A word of wisdom!

Maya-1Continue to R.I.P Dr. Maya Angelou ❤

Manhood

FB_IMG_1448462759747The man himself! Muddy a.k.a #88 all the way from Maryland! Looking hotter like Denzel Washington ? (Denzel is my future husband ?? I know ain’t gonna happen  but not giving-up yet ??) FB_IMG_1448462733147okay! My fellow “single ladies” I know this ‘chocolate candy bar’ is ♨ ? but hold-on! Back-it-Off please! He’s a juvenile! Just look with some extra cautions ??  oh! Did I mentioned he is a grandson of one of the richest businessmen in Tanzania ?? yes! He’s Mwita Gachuma’s grandson??

?? curious to know why I called him #88; well,  click⚽

Mother and son moment!

FB_IMG_1450489595955-1Mama wa jeshi la mutu tatu lakini leo naona yupo na jeshi moja ? mpendeza sana. Mbarikiwe wote .

Kindly remember Burundi in your daily prayers!

FB_IMG_1450334571254-1Let us all come together and pray for our brothers and sisters in Burundi! Screenshot_2015-12-17-00-49-53-1They have Civil  Political war going on right now, many has die but surprisingly too little help has been given! Many of us believe and have faith in God; let’s pure of humble prayers to God so things can go back to normal or the help needed can be sent right bout now ?

Please Vote!……….Tafadhali mpigie kura!

FB_IMG_1450312712126

 

 

 

Kichuna cha Kizaramo katika ubora wake!

FB_IMG_1450315357814Jamani huyu Kichuna Cha Kizaramo ni mkariiiiii ♨♨ Yani amekamilika idara zote, uchumi, afya, na jamii ?? Angalia apa alikuwa anaandalia familia yake Thanksgiving ???hivyo idara ya afya anaikabili sawasawa . Nguo aliyovaa kashona mwenyewe???yani product ya LB collection hiyo mambo ya ??napo amekamilika ?? tatizo ni matumizi yeye anasema Wazaramo na party ni kitu iko kwa damu ?? anyway na mambo ya kijamii si mnajua yeye ni ? mama mwenye familia napia ni mwanaharakati wa mambo ya siasa✌✌??? kwakweli hii Kichuna Cha Kizaramu ni ? O’deal woman?FB_IMG_1450315338320Ubarikiwe sana Kichuna Cha Kizaramo ?

Joke of the day!

Screenshot_2015-12-16-23-30-21-1

Kutoka Facebook

FB_IMG_1450211342940-1Leo kutoka Facebook nimependa sana hii picha ya childhood friend and schoolmate wangu Furaha. Kilicho nichekesha ni haya maneno ambayo aliambatanisha na hii picha ?  “Kuna MTU aliniambia hiviii “kila picha wewe unapost sura tu… Miguu wewe huna?!!!”…??? hiyo hapo Tena midhuriiii?? au unataka uone  na goti kabisa? Hahahaha No way..???? Likizo njema bandugu.. Tuombeane heri  tuumalize mwaka salama.. Amina…”  ?

Yani ninecheka sana!……….Ubarikiwe mpendwa 

Manhood

FB_IMG_1450274677361-1The lawyer himself! Advocate Richard MacPio a.k.a Richard Mac Polo ? Kijana yake na “Kidatu” jaturi ? sasa naona boss kesha nyolewa na mzee #HapaKaziTu vipi nawe tuanze kutia maji kwenye kipara hicho au ?? looking good cousin!

Father and daughter moment

IMG-20151214-WA0000Blessing na dady ake ? naona Blessing alikuwa anapelekwa kuogelea. Yani kama kuna kitu unataka umfurahishe Blessing basi wewe mweke karibu na maji tena yabaridi ndio furaha yake ?………..mbarikiwe sana

Happy 15th wedding anniversary to my sister and shemeji !

FB_IMG_1450320179144

Happy 15th Wedding Anniversary to my lovely elder sister Eline and my sweetest brother in-law Musa. May your love continue to be built in and coated with endless icing sugar from God and your marriage last forever!! Enjoy your min gateway ? and come back safely! Happy 15th anniversary,  ❤? you all!

Hot shot of the day

FB_IMG_1450318726266wow! Linda Bezuidenhout a.k.a Kichuna Cha Kizaramo mzurije sasa ?  huyu lazima aliumwa siku ya kwanza ya juma, pale Mungu alipokuwa ametoka kwenye mapumziko ya Sabato ?? simply gorgeous ?

Nawatakieni wiki njema!

FB_IMG_1449968214303Muwe na wiki njema wapendwa! Msisahau kujiunga na Halotel. Kwawale ambao mmeshajiunga basi msisahau ku share hii habari njema nawalio kuzunguka ?

The Doctors themselves!

FB_IMG_1449969654287-1-1Like mother like daughter! Dr. Victoria Kisyombe and her beloved daughter Dr. Nai Kisyombe Kipuyo. So beautiful! Hongereni sana!

Mother and daughter moment

FB_IMG_1450074625300Linda Bezuidenhout  na binti yake Brenda Bezuidenhout. Wamependeza sanaaaaaa! Nikipata muda nitawaletea collection ya nguo anazo buni na kushona mtoto mwingine wa Linda. Hapa wote wawili wamevaa LB Winter Collection. Nimesema ni za LB hivyo inamaana zimeshonwa na Linda mwenyewe. Mbarikiwe sana…………..Pia Nikipata nafasi nitawaletea 2015- LB Winter Collection

Hongera Dr. Nai Kisyombe Kipuyo

FB_IMG_1449969631778-2Naomba tumpongeze  msomi wetu aliye hitimu mafunzo yake na kuvikwa taji la MBBS (2015) siku ya Ijumaa kutoka International Medical, and Technological University.  Jamani nimeshindwa kuitafsiri hiyo degree yote ila najua ni Masters degree katika medical ? hongera sana Dr. Nai Kisyombe Kipuyo, beauty and brain must go together! Yani inapendeza zaidi! FB_IMG_1449969621893 Nimeona niweke evidence kabisa ☝? maana sikuhizi hata “waganga wa kienyeji” wanajiita madaktari ? haya kisome mwenyewe. ??  FB_IMG_1449969654287-1Hapa ni mzee mwenye mali zake ? Mr Kipuyo, Dr. Nai Kisyombe Kipuyo na mama mzaa chema Dr. Victoria Kisyombe! Safi sanaaaaaa! Hongera mama mzaa chemo kazi nzuri umefanya. Pia hongera shemeji yetu kwa support kwa mdogo wetu.

Family time-the Igogos

Screenshot_2015-12-07-19-38-45-1-1Mtu na mdogo! The  lawyers themselves! wakiwa kwenye min vacay in Turkey.  Mbarikiwe wapendwa

Hot shot of the day

FB_IMG_1449963827987This is hottt! Mstahafu Rais BWM na Mbunge wa East Africa dada yetu ShyRose Bhanji.  Mambo ya “selfie” hayo. Wamependeza sanaaaaaa!

Family time-the daughters of Kenyata

FB_IMG_1449955225097Hello daughters of Kenyata! Looking sharp! Be blessed always!

Family time-the Nyagilos

IMG-20151212-WA0000Hahahahaha! hawa ni my niece and nephew Essy and Evin watoto wa mdogo wangu.  Hawa ni half-cast wa Kitanzania na Kikenya. Jana ilikuwa Independence Day ya Kenya.  Naomba niseme Happy Uhuru Day to all Kenyans  around the world!

Blog