Kutoka Facebook nimependa picha ya huyu dada anaitwa Monica. Si unajua bado tupo kwenye ‘Christmas mood’ mpaka kesho ? kapendeza sana. Ubarikiwe mpendwa.
Family time-the Sarungis
Safi sana. Familia ya Mzee Sarungi walikutana na kufurahia siku kuu ya Noel pamoja. Beautiful family! Mbarikiwe sana.
Mother and daughter moment
Lucy na binti zake wakiwa nyumbani kwao wakifurahiya mapumziko ya boxing day! Wao ni wakazi wa Dar. Nani kama mama?! Safi sana, mbarikiwe wapendwa………..……..Lucy pole sana kwa msiba wa bibi. May she R.I.P.
Happy 13th birthday my lovely niece!
Wow! Where did time go! Happy 13th birthday my darling and humble niece-Mary! I can hardly believe it and there’s no way to deny it!! It is official YOU’RE TEENAGER NOW ?? means it’s time for smartphone and joining Social Media ?? I’m dying to see how your dad will react about it ??? well niece, I am wishing you the best in your “teen hood” but please ee don’t bring that teenagers’ attitude to me ??? can’t take it anymore ?
May the love of God shine upon you. Guide, protect, and bless you today and always. I wish you joy, love, and happiness. Happy 13th birthday sweetie! ??
Merry Christmas wasomaji wangu!
Wapendwa wasomaji wangu, ndugu, jamaa, na marafiki. Naomba niwatakieni wote Kheri na baraka zote za siku kuu ya Noel. Muwe na siku njema yenye baraka nyingi. Uzungukwe na upendo usio kifani. Merry Chrismass to you all!?…………Mliopo Bongoland, Christmas hii mawasilino muhimu. Basi usisahau kununua vichaa zako za mtandao wa kuaminika. Halotel ni habari ya mujini na vijijini. ?
Hot Christmas look
Mtani wangu kapendeza sana! Merry Christmas to you my mtani all Wahayaz WANAO IJAZA hii dunia ? Mbarikiwe sana wapendwa watani zangu! ?
Merry Christmas:The Nyongos
Wishing you a very Merry Christmas and a wonderful Happy New year. May god bless your family on this special day with love and joy. We hope that this Christmas will be a cheerful ending of the year and great beginning to a Happy new year. #TeamNyongo#
Wazo la leo kutoka kwa Le Mutuz
Nilishawahi kusema na ninarudia kwamba I am an imperfect creature of God! I believe in God and I trust him 100% kwamba yupo na ndiye aliyeniumba. That baada ya kuniumba alimaliza the rest of the life game is mine maisha tunaishi kwa kufuata njia zilizotengenezwa na waliotutangulia ambao kati yao kuna waliokuwa na AKILI KUBWAZZ wachache na akili ndogo wengi kama kawaida ya maisha….in my life niliamua siku nyingi sana kuwafuata wenye AKILI KUBWAZZZ maana najua ndio the Only way na Mimi nitakuwa kama wao LE AKILI KUBWAZZ guys in my Life hakuna Binadam ninamuogopa kama MJINGA ndio maana nikishakugundua kuwa ni mjinga ninakukimbia kwa kutumia 120speed per KM maana ninajua one rule in life ni rahisi sana kwa Mjinga kumgeuza mwenye AKILI kuwa mjinga kuliko mwenye AKILI kumgeuza mjinga kuwa na AKILI ………..WHY? Mjinga is always good at his ujinga huwa anakuwa kama Nguruwe Furaha yake siku zote ni kukuchokoza uingie kwenye Matope upigane naye yeye ana Super Experience na Matope so atakushinda na atakupaka Matope so kama una AKILI KUBWAZZ unamkwepa mapema ndio maana Mimi fuatilia my Instagram hata siku Moja NEVER sim follow mtu yoyote niliye Conclude with FACTS kwamba ni mjinga I don’t care how maarufu he or she is na how many followers anao binafsi nikisha amua kwamba ni mjinga ninaku unfollow kimya kimya na hutakuja kunisikia tena ndio maana my life is stress free cause nimebana sana na kuruhusu Only Natural stress kunifikia lakini sio stress za kujitafutia….binadam mjinga ni yule ambaye hajifunzi kutokana na makosa cause kosa sio kufanya makosa ila kurudia tena makosa Yale yale kila wakati ni UJUHA na ndio Umburulazz….guys kama kweli unajiamini na unajitambua from now anza na Ku unfollow Mburulazz wote unaowa follow humu Instagram utaona lazima utateseka umezoea kuwa entertained na ujinga infact umeuhalalisha ujinga mpaka kuuwekea justifications utasikia MTU mzima na akili timamu anasema nikijisikia bored naingia Instagram na kuwasoma kina mwafulani anawataja kwa majina ukimsikiliza wote anaowataja ni wale wale Super gademu Mburulazzz hajui ndege wa rangi Moja huruka pamoja!
Mother and daughter moment
Blessing na mommy ake. Wamependeza sana. Haya nawatakieni siku kuu njema! Mbarikiwe sana.
Merry Christmas: family ya Kilangwa
Family ya Kilangwa kutoka Kansas city. Nawapenda sana. Nawatakieni siku kuu njema!watoto wanakuwa haraka sana. Mbarikiwe sana wanetu.
Father and son moment
Hahahahaha! nacheka kwasababu akiona hii picha huku atashangaa sana. Huyu ni moja ya ndugu zangu waishio huko Arusha, Tanzania. Huyu ni mwana UKAWA. Ni mmoja ya watu nilikuwa tukipingana sana wakati wa kampeni ??? Hivi mnajua zile kampeni kuna baadhi ya ndugu zangu wameninunia mpaka leo?! ??? Lakini huyu alelewe zile zilikuwa kampeni hivyo tukose powa kabisa……haya muwe na siku kuu njema. Mbarikiwe!
Merry Christmas: family ya jeshi la Mutu 3
Family ya jeshi la Mutu 3. Naona wao wanasherekea siku kuu ya Christmas wakiwa Disney world! Nawapenda sana hawa watoto a.k.a Jeshi la Mutu 3. Hao wakubwa ni ma-twins. Mungu azidi kuwalinda na kuwapa maisha marefu yenye amani na furaha. Nice! Mbarikiwe sana wapendwa. Na muwe na siku kuu njema
Mother and daughter moment
Nimependa sana hii picha ya Linda a.k.a Kichuna Cha Kizaramo ? na binti yake Leyla! Hapa walikuwa katika maandalizi ya kupiga picha za 2015 LB Winter collection. Wamependeza sana. Tafadhali naomba uwafollow kwenye IG kwa majina haya LB_fans page, designer_LB, au ukitaka kununua / kuagiza nguo watembelee hapa. www.lindabezuidenhout.com
Asanteni wote»
A word of wisdom!
All Christians are just regular, normal, average people (just like you) and all people will let you down at one time or another. Christians are NOT perfectly good people; they are all sinners. Christians try to do good, but they try to be aware of their shortcomings and their sins. They pray to God for strength, direction, for God’s grace and forgiveness.
Credit: Bible Basic Layers Of Understanding
Late post: Thanksgiving dinner + Muddy’s 16th biryhday party
Hii ilikuwa Thanksgiving dinner ambayo iliambatana na “Sweet 16” ya Muddy a.ka #88!(Mwenye Tshirt ya grey na black pans ?). Party hii ilifanyika nyumbani kwao Muddy huko Maryland! Yes, hapo ni ndani kwao lakini (Edda Gachuma) mama yake Muddy ni mtaalamu wa kupamba na mambo yote ya mahanjumati basi hapo alipatengeneza pakawa kama +5? Hotel Resort! Eddah Gachuma hapo ? ni level nyingine ati! Ni homa ya jiji la Maryland na vitongoji vyake! Yeye ni mmiliki wa Eddah Elegant Catering yenye makao yake makuu mjini Maryland, USA! Anapikia watu au shughuli za watu wenye pesa zao za kuaminika weusi kwa weupe, wafupi kwa warefu, wembamba kwa vibonge! Habagui dini wala kabila! Huduma zake zimekidhi kiwango cha AFDA ?? Jamani si mnajuaga mie sio “Nyumbu” hivyo sifanyi au sionge vitu kishabiki! Tena kitu kama chakula ndio kabsaaa sharti nikionje mwenyewe ndio niseme ?? basi nilisha kila sana chakula cha Eddah Elegant Catering hivyo siyo kwamba nasifia bali nawapa HAKI yao! Wanastahili! Utamu wa chakula, mpangilio ndo usiseme yani wala hujutii kutoa ?? yako! Kuona kazi za nyuma zilizowahi kufanywa na Eddah Elegant Catering bonyeza hapa au unaweza bonyeza hapa kuona kazi nyingine zaidi! Vile vile kuna 2015 Christmas party inayo andaliwa na Eddah Elegant Catering wiki ijayo stay tuned! Itakuwa party ya kufa mtu! Aah! Kama huto weza kufika basi usijali mimi nitakufikisha hata kwa picha tuu ?? nitawaletea picha zoteee!!! Sasa wewe kwa mtaji huu mwanaume ataacha kukudondokea❓❓ Mwanamke amekamilika idara zote si kama wengine kutwa kula kwenye nyumba za watu yani kupika kwao majanga ?? halafu sasa sura zao zipo allover the place yani kila aina ya mkusanyiko lazima uwaone ?? wamekuwa kama “disposable plates” hazikosekani kokote pale penye kundi la watu ?? wakati majumba yao yana maduduwasha hazikaliki ??? Mwe! Shemeji yangu embu nitunzie dada yangu kwani anastahili! Awii! Too cute! Sister sister! Elizabeth Gachuma (L), Eddah Gachuma, na Gatti Gachuma. Elizabeth yeye alikuja kutembelea dada zake lakini anaishi Bongoland na ameondoka wiki iliyopita. Wow! Mmependeza sanaaa yani utafikiri masuper star war Hollywood ?? Hawa ni dada zake na Muddy. Nao ni wapishi wazuri sana ndio huwa wanamsaidia mama yao pale msaada unapo hitajika. Kushoto ni Muna na kulia ni Tiffa! Mbarikiwe sana wapendwa! Wow! Mamkubwa, mama mzazi, Mamdogo, na mwanenu kwa raha zenu ati! Mnawakawaka, mnameremeta ka Diamond vile ?? Happy Sweet 16 birthday to you Muddy #88 be blessed always!
Family time-the “Dangotes”
O’my gosh! Nimependaje sasa hizi picha! Japo sipendi kuweka habari za hawa so called “bongo celebrities” lakini naomba leo mniruhusu kuweka hizi za Diamond! Sababu haswa inayonifanya nisiweke habari zao humu ni kwasababu mimi siwafatiliagi sana hawa waimbaji wa Bongoflava au maigizaji wa Bongo movie. Hivyo kuhepuka kuleta magroup au mgawanyiko usio na lazima nimeona bora nisiweke habari zao unless ni kitu kimenifurahisha au kunigusa sana tena sana kama hivi basi ndo naweka! Hili swala la Dimond na Zari kuamuwa rasmi kuwa familia kwakweli limenifurahisha sana! Na kwasababu leo kama ilivyo ada yetu tunafurahia familia zetu basi nimeona si mbaya kuwaweka humu! Jamani wamependeza sana kwakweli. Mungu awabariki, aitunze hii familia shetani asipate nafasi! ?? Baba Tee na mama Tee wa ukweli ? mimi napenda baadhi za nyimbo za bongoflava lakini sina timu! Sipendi mambo ya timu this timu that ni ujinga na utoto! Inchi yetu ni ndogo sana hivyo kujihusisha na mambo ya timu ni kuigawa inchi bila sababu! Plus kwamfano bongo movie mimi sijawahi angalia hata mara moja sasa inakuwa ngumu kwangu kuwaongelea! Siangalii Bongo movies kwasababu moja kuu; kwa matendo yao tuu sioni kama kuna nitakacho jifunza toka kwao na sioni kama wananifuraisha kiasi cha kufikiria kukaa chini na kuwaangalia! Lakini huo ni mtazamo wangu mimi ? ??? nishike mkono tuonyeshe kweli tunapendana OOO?? nilishe nikulishe ndio ishara ya upendo ?? ??? jamani mwanamke mapishi ati! Sasa mjaluo mie nachojua kupika ni ugali na Kamongo haya mambo ya ndugu zake na Linda Bezuidenhout (mambo ya kizaramo) mie mjaluo nitayawezea wapi ndugu yangu?! ???Basi ngoja niwakodolee mimacho ?? baba na mama Tee ?? Mweee! Wenye bahati zao ?? this is too cute! ?? Mbarikiwe sana the “Dangotes” family!
Family time-the Kakoschkes
Hadi raha jamani! Familia ya shemeji yetu Kakoschke wakiwa Bangkok wakifurahi siku kuu za mwaka 2015 (2015 Holidays vacation). Hii familia ni moja ya familia ninazo zipenda sana sana. Mungu azidi kuwabariki. Enjoy your vacation and have a very blessed 2015 Holidays! Tafadhali wa follow kwenye IG kwa majina haya ZawadiKakoschke, BintiMalaika au unaweza ingia kwa family blog yao www.maisafari.com Asante.
Family time- the New Yorkers
Naipenda sana hii familia ya kutoka New York a.k.a jiji la wastarabu ?ni ndugu pamoja na marafiki wanao pendana na kuheshimiana sana hivyo wakaunda ka-group kao nakujiita family! Hapa ilikuwa ni birtday ya rafiki yao aitwaye Asamoah (mwenye kofia) walikutana na kujumuika pamoja kw ajili yake. Awii! Mtani wangu m-m-m kigugumizi kimenishika siwezi sema oops! Kumbe nasema kw ‘kutumia vidole’ ?? haya vidole vimegoma type ? ?? he is ♨♨??? beautiful, Mbarikiwe sana wapendwa!
Hongera sana Miss Tanzaia 2015
Hongera sana Lilian Miss Tanzania 2015 kwa kujaribu na kuwrza kuingia kwenye 10 bora katika kipengele cha “beauty with purpose.” Kwakweli sitaki kuwa muongo mimi sikupiga kura na sababu kuu kwakweli sikujua. Mie sio mtu wa IG kivile hivyo vitu kama hivi nirahisi kunipita unless nivione Facebook! Hata hivyo nakupingeza kwa kutuwakilisha vyema. Nakutakia mafanikio mema na makubwa zaidi ya haya ?