Kutoka Facebook

image-4Awii! Black Beauty! Mzurijee sasa! Missy Kimati toka Bongoland, huyu ni mdogo wake na Mrs Nyongo  (unaweza soma hapa kujua Mrs Nyongo ni nani) Pendeza sana na ngozi yako nyororo yenye rangi adimu.  Ubarikiwe sanaaaaaa mpendwa.

December babies

received_10207010175031850Naona hawa waliamua kujitenga na kufurahia birthday pamoja ? mmependeza wenyewe. Be blessed

The Manongis’

FB_IMG_1452433918281Baba na mama Manongi, wamependeza sana, isn’t love a great thing! FB_IMG_1452433868529Siku zote  nitawashukuru kwa upendo na ukarimu wenu hii familia. Nashukuru kwa kusimama nami hata pale inapobidi familia kugawanyika. Mimi ninani  hata mnitendee haya yote?! Mbarikiwe sana wapendwa, sina cha kuwalipa  zaidi ya Asante!FB_IMG_1452433885408-1brotherhood! Mbarikiwe sanaaaaaa kaka zangu!

Wazo la leo

“Pegine na skuli nako pia anao uhodari kama huu! Vinginevyo  he won’t and can’t be the kind of role model our children need. Ni vema tukaribishe maonyesho na mashindano ya sayansi na vitega uchumi kuliko mikogo ya kukata viuno mitaani au show za wasanii kama hawa. Kwa watoto wadogo, its not an example I would encourage kids to emulate!” Hayo ni maneno yake Mecky Napoli kuhusu msanii fulani (jina kapuni)…………FB_IMG_1452399938928Maoni yangu mimi kama Alpha: Aliyosema Mecky ni ukweli mtupu, ni maneno ambayo anaongea mzazi mwenye uchungu na mapenzi mema kwa watoto wetu. Nilishawahi kuhudhuria tukio fulani hapa USA ambapo pia watoto walihusishwa yani ilikuwa ni aibu tupu! Cha kushangaza waandaaji wa hilo tukio wengi walikuwa wazazi, jambo ambalolilinifanya iniwie vigumu kuelewa walikuwa wanafikiri nini! Ni vyema tuwe tunatafakari aina ya wasanii tunao waalika kwenye matukio yanayo husisha watoto!! Asante sana Mecky kwa kuliona hilo, ubarikiwe!

Sister sister- daughters of “Kenyatas”

FB_IMG_1452144739959Beautiful! I call them the daughters of Kenyata because they are from Kenya.  The left one is my sweet sister-in law Faith (my babysister is married to a Kenyan guy). Blessed my sisters!

Hongera sana Jambo African cuisine

FB_IMG_1452232738945Hongera  Jambo African Cuisine kwa kushinda tuzo ya Best Of SouthWest Michigan. Mungu akubariki sana ushinde nyingine kubwa zaidi ya hiyo…………Pichani ni Frida Boyd mmiliki wa Jambo African Cuisine iliyopo Kalamazoo, Michigan. Yeye ni mwanadiaspora toka Tanzania. Ukifika Kalamazoo usiache kufika Jambo African Cuisine wana vyakula vitamu sana na huduma zao ni nzuri mno! Hongera sana Frida, very proud of you!

Sister sister- The New Yorkers

FB_IMG_1452434400687The smile speaks for itself! I love the New Yorkers, they make such a  beautiful family! Be blessed my friends!

Father and daughter moment

image-6Baba na mwana, wamependeza sana. Huyu wa kushoto  ni wifi yangu mkubwa. Ndiyo mke wa kaka yangu first born wetu. Hapa yupo na baba yake mzazi mzee Nyahoro. Mbarikiwe sana wapendwa.

Wifi karibu nyumbani

FB_IMG_1452185001627???? Wifi ii twende nyumbani ii ×2 hapa ndipo nyumbani kwetu karibu mama,  karibu kipenzi chetu karibu mama???…………….#MwanamkeMiguu ??

Hongera sanaaaaaa mdogo wangu William Igogo kwa kumvisha pete ya uchumba my soon to be sister-in law Celina FB_IMG_1452184998620Awii! Mzurijee sasa! Wapendwa naomba niwatambulishe my soon to be sister-in law. Mungu akipenda mwezi June /2016 tutaingia ndani ya mkowa wa Tanga na kumchukua wifi yetu! Atakuwa mmoja ya familia yetu ya mzee Otty Igogo ! Huyu atakuwa wifi yetu wa 3 sasa. Naona mdogo wangu safari hii katupeleka Tanga kwa mzee “Yussuf Makamba” awii! Can’t wait for the day! Karibu sana wifi yangu na ujisikie upo  Tanga ??? ……

Hot shot of the day

FB_IMG_1452144622513Palipo na Mungu siku zote pana upendo wa kweli! Mr and Mrs Bob Tuvako mmependeza sana. Hapana ngoja nikupe heshima yako: Mchungaji Bob Tuvako na mama Mchungaji, mbarikiwe sana wapendwa.

A word of wisdom

Kuna msemo unaosema”ukitaka kuwa Tajiri fanya vile vitu Matajiri wanafanya Eg, tembelea sehemu wanazotembelea, Vaa wanavyo Vaa na kula/kunywa wanakokunywa ” Inawezekana ukafanya hivyo ukaweza kupata connection ukawa Tajiri But myself I would suggest Otherwise……….FB_IMG_1452123332217Ukitaka kufanikiwa /kuwa Tajiri jiulize Waliofanikiwa na kutajirika WALIFANYA NINI HUKO NYUMA, hadi wakachomoka na leo tunawaona wana Pesa,wanaenda popote watakapo, wanavaa chochote wapendacho,wanajenga mansions/castles ,wanasomesha watoto Shule za ‘bei ghali’ or Abroad na kuwa na Power/Heshima ktk jamii ? Uki-copy wanachofanya sasa hivi myfriend utafilisika ?, wakienda kunywa Level 8,Cape Town fish market, karambezi, double tree, High spirit nk na wewe utaweza? au utaomba kwenda Toilet Bill ikija mezani? Wakienda shopping USA,UK,Dubai or SA Utaweza au utasumbua watu uletewe zawadi? Wakivaa Rolex utanunua fake au?

Hii ni hata makampuni,kuzikopi kampuni kubwa zenye uzalishaji mkubwa na kutengeneza pesa nyingi ktk uendeshaji wa kampuni yako yenye 2/3yrs ni risk! Wao wako computerised kila mahali na wana uwezo wa kuwa na sophisticated office systems &softwares! Kampuni ndogo huwezi anza leo na hapo hapo hapo ukaajiri na kuweka departments wakati Huna kipato cha kuwalipa staffs ,kulipa Utilities bills leave alone kulipa kodi ya pango .
So Kama ni kampuni inaanza jiulize KAMPUNI KUBWA ILIYOFANIKIWA LEO NA UNGETAMANI UFIKE HAPO JE UKO NYUMA WALIFANYA NINI KUWEZA KUVUKA VIKWAZO NA KUFIKIA WALIPO Then jipange kuyafanyia kazi kwa vitendo yale utakayojifunza.
Na hata vyeo makazini ni hivyo hivyo jiulize your CEO Alifanyaje kufika alipofika then angalia ni nini ufanye kwa mwaka huu 2016 kusogea hatua 1,2,3,4 …kufikia nafasi hiyo ya juu.

Wish you all the best!

God Bless you ?

Till then,

Haika Lawere
Mbezi Garden Hotel.

Mother and son moment

FB_IMG_1452145520326Mmependeza sana mama na mwanawe! Nani kama mama?! Furahini katika Bwana, na.mbarikiwe siku zote!

Kutoka Facebook

FB_IMG_1452145620037Nimependa sana hii picha ya Ritha Semizigi, simple but beautiful! Ritha nilisoma naye Mgulani Primary School, sisi ni product ya Mwalimu Mwailafu ?? Pendeza sana my friend! Ubarikiwe sana

#TBT#

FB_IMG_1452146271058Collage days at CBE back in 2000………..old is gold ?

“Truth in plan sight”

HOLLYWOOD, CA - FEBRUARY 22: Actress Lupita Nyong'o attends the 87th Annual Academy Awards at Hollywood & Highland Center on February 22, 2015 in Hollywood, California. (Photo by Kevin Mazur/WireImage)
HOLLYWOOD, CA – FEBRUARY 22: Actress Lupita Nyong’o attends the 87th Annual Academy Awards at Hollywood & Highland Center on February 22, 2015 in Hollywood, California. (Photo by Kevin Mazur/WireImage)

TRUTH IN PLAIN SIGHT Tuesday, January 5, 2016

So………your man tells you he is not planning on having kids or getting married anytime soon as he is still sorting out his life…….. he tells you he wants to have his second degree, a proper house and a bigger car first…. you sit there smiling with just a birth certificate thinking you’ll be the wife?

With the little he has, you ask for brazillian hair and timberland……… he goes to work and goes straight to class after work…….he leaves you in pyjamas and finds you in the same pyjamas…….. while he studies you watch generations and isibaya……..He comes back home to find pap and chiken in the microwave everyday……….the house is clean and his clothes ironed……..the only serious conversation ya’ll have is about the typa groceries you guys need. 

The only advice you give him is “babe you need to buy new socks, the ones you bought last time are torn” nothing intelligent comes out of your mouth…………..no plans of making your own life better………….yes you are pretty………no doubt about that!………so is every second girl passing by!!

 Do you realize something……..you are not doing anything a maid can’t do………. he’s gonna finish school and the first thing he’s gonna do is REPLACE HIS MAID cause he can now afford to pay one and have a PROPER WIFE/GF.

Thats when we gonna hear your famous last words “l was with him through thick and thin when he had nothing, now that he is successful he thinks I am nothing” Yes you’re right…….you’ve always been NOTHING but a maid to him……

Empower yourself to be the woman your man wants to be with…….a woman who would be able to carry the whole family if anything happens to his job or his health!!!Lupita-Nyongo-Hair-Makeup-SAG-Awards-2015-1

Please note: Lupita Nyong’o has nothing to do with the moral of the story! I just used her pictures for decoration!………….credit to Vijimambo blog

A word of wisdom

maya-angelou-1

Father and daughter moment

imageLovely pic of Advocate Janeth Igogo and Sir. O.O Igogo.  Simply beautiful!

Kutoka Facebook

FB_IMG_1452043766185Nimependa sana hii picha ya Lady JD. Rangi na mshono vyote vimemkaa vizuri sana. Sijamsikia huyu dada muda sasa au mie ndo nimezeeka?

Wazo la leo

FB_IMG_1452082426184

I suggest of staying away let’s show them some love ❤ and get them to see the solution in every problem ? Tusiwatenge tuwanyooshe kwa upendo ?? tuwaonyeshe suluhisho kwa kila tatizo. Kazi njema! #ChangeTanzania FB_IMG_1452082433749

Hadithi ya dada yangu Grace-AnyangoNyoyoo!

FB_IMG_1451949046500-1??? acha nicheke kwanza lol! Je kwenye familia yenu mlishawahi kufanyiwa surprise ambayo kidogo iwatowe roho?! Basi huyu dada yangu alishawahi kufanya hivyo. Ni mtoto wa marehemu baba yangu mkubwa ambaye alikuwa mtoto wa pili kuzaliwa katika familia ya bibi yangu mzaa baba. Huyu dada yangu anaitwa Grace (official name), Anyango Nyoyoo (Jina la kilugha alipewa la bibi yake mzaa mama yake). Kwa sisi wa nyumbani tumezowea kumuita Anyango, waliosoma naye wanamwita Grace. Jina la utani ni Yondo sister (alikuwa anacheza sana muziki wa Yondo sister).  FB_IMG_1451949046500Sasa siku moja tuliamka tukakuta yupo ndani ya magazeti kuwa ameshinda kuwa “Miss Kibaha” ??? kipindi hicho alikuwa “modo” kweli kweli! Hiyo picha juu ni last month ambapo ana watoto wawili teyari na wote wako above 18 (Hakuwaambia kuwa ana watoto)! Basi surprise hiyo ilitokea nafikiri ilikuwa miaka kati ya 94-95 kipindi hicho bado wazazi wengi walikuwa na mtazamo tofauti kuhusu mambo ya modeling na u-miss! Jambo hilo lilishtua sana wazazi haswa ukizingatia kuwa amezaliwa, kulelewa, na kukulia katika mazingira ya “conservative Sabato” hivyo was a big shocking  news to all of us! Masikini si wazazi wakamkatalia kuendelea na mashindano. Kwahiyo ndoto zake za “umodo” zikaishia hapo ??

Hapa kitu cha kujifunza nikuwa wazazi tusiwe too strict kwa watoto wetu! Si kitu kizuri sana. Kila kitu  ni kizuri kikiwa na limit na siyo extremely! Ni bora ujuwe mtoto wako kama anapenda mziki, au mambo ya umodo n.k kuliko kupata surprise kwenye magazeti au watu baki. Najua wazazi wetu walilelewa katika mtazamo tofauti na yetu hivyo mambo mengi kwao waliona kama ni uhuni au anasa. Yani maisha ya mtoto yapo so “structured” to the extent mtoto hapati nafasi ya kuwa mtoto na kupita hatua za ukuwaji ambazo anastahili kupitia. Malezi hayo ndiyo yanasababisha watu wengi kutoka Africa wanafanya vitu kinyume na umri wao. Yani mambo ambayo alitakiwa kufanya akiwa “teenager” anafanya akiwa mtu mzima  na familia yake! Vile vile imefanya watu wengi haswa Watanzania kuwa very judgemental! Yani watu wanaishi maisha ya “kukariri” na “ku-fake”kwa sana! Yule ambaye anaenda tofauti na the “normal route” anaonekana kuwa amepotea au hana maana yoyote! Wazazi na watu wengi wa nashindwa kuelewa kuwa kila binadamu ni unique hatufanani! Kwamaana hiyo hatuwezi wote tukafata na kufanya mambo ya aina moja! Wazazi msibane sana watoto wapeni uhuru kidogo wa kupumua, kutafakari, na kuchangia katika maamuzi ya maisha yao. Wasaidie kuishi kwa kutimiza ndoto zao nasi zenu wazazi! Ilimradi havunji sheria au hamkufuru Mungu basi wewe msapoti tuu! Kila mtu anawito wake hapa duniani inawezekana ikatofautiana au ikafanana yote ni sawa tuu! Basi hiyo ndiyo hadithi ya dada yangu kipenzi  Grace-AnyangoNyoyoo!

Blog