Kheri ya siku ya kuzaliwa mama yetu kipenzi, wajina wa mama yangu. Hongera sana kwa kutimiza miaka 66 ya kuishi katika dunia hii. Unapongezwa sana na pia wanamshukuru Mungu sana kwa uwepo wako katika maisha yao kutoka kwa watoto na wajukuu zako wote. Sote tunakuombea maisha marefu zaidi, yalio jaa amani, furaha, na upendo. Ubarikiwa sana. Happy birthday mama!
our very first female Vise President!!
What a joy! Watanzania kwa mara ya kwanza wamemchagua Makamu wa Rais mwanamke! Hili nitukio la kihistoria katika nchi yetu ambayo hajawahi kuwa hata na Waziri Mkuu mwanamke!! Hii ni ishara ya ukombozi wa fikra kwa jamii yetu kuwa wanawake nao wanaweza! Hongera sanaaaaaa Mh. Samia, najua utalitumikia vyema taifa letu.
Mungu ibariki Tanzania. Mungu ibariki Africa na watu wake.
Tanzanians have spoken, let everyone say Amen!
Well, well! It wasn’t an easy race, but finally the people of United Republic of Tanzania have loudly and clearly spoken! Let everyone say Amen! Congratulations to the President elect Dr John Pombe Magufuli. People of Tanzania have so much faith and believe in you. You are the change they sincerely need. I hope you will never let us down as you have said before. Many God guide you in every step of the way.
Mungu ibariki Tanzania. Mungu ibariki Africa na watu wake.
Furaha ya dunia
The Kakoschkes’
Kwanza nianze kwa kusema happy belated birthday baba Amika. Mr Kakoschke alisherekea birthday yake siku chache zilizopita. Alixungwa na familia yake ambao anawapenda sana na yeye anawapenda sana. Naona Malaika yeye kajichokea na kujilaza kabisa. Hapa walikuwa ndani ya treni wakielekea sijui wapi, nimesahau ?? Hawa watu wanasafiri sana. Wanapenda kusafiri na all outdoor adventures. Tembelea blog yao kuona picha nyingi nzuri sana na kujua maisha yao. Nenda wwww.maisafari.com ukaone dunia japo kwa picha. This Velvet Strawberry cake looks delicious! Yummy!
Hot shot of the day
This is too cute, hot indeed! Mh. ShyRose Bhanji akiruka toka kwenye boti wakati wakitokea maeneo ya Musoma vijikini wakati wa campaign. Naamini kwasababu sasa kampeni zimeisha basi haita kuwa mbaya kwa mimi kuweka picha kama hii. Kwani hii natambua na ludhamini wasomaji wangu wote bila kujali dini zao, kabila, wala itikadi zao.
Mother and daughter moment
Hot shot of the day
My cutest babysister!
Alicia 4th birthday party
Princess Alicia akiwa anameremeta teyari kwa kusherekea birthday yake siku ya Juma Mosi. Alicia birthday yake ni 10/08/ lakini party yake ilifanyika siku ya Saturday kwasababu birthday iliangukia katikati ya wiki. Kusoma post ya birthday wishes yake bonyeza ? theme ya birthday ilikuwa ni mambo ya ‘princess’ party ! Pendeza sana
Alicia you are too cute! Eddah Gachuma na princess wake. Mziwanda huyu kipenzi cha mama. Princess Alicia na daddy ake. Hongera Vincent ila hapa “Germany shepherd” itahusu sana na fancy ya umeme ?? Mamkubwa naye hakubaki nyuma. Gatty Gachuma na niece yake. Mmependeza sana. Mama na wanawe, mmependeza sana Hongera da Eddah, umekuza haswa Hongera sana wazazi kwa kumuandalia binti party nzuri sanaaaaaa…………..Happy 4th birthday Princess Alicia. God bless you.
Aika on Breast Cancer Awareness dance
Happy 70th birthday mzee Manongi
Kheri ya siku ya kuzaliwa mzee wetu Stanley Manongi. Leo hii umetimiza miaka 70 ya kuishi katika sayari hii tulio pewa na Bwana. Umetimiza ahadi ya Mungu kuwa mwanadamu ataishi miaka 70, na zaidi ya hapo ni miaka ya upendeleo (grace period ) kutoka kwa Mwenyezi Mungu! Pokea na furahia upendeleo huo, kwani unastahili mzee wetu. Tunakutaki na kukuombea maisha marefu zaidi, yaliyo jaa afya njema, amani, upendo, na furaha nyingi mno. Tunakuombea wewe na mama yetu, maisha mazuri zaidi ya haya. Mkapate kufurahia ‘pension’ ya Bwana Mungu pamoja katika amani na afya njema. Ubarikiwe wewe na uzao wako wote. Happy 70th birthday baba yetu. We love you!
Hot shot of the day
Mother and son moment
Kutoka Facebook
How do you party?
Eddah na wifi yake kipenzi Lulu Saria wakila raha ndani ya Washington DC. Mambo ya casino hayo. Kama hela yako ni ya “mfungo” kama ya Alpha hapa basi usije kanyaga sehemu hizi ? waachie wenye pesa zao ?? You rock da Eddah. Mtu na wifi yake, raha sana. Wifi yetu mrembo, mcheshi, na mwenye upendo mwingi. Ubarikiwe sana wifi Lulu. Mwili haujengwi kwa mawe ati! Vyakula vizuri ni muhimu. Eddah na mumewe kipenzi Vincent, yani sharti kwa kudeka. Wow! Party yoyote ili ikamilike lazima watu waogonge glass ? mmependeza sana
Hot pic of the day
Baba na mama Manongi
Father and daughters moment
Baba na mabinti zake wamependeza sana. Hakuna kitu watoto wakike wanahitaji sana katika kukuwa kwao zaidi ya uwepo wa baba yao / zao katika maisha yao. Upendo ambao mtoto haswa wa kike anao upata toka kwa baba yake unasaidia sana kumpa confidence na kuweza ku-accomplish kitu chochote kile. Kazi nzuri sana Vincent, umekuza haswa. Na hongera sana kwa kuwa baba mwema kwa wanao. Mbarikiwe.
Kumbukumbu
Leo tarehe 12.10.15 umetimiza mwaka mmoja toka ututoke tarehe 12.10.14 katika hospitali ya Muhimbili. Umeacha pengo kubwa katika familia ya Marehemu Philip Ambrose Macha.Unakumbukwa daima na watoto wako Maryam,Mustara. U nakumbuka na watoto wa dada zako na kaka. Unakumbukwa na dada zako Saum, Maryam, Thanisa, mama wakubwa, wadogo, kaka, mashangazi, wajomba, team Manchester, mtani jembe, wanajumuiya wa Fransis wa exaver,waumini wa kanisa Katoliki la Hananasifu. Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe milele. Roho ya marehemu Anna Philip Macha ipate rehema kwa Mungu apumzike kwa amani, Amina.
Naomba nitoe pole zangu za dhati kabisa kwa wafiwa wote, ndugu, jamaa, na marafiki wa Anna, pamoja na ukoo wote wa Macha. Mungu awape faraja na muweze kupata amani katika Bwana wakati mkiendelea kuomboleza cha mpendwa wenu. R.I.P Anna.