You are every reason, every hope, every joy, and every dream I’ve ever had! And no matter how old you get you will always be my precious little angel! You are my greatest gift from God! He gave me at the time even myself knew that I am empty, weak, and helpless; but I received it with thankful-heart! For that you will forever be my Thanksgiving thankful praise to God! I love you now, but tomorrow I will love you even more! Happy Thanksgiving my darling daughter ❤? Dear readers, friends, and family; wishing you all a very happy Happy Thanksgiving Day. May you all be surrounded with greatness!……..with love Alpha and Mercy!
Kutoka Facebook
Joke of the day!
?”Before the Kanu Cock crows you will deny me three time!“ ?? Continue reading Joke of the day!
Hot shot of the day
Mother and son moment
Happy 5th birthday Kylee
A word of wisdom!
I reached the pinnacle of success in the business world. In others’ eyes, my life is an epitome of success. However, aside from work, I have little joy. In the end, wealth is only a fact of life that I am accustomed to. At this moment, lying on the sick bed and recalling my whole life, I realize that all the recognition and wealth that I took so much pride in, have paled and become meaningless in the face of impending death. In the darkness, I look at the green lights from the life supporting machines and hear the humming mechanical sounds, I can feel the breath of god of death drawing closer…… Continue reading A word of wisdom!
Hot shot of the day
Jared Fogle ahukumiwa miaka 15 na miezi 8!
Mahakama imemuhukumu Jared Fogle kwenda jela miaka 15 na miezi 8 na life-time supervision. Pia fedha zake zitachukuliwa na kupewa watoto ambao waliathirika naye pamoja na ex-wife na wanawe. Unaweza google hilo jina lake na kusoma hukumu yote. Kuna baadhi ya watu ambao hawajafurahishwa na hukumu hiyo kwani wanasema alitakiwa kupewa kifungo cha maisha! Nilisha wahi andika story yake siku za nyuma, kama hukubahatika kusoma waweza soma hapa ? Mungu awalinde watoto wote na haya mapepo. Amen!
Mother and daughter moment
Joke of the day
Father and son moment
Baba na kijana wake. Nawapenda sana tena sana waha watu kwenye picha. Kwamsio mjua huyu ni kaka yangu mkubwa ndo first born wetu. Hapo yupo na kijana wake anaitwa Gabriel a.k.a Gabby. Continue reading Father and son moment
kheri ya siku ya kuzaliwa dada Hawa!
Kheri ya siku ya kuzaliwa dada yetu kipenzi. Tunamshukuru Mungu kwa kukupa nafasi ya kuuona mwaka mpya wa kuzaliwa kwako. Tunakuombea akuongezee hekima, busara, na upendo. Ukapate kuwa na maisha mema na mazuri yaliyo jaa upendo, amani, na furaha nyingi zaidi ya jana. Kheri ya siku ya kuzaliwa da Hawa. Tunakupenda ??
Family time-the Ongwelas
Nawamisije marafiki zangu wa ukweli! The Ongwelas are one of my friends that are closer to my heart. Wenyewe originally ni Wakenya, lakini wanaishi Kalamazoo, Michigan. Nilishawahi andika jinsi gani nawapenda na kushukuru urafiki wao kwangu mimi na mwanangu. Unaweza soma hapa? Mbarikiwe sana wapendwa. Mungu akipenda we will see each other soon ??
Family time-the Olung’as
Nimependa picha hii ya mama na wanawe. Mwenye nguo ya orange ni mama yangu mkubwa mke wa baba yangu mkubwa Samwel-Opodi Olung’a Igogo. Na huyo wa kwanza kushoto ni binti yake wakwanza anaitwa Anyango na kulia mwisho ni kijana wake anaitwa Saronge a.k.a Sarungi. Na huyo mwenye blue jeans mdogo wangu anaye nifuata yeye anaitwa Janeth. Naona alienda Tengeru, Arusha kumsalimia mama mkubwa ambaye kwa sasa anasumbuliwa na ugonjwa wa Kisukari and recovering from major stroke.
Nimeandika the Olung’as kuwakilisha marehemu babu yetu mzaa baba zetu. Yeye alikuwa anaitwa William Olung’a Igogo. Hivyo hao ni wajukuu wa Olung’a na mka mwana (Mamkubwa) wa mzee Olung’a. Japo kiuhalisia wote hao wana familia zao (wameolewa na kuoa).
Mamkubwa our prayers are with you. Mbarikiwe wote.
Family time-the Sarungis
Picha nzuri sana, nimependa mno! Hapa ni baba akimpongeza kijana wake Peter Sarungi kwa kuthubutu! Peter Sarungi alikuwa mmoja wa wagombea walio gombea nafasi ya Uspika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania akiwakilisha makundi maalum (walemavu). Soma hapa? Inatia moyo, faraja, na busara ya hali ya juu kuona mzazi akimpa moyo kijana / au binti yake kufanikisha ndoto alizo nazo. Ubarikiwe sana mzee wetu Prof. Sarungi.
Prof. Sarungi ni baba yake mdogo na Peter Sarungi (kulia). Baba yake Peter mzee Obwago Sarungi yeye ni marehemu kwa sasa. Na kushoto ni binadamu yetu Saba-saba (Sabi) Sarungi. Yeye ni mtoto wa marehemu Saida Sarungi ambaye alikuwa ni dada yake Professors Sarungi. Saba-saba yeye alizaliwa na kulelewa ujombani hivyo ndiyo maana amerithi jina la ukoo wa mama.
Nilishawahi kuelezea huko nyuma undugu wangu na mzee Sarungi nimesahau ilikuwa nipost ipi hivyo nimeshindwa kui-attach hapa. Kwa kifupi kama ulipitwa ni hivi; Professor Sarungi na baba yangu mzazi wamechangia babu mzaa baba zao. Baba zao wote ni watoto wa marehemu Chief Igogo isipokuwa bibi zao ni tofauti. Chief Igogo alikuwa na wake 19 ?? na kati yao mmoja ni bibi yake mzee Sarungi, na mwingine ni bibi yake baba yangu.
Okay, mbarikiwe wa ndugu ? Undugu ni hazina muhimu lakini tukumbuke undugu si kufanana undugu ni kufaana!!
A word of wisdom!
Some years back, it was the most beautiful house in this community. The owner was the richest man in whom all looked up to for support. The vehicle was a cynosure of all eyes. It was like a dream come true when the owner added both house and vehicle to his list of possession. But today, the properties have grown old and in fulfillment of the natural law, must collapse for a new house to develop. Continue reading A word of wisdom!
Happy birthday Thanisa
Kheri ya siku ya kuzaliwa mdogo wetu / dada yetu / aunt yetu / mama yetu kipenzi Thanisa! Tunamshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kukupa nafasi ya kuuona mwaka mpya. Tunakuombea uwendelee kuwa na afya njema, furaha, na amani ndani ya moyo wako. Pokea salamu hizi toka kwa dada yako kipenzi Mariam, na familia yetu yote. Tunakupenda, tunakushuru sana ndugu yetu. Kheri ya siku ya kuzaliwa, ubarikiwe siku zote!
Hot shot of the day
Truly hot! Amani na Malaika wakiwa wamevalia mavazi maalum kwa jamii ya watu wa Oman. Hapa ni jana wakiwa wanasherekea miaka 45 ya Uhuru wa watu wa Oman! Kwakweli hata mwenye “kipofu wa moyo” atashuhudia kuwa wamependeza sana ?? si unajua kuna wengine myoyo yao huwa inaupofu wanaonaga mabaya tuu ?? Safi sana. Happy 45th Independence to Omanis!