi ya ghadhabu na hasira. Hasira ni ukatili na ghadhabu kali ni gharika, lakini ni nani awezaye kusimama mbele ya wivu? 

Wivu unatokana na nini? Kuna mambo mengi yanayosababisha wivu lakini mambo makuu ni…….

1. Matarajiyo yasiyofanikiwa – Mara nyingine unaweza weka matarajio ambayo sio rahisi kufikia, na tunataka yafanyike haraka. Pale ambapo mambo hayaendi kama ulivyotarajia ndipo unakuta unatafuta mtu wa kumlaumu na unapoona mwingine kafanikiwa kwa jambo hilo hilo wivu unaanza kukuingia.

2. Kudhani kuwa unastahili zaidi – Unaweza kudhani kuwa kutokana na elimu yako, kazi yako au hata historia yako basi kuna mambo ambayo unastahili kuwa nayo. Pale ambapo unakuwa hujayapata na kuona watu ambao ulidhani wewe unastahili zaidi yao wamefanikiwa, wivu unaingia maana unaona kama wao hawastahili bali wewe maana uliwadharau.

3. Kutokujiamini – Wivu unaweza kukuingia kama wewe mwenyewe hujiamini, maana kutokana na kutokujiamini hutakuwa tayari kufanya mambo makubwa na utakapoona wengine wanafanya na kufanikiwa utafikiri wanapendelewa na ndipo utakapoanza kuwaonea wivu.

Utajiepusha vipi na wivu?

1. Acha kujilinganisha na wengine na pia usimdharau mwingine. Kila mtu ameumbwa kwa jinsi ya kipekee na tofauti. Mungu anampango na maisha yako na pia na ya mwingine kwa namna tofauti tofauti hivyo usipende kujilinganisha na mwignine au kumdharau mtu yeyote. Hutakiwi kujisikia vibaya pale ambapo unaona kuwa hauna vitu fulani ambavyo wengine wanavyo, Mungu anampango na maisha yako kwa wakati wake.

2. Fikiria na wengine. Umetumia muda mwingi kujifikiria wewe tu na maisha yako ndio maana wivu unapata nafasi, jaribu kufikiria na wengine pia. Angalia ni kwa njia gani unaweza kuwa baraka kwa watu wengine na kwa kufanya hivi utaona furaha na amani ya ndani na kugundua kuwa na wewe pia una kitu cha thamani ndani yako. Wivu hautaweza tena kukupata maana sasa utakuwa ni mtu wa kuwabariki wengine na sio kuwaonea wivu.

3. Kuwa tayari kulipa gharama. Unaweza muoneo wivu mtu sababu ya mafanikio yake kimasomo au kibiashara, je upo tayari kulipia gharama ilikupata mafanikio kama hayo? Hapa sizungumzii fedha bali ile kazi aliyoifanya kufikia hapo alipo, kusoma kwa bidii, kuamka mapema na kufanya kazi kwa bidii, kujitoa n.k. Badala ya kukaa na kuona wivu inuka na wewe ufanye kazi ili upate mafanikio yako.

4. Tumia vipawa vyako. Mungu amekupa vipawa vingi na nafasi nyingi ili kufanikisha maisha yako, badala ya kuangalia wengine wana nini, angalia wewe una nini na tumia ulivyonavyo ili uweze kufanikisha maisha yako na kutimiza ndoto zako. Mungu akubariki sana. FB_IMG_1453434242115Source unknown!

#TBT

FB_IMG_1452462779335#TBT 2012  Christmas, Kalamazoo, Michigan nikiwa na mdogo wangu anayenifatia kwa mara ya pili. I love her so much❤???

Kutoka Facebook

FB_IMG_1453382871349Nimependa sana hii picha ya Zawadi Kakoschke na mdogo wake Tina wakiwa Oman. Tina yeye anaishi Tanzania ila kwasasa yupo Oman kumtembelea dada yake. Unaweza ona picha nyingi na nzuri zaidi kwenye blog yao ya www.maisafari.com, au mfollow Zawadi Kakoschke kwenye  Instagram. Mbarikiwe sana wapendwa.

BRAVO Mh. Rais!

FB_IMG_1453334334878Nani kama John Pombe Magufuli?! Wow! Hatakama unaichukia CCM  ni ngumu sana kumchukia Rais wa awamu ya 5 ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Vitendo vyake vinaelezeya jinsi nafsi  (roho) yake ilivyo! Wiki iliyopita niliandika kuhusu picha za Zari a.k.a “Mrs Chibu Dangote” akiwa ameenda kijijini kwa baba yake na watoto wake. Hizo picha nilizipa Tittle isemayo “True beauty comes from within” soma hapa. Naomba nirudie kusema uzuri wa mtu yoyote yule hauko kwenye sura yake, wala maumbile yake, wala usomi wake, wala mavazi yake n.k bali unapatikana kutoka ndani ya roho yake!FB_IMG_1453320075627Vitendo kama hivi anavyofanya Rais Magufuli ndivyo vitakavyo waunganisha Watanzania pamoja, kujiona kuwa wote ni ndugu haijalishi upo kwenye nafasi gani kimaisha. Ni vitendo vinavyo onyesha kuheshimu kila mtu kwa nafasi yake hata awe mfagia vyoo naye ni binadamu kama wewe anastahili kuheshimiwa na kuonyeshwa upendo. Nimfano nzuri sana kwa jamii. Matendo haya hayafanywi nakila  mtu nilazima uwe na roho ya utu na uungwana to humble yourself, of course humbleness is God’s character thus one must have the Holy Spirit within him / her to humble yourself to this level. Hata kitendo cha mtu kufikiria kujishusha nilazima uwe na Roho wa Mungu ndani yako!………Sisemi kuwa marais waliopita walikua si watu wakujishusha hapana bali Rais Magufuli took it to the whole new level! BRAVO Dr. Magufuli!  Screenshot_2016-01-21-10-11-13-2Nimefurahishwa sana na ujumbe huu wa Missy LB kuhusuana na Mh. Rais. Japo wote tunajua LB haikubali CCM (which I don’t blame her) lakini nafurahia kuona uungwana wake wa kukubali mazuri ya Rais wetu. Ubarikiwe sana #KichunaWaKizaramo FB_IMG_1453390900315 IMG_20160121_094246Hili swala la “kujishusha” kwa Rais Magufuli siyo mara ya kwanza, nitabia amekuwa akionyesha hata kabla hajawa Rais. Napia hivi karibuni tulishuhudia yeye na familia yake wakishiriki katika kufanya usafi wa inchi yetu siku ya sherehe za Uhuru. Ubarikiwe sana Rais na familia yako yote! ?

Kutoka Facebook

IMG-20160112-WA0001-1My sister! Umependeza, na weusi wako usiyo chuja. Wapendwa wasomaji wangu huyu ni dada yangu mtoto wa marehemu baba yangu mkubwa. Yeye anaishi Tanga na familia yake. Mdogo wake ndiye yule anategemea kuowa yule wifi yetu mpya toka Tanga. Nime m-miss sana, love you sister!

Parents! Parents!

Parents with young children must be very careful when they take in adolescents in their homes. It is important to teach the young children about ‘bad and good touches’ and the urgent need to report them. Even when the adolescents are relatives, one must not assume that unmentioned incest taboos will keep the hot-blooded youths from fondling the younger children or even going all the away! This incident happened for real, it is true!……..The daughter of a friend of mine was repeatedly raped at home by her soft-spoken teenaged cousin who came to live with the family during the holidays. The daughter was silent for a while because of the shame of being used, as well as fear of reporting the violence to her ‘christian’ parents! The hardworking soft-spoken cousin continued  raping this girl whenever the parents left for work and her siblings were occupied with play or homework! And then the nightmares started. The story came out through a cancelling session conducted by family’s Pastor. Pregnancy tests were negative so do the STD tests! However, the damage to this girl and family relationships is severe! The cousin was returned back to his village home and his tuition fees were cut-off.  My friend started hating her husband because he failed to report his nephew to the police and failed to rebuke or punish the nephew! The daughter still gets horrible nightmares. Taking in poorer relative is cool and compassionate but it must not become a punishment or curse to one’s child!! Discuss the difference between “bad and good touches” with all the children living under your roof, even then ones living at your home temporarily/ holidays time, or when they go for sleepovers at their friends’ houses. Teach them who can kiss them and where. Not all kisses are good kisses; indeed not every person can kiss them. Prevention is better than cure, let’s protect our young ones!

Please note: The picture displayed has nothing to do with the story. It’s only to “glamourize” the page!

Hot shot of the day

Screenshot_2016-01-15-16-36-26-1Shamimu Mwasha looking hot! Mama wa 8020 fashion  blog! Nimependa rangi na nguo yenyewe, ngozi safi nzuri mno, make-up imetulia kabisa! Mimi si mpenzi wa kuvaa vilemba lakini huwa napenda nikiona mtu kavaa halafu likamkaa vizuri kama yeye. Yani mimi  kama ningekuwa na uwezo wa kuvaa T-shirt na skinny jeans au tighty kila siku ya Mungu basi ningevaa hivyo kila siku ??? sipendi shopping ya nguo kabisa aaaa hivyo mambo ya fashion nawaachia wajuzi kama Shamimu! Kwakweli huyu dada anajitahidi na nimevutiwa sana na ile TV yake mpya iitwayo Zeze TV, imenikuna haswa aaa nafikiria “kumgelezea” ??? Ubarikiwe sana mpendwa, keep doing the good work.

Joke of the day

Screenshot_2016-01-12-02-12-56-1You keep editing your pics! What if gone missing………..How we gon find you? You look like Beyonce Online and Smeagol in Person!”             ??? ??? ?? ?………..    #NaturalIsBeautiful

“I want them to know that natural is beautiful”-Angelina Jolie

FB_IMG_1453069561876
                                      Angelina Jolie without make-up

“Beneath the makeup and behind the smile, I am just a regular person. So many girls look up to me. I want them to know that natural is beautiful. They aren’t fully aware of the fact that behind the looks there are a lot of designers, make up artists, and photoshop editing. Celebrities whole sense of beauty is flawed. You should be care free. Love the real you. It doesn’t matter what you look like on the outside, it’s whats on the inside that counts. At 40 now I’m beginning to accept who I am. I have flaws and that’s okay. I’m proud of all the women who are brave and real and can say that they are enough and beautiful just the way they are! I hope you spread the message and let the world know that you value inner beauty more than the outer appearance.”

55114a3befc19
            Angelina Jolie with cosmetics applied on her face / skin

Hot shot of the day

FB_IMG_1452498340638Wow! Isn’t she gorgeous! Lupita Nyong’o katika ubora wake! Looking stunning, I love everything I’m seeing ?? FB_IMG_1452498333692Brain and beauty in the right place! I adore her!

“Kwetu pazuri nimesha pakumbuka”

FB_IMG_1452475294620-1“Nyumbani kwenu ni nyumbani kwa baba yako ni kwako!”…………karibuni niwape tour ya nyumbani kwetu Utegi, Rorya, Mara. Kwenye picha ni dada yangu mkubwa, yeye ndio mimi namfatia. Hapa ni wiki iliyopita alikuwa amekwenda kusalimia ndugu na jamaa huko kijijini. Yeye anaishi mkowa wa Geita na familia yake. Hapo aliposimama ndio entrance ya nyumba ya mama yangu. FB_IMG_1452475331708Hapa ni eneo la mbele ya nyumba yetu. Naona matengenezo yataanza hivi karibuni kabla ya kumpokea wifi yetu toka Tanga ? can’t wait ? FB_IMG_1452456925691Hapa ni kwa pembeni karibu na mlango wa kuingilia jikoni. Nimekumisije sasa ?? IMG-20151118-WA0001Kwakweli sijafahamu kwanini, ila mimi sijahi kulala kwenye hii nyumba japo imejengwa zaidi ya miaka 20 iliyopita ?? wakati bibi yangu mzazi baba yupo hai nilikuwa nikifika Utegi na lala kwenye nyumba yake. Baada ya bibi kufariki sikuhizi nalala kwa mama yangu mkubwa (mke wa marehemu baba yangu mkubwa ambaye kijana wake anatarajia kuoa yule wifi yetu kutoka Tanga). ??? IMG-20151118-WA0002???? nicheke mimi, watu wanatoka mbali sanaaaaaa!  Hiyo nyumba  yenye kidirisha cha rangi ya “blue” ndiyo nyumba ya kwanza kabisa ya baba yangu. Hapo ndipo alipokuwa anafikia yeye na mama wakati wakienda kijijini ?? what a memory! Naona hata kubomoa hawataki inatumika kama storage…….. Halafu hiyo nyumba nyeupe pembeni yake ni mji wa marehemu baba yangu mkubwa hapo ndio huwa nafikia sikuhizi. Nakule kwenye gari ya pick-up ndiyo nyumba ya marehemu bibi yangu ilipo……..haya basi ukifika Utegi usisahau kupitia kwetu ni njiani kabisa. And let all the glory and honor be to God ?

Mother and daughter moment

FB_IMG_1452434006782-1Mama na mwana! Dr Victoria Kisyombe na binti yake Janet Kisyombe. Ngoja niseme ni jinsi gani niliwafahamu mama na mwanaye…..

Janet na mimi tulikutana na kujuna miaka ya nyuma nilipohamia mji wa Wichita, Kansas. Alikuwa ni rafiki ya kaka yangu aitwaye Joseph. Sasa katika maswala ya kutaka ride kaka yangu alimuomba Janet anisaidie kwani mimi nilikuwa sina US driving license. Basi katika watu ambao walinisaidia na maswala ya usafiri Janet ni mmoja wao. Na siku ya leo naomba nimshukuru hadharani; asante sana Janet ubarikiwe zaidi ya hapo. Kwani ni wachache sana wenye moyo wa kusaidia wenzao bila kudai malipo yoyote. Kuishi hapa USA nimejifunza mengi zaidi kuhusu sisi Watanzania. Napia nimeelewa kwanini sisi Watanzania hatuendelei zaidi ya kuwa na chuki binafsi na watu bila sababu yoyote ya msingi. Anyway ipo siku nitaliongelea hili swala kiundani zaidi. FB_IMG_1452620273715Ok. Kuhusu Dr Victoria Kisyombe, yeye sijawahi muona uso kwa uso bali niliona mahojiano yake na CNN-Africa mwaka juzi. Lakini akili haikunijia kuwa anaweza akawa na undugu na Janet. Kwakweli niliguswa sana na story yake mpaka nikashare na mtu mmoja (ambaye by then nilifikiri ni rafiki mwema kumbe adui number moja, hivyo sasa siyo rafiki yangu tena). Sasa mwaka jana tuka connect na Janet Kisyombe kwa mara nyingine kupita Facebook. Sasa katika kuangalia picha nikaona picha za Dr. Victoria Kisyombe! Nikamuuliza Janet uhusiano wao akaniambia ni mama yake. What a small world?! Yani nilihisi kulia, nikamwambia mama yako ni mmoja ya watu ambao wameni inspire sana, na nilikuwa natamani siku moja kuonana naye. Wote wawili wakafurahi na sasa nashukuru Mungu tumeshakubaliana kuonana siku moja, tukae chini tuongee mambo mbali mbali. Dr. Kisyombe ni mama shujaa anayeguswa na maisha ya wakinamama walio katika mazingira magumu ya kujikwamua kiuchumi. Hivyo akaanzisha organization yake ya kusaidia wakina mama. Soma hapa 

Kwakweli inasikitisha sana kuona wakina mama au watu kama Dr. Victoria Kisyombe ambao hata inchi za wenzetu wanawatambua lakini hawapewi nafasi ya kusikika katika jamii ya Watanzania   kwasababu tuu wahakutoka kwenye familia za wenye “pesa” au kwenye zile familia ambazo wazazi na watoto wao wamesomeshwa na “kutanua” kwa kodi za Watanzania, au kwa kukosa connection ya watu wa “mujini”. Asante Mungu kwa kutuletea Dr. Magufuli, sasa hivi tutajua nani mwenye pesa halali / safi Tanzania na nani walikuwa na pesa za ufisadi. Enzi za mimi mtoto wa “fulani” hakuna tena sasa hivi ni  Enzi za #HapaKaziTuu …………..Kwa mara nyingine nasema asante sana Janet, and looking forward to meet your darling mother one day. Mbarikiwe sana. 

Kutoka Facebook

2016-01-12 09.22.45Mr and Mrs Madebe, wamependeza sanaaaaaa! Nimeipenda sana. Mbarikiwe sana mwanangu na mkamwana wangu, ndoa yenu idumu milele katika Bwana.

Father and daughter moment

FB_IMG_1452612053521Huwa wanasemaga “father is daughter’s first love!” Watoto wengi wakike huwa wanaangalia baba zao kama walimzidi na ngome zao. Mtoto wakike hujenga imani kwa baba yake zaidi katika maswala ya ulinzi (protection) kuliko kwa mama. They look up to their father as a “safe heaven” when feel threatened! Na siku zote huwa wakitaka kuolewa au kuwa kwenye mahusiano huwa wanajaribu kuangalia kama huyo mwanaume anatabia zinazofanana fanana na za baba yake. Kwani anataka kuhakikishiwa kuwa huyo mume will protect her na kumjali wakati wote………..hivyo basi ni vizuri kwa akina baba kuwa mfano mwema kwa watoto zao kwa kuwapenda mama zao kama wanavyo penda mabinti zao. Kwani kama wewe unataka binti yako akiwa na mume am-treat her like a queen then you need to show some examples by treating the mother of your children like a queen! Mbarikiwe sana baba na mwana.

A word of wisdom

FB_IMG_1452233135586

Hot shot of the day

image-5Beautiful! How do I miss them! Kalamazoo will always be home for me and truly missing my TRUE friends! Friends who have been there for me all the time! May God bless you the Ongwelas,  love you deep!

True beauty comes from within!

Screenshot_2016-01-08-20-02-39-1Wow! Let me start by saying this; true beauty of any woman is not in a facial or body appearance but rather the reflection of her inner soul! It must comes from within my friends! Screenshot_2016-01-08-20-01-31-1These pictures of Zari and her family speak volumes about Zari’s inner beauty and personality! I mean its just amazing ?? Screenshot_2016-01-08-20-02-09-1What a great example to many of us! Ubarikiwe sana.  Screenshot_2016-01-08-20-01-45-1Just adorable! God bless them!

Blog