Family time

FB_IMG_1438805635414Familia ya mama na baba watatu. Hapa walikuwa kwenye state fair (ni kama saba saba in Bongoland). FB_IMG_1438805621313Jeshi la mutu 3 pamoja na Chief Comonder  (daddy yao)…..wamependeza sana  FB_IMG_1438805611600MaWatatu umependeza mno! Ubarikiwe sana pamoja na familia yako.

Hot shot of the day

FB_IMG_1440181860328Mr President!  Safi sanaaaaaa, sio kama wakina “fulani” wakienda likizo wanaishi Dar hawakumbuki hata bibi na babu zao kijijini eti kisa wanakaa sijui U.S.A au Ulaya kha! Kuishi nje ya Tanzania sio sababu ya kutokuthamini wakwenu hata kama ni masikini kiasi gani!

Wengine mpaka wanatafuta mama / baba na ndugu wa bandia, wanajiona hawawezi kuwa na undugu na wakwao kisa wanaishi majuu!! Mmmh! Halafu sasa wakitokea kwenda kusalimia huko vijijini  au “uswahili” (kama waitavyo) wanakaa kwa masaa machache hawasaidii kazi yoyote ile; hata kuosha vyombo hawasaidi ?? jamani tujifunze kutoka  kwa watu kama Mr. President! Ubarikiwe sana.

Kwa faida ya wasomaji huyu ni Iddi Sandaly maarufu kama Mr President. Ni President wa jumuiya ya Watanzania wa DMV.

Mother and daughter moment:The Obamas’

FB_IMG_1440250199992Beautiful pictures of Mrs Obama and her gorgeous daughters. FB_IMG_1440250313993

ujumbe huu uwafikie Wahaya wote duniani

FB_IMG_1440260252629??????

Nawatakieni weekend njema

IMG-20150626-WA0027Leo nimeamua kujiweka mie mwenyewe mzima mzima ?? picha hii nilipiga June 26, 2015 Kalamazoo, Michigan ila kuna some changes nikiangalia na nilivyo sasa? nimenuna kwasababu nilikuwa na njaa halafu mtu fidenge alikuwa anachelewa kutoka ndani na yeye ndo alikuwa driver. Kana kwamba haitoshi katoka nje ya mlango na kunipiga picha ??………….. Haya nawatakieni weekend njema. Mbarikiwe wote.

 

N.B: Hauwitaji kuweka email wala jina lako kwenye comment box! Najua inasema hivyo lakini si lazima. Unaweza acha wazi na bado nitaipata. Asanteni.

Hot shot of the day

2015-08-21 09.55.54Lisa Makoyo kutoka Bongoland, ndani ya jiji la Dar. Just beautiful!

Manhood

2015-08-21 09.58.17Mzee William looking great! Huyu mdogo wangu ndo anayeniweka mjini hapa, kwahiyo huwa namuheshimu sana maana nisije jikuta napewa eviction notice kwa  kushindwa  kulipa kodi ya “banda” langu buree ?

Father and daughters moment

20150712_201949Wow! Nani kama baba?! Mzee Ngonyani na binti zake warembo sana Cynthia(kushoto) na Magreth 20150712_201949-1Mmependeza sana. Mbarikiwe sana wapendwa.

Unyanyasaji wa kiroho

gun-on-bible-spritual-abuseKatika mfumo wa unyanyasaji au aina za unyanyasaji kuna unyasaji wa aina nyingi kwamfano physical abuse, sexual abuse, emotional / psychological abuse, gender abuse, financial abuse, power / position abuse na vile vile kuna “spiritual abuse” au kwa lugha ya Kiswahili unaweza sema ni unyanyasaji wa kiroho! Dini ni imani, na imani huwa kila mtu anauwamuzi wake wakuamini au kuto kuamini dini au maandiko bila kulazimishwa au kushurutishwa na mtu yoyote yule. Hii ni kwa dini zote waislamu kwa wakristo, sisi wajibu wetu ni kuwafundisha watu neno la Mungu lakini hatuna haki ya kuwalazimisha au kushurutisha mtu aamini kile wewe unacho kiamini hata kama wote ni wa dini na dhehebu moja. Wokovu ni wa mtu mmoja mmoja na kila mtu kwa wakati wake. Kama mtu hajaamini kile kitu ambacho wewe unadhani ni sahii na anahitaji kuamini basi muache, wewe bado utahesabiwa thawabu Mbinguni kwani umefanya sehemu yako. Ipo siku katika njia ya pekee roho atamwingia na kuamini (kama kweli ni sahii hicho unachotaka aamini) lakini siyo kwa kulazimishwa. Continue reading Unyanyasaji wa kiroho

Blessing 1st day of school

2015-08-18 09.35.54Wow! Kweli siku hazigandi! My babysister jana ameanza nursery school. Yani hata sitaki a mini maana ni juzi tuu ndo kazaliwa leo hii huyo anaenda shule, na wakati bado nashangaa nitashtukia ananiambia  “dada nakuja college U.S.A” ?? 2015-08-18 09.34.01Nimeambiwa jana alilia sana alipo achwa, lakini leo (in Tanzania’ time) ameamka hasubuhi akawa anasema “school time” kwahiyo alikuwa yupo okay na anaanza kupenda ??? Good job Blessing ………….(pichani ni Blessing, mama Blessing, na cousin-sister Rhoda Igogo).2015-08-18 08.32.29Hapa unapo muona anamtaka 2 na miezi 8 lakini  IQ yake utafikiri mtoto wa miaka 7 au 8 ndo maana wameona bora aanze shule. Yeye ajapelekwa daycare kabisa, alikuwa anafundishwa nyumbani na mama yake kabla ya kuanza shule.  Mungu azidi kumbariki, akashike sana elimu na awe nuru mbele za watu! Proud of you babysister! Love you deep!

Dondoo 10 muhimu kwa wazazi na watarajiwa

Habari zenu wapendwa……… Nadhani wengi watu humu ndani ni wazazi au Wazazi watarajiwa.. So si vibaya kama tutasoma hapa na kuzingatia dondoo 10 muhimu sana kwa wazazi na wazazi watarajiwa wote

1. Mkanye mtoto wako wa kike na hata wa kiume kuhusu kukubali kupakatwa hovyo, bila kujali ni nani anampakata, hata kama ni mjomba wake.

2. Usivue nguo mbele ya mwanao pindi akifikisha miaka 2 au zaidi. Jifunze kumwomba akupishe.

3. Usiruhusu mtu yoyote amwite mwanao “Mchumba”, “Mke wangu” au “Mme wangu.”

4. Kila wakati mwanao anapoenda kucheza na wenzake, hakikisha unafuatilia kujua wanacheza nini, siku hizi hata watoto wanafundishana michezo michafu na wengine wana maambukizi.

5. Kama mwanao ameonyesha kutopenda kwenda kwa mtu fulani usimlazimishe, pia chunguza kwa ukaribu ili kujua sababu.

6. Inashauriwa kupitia kwanza mwenyewe movie yoyote kabla ya kuruhusu mwanao waiangalie.

7. Mwanao anapofikisha umri wa miaka 3 anza kumfundisha jinsi ya kusafisha sehemu zake za siri mwenyewe, na umuonye asiruhusu mtu yoyote kumshika sehemu hizo.

8. Mfundishe mwanao thamani ya kuishi bila kufuata mkumbo.

9. Mwanao akilalamika kuhusu mtu fulani, usikae kimya.

10. Usipende kumruhusu mwanao kulala na housegirl au houseboy au mgeni. Huwezi jua tabia za watu na wanayomtendea usiku!!!

Happy 39th Wedding Anniversary to my darling parents!

FB_IMG_1439831779448Shout-out to the world most beautiful couple! Wishing a very happy 39th Wedding Anniversary to my darling parents mama na baba Alpha ?sounds selfish huh!? 2015-08-17 12.19.14The world has changed, marriage is no longer like they way it used to be! Nowadays it’s very rare to see couples that have been married for more than 25 yrs. I consider myself one of the few  blessed children in this world because I’ve had the pleasure of intimately seeing, knowing, and experiencing a couple who firmly committed to one another and have far exceeded the quarter century mark. And that couple is my parents! May you live long to see your 100th anniversary!!FB_IMG_1439831798805Happy 39th Wedding Anniversary mommy and daddy! Love you mingi mingi ??

Kutoka Facebook

255686634740Leo ni Jumatatu ndo tumeanza juma lingine la mahangaiko ya kazi na mambo mengine katika jamii. Basi nawaletea hii picha ya mdogo wangu anaye nifuata mara ya pili. Kikazi zaidi ? yeye ni Advocate and certified Government Arbitrator……………..haya muwe na week njema.

Hot shot of the day!

12697799885Awii! I MAY NOT BE PERFECT BUT WHEN I LOOK AT HER I KNOW FOR SURE I GOT SOMETHING IN MY LIFE PERFECTLY RIGHT!! 12697799885-1#MyChild  #MyFirstBorn  #MyNumberOne  #MyDaughter  #MyOnlyOneChild  #TheChildOfMyVigorousYouth  #TheFruitOfMyWomb  #MyFirstAndLastBorn  #MyAlphaAndOmega  #MyStrength #MyComforter #MyJoy #MyHappiness  #MySunShine  #MyGirl’sPower  #MyFuturePhysician #MyPride   #TheQueenOfMyHeart  #MyEverything  and I love her to death!! May Almighty God continue to protect you, bless you with happy-healthy life and give you all desires your heart in His name I pray. Amen! ??? I am blessed and forever grateful!

“Your love is my love, my love is your love” has been our favorite song of all time! Whenever she misses me she will call me and let me listen to this song!

“I was only 22 yrs old when learned I was living with HIV”-Fortunata Kasega

Fortunata Photo_5_1Je ulishapata kusikia life story ya ndugu yetu (Mtanzania mwenzetu) Fortunata Kasega ambaye aligundulika akiwa na HIV akiwa na umri wa miaka 22? tena baada tu ya kuolewa na kupata ujauzito? Alikuja Marekani na ndipo walipo ngundua kuwa ana HIV! Continue reading “I was only 22 yrs old when learned I was living with HIV”-Fortunata Kasega

Family time

FB_IMG_1438806697468Yani Mungu pekee ndiye anaye jua furaha niliyo moyoni mwangu baada ya kuona hizi picha. Kwakweli mwacheni Mungu aitwe Mungu aibegoooo! Pichani ni Dr. Elizabeth Daniel Oming’o  (mwenye yellow top) pamoja na watoto wake Alpha (yap! Wajina wangu huyo japo yeye mwanaume), na Asfda. Kulia ni Jane Daniel Oming’o au Mrs Ngereza.  Continue reading Family time

Nawatakieni weekend njema na Shukran!

IMG-20150813-WA0001Mungu yu mwema sana mdogo wangu  ☝anaendelea vizuri kabisa na pia baby Georgina Faith ? (picha ya cute Georgina Faith ni ya last month kabla ya surgery) anaendelea vyema. Shukran kwa  dua na sala zenu. Ahimidiwe Mungu Baba muumba wa Mbingu na inchiFB_IMG_1439592095277-1Mungu awabarikiwa na atulinde sote. Muwe na weekend njema sana and Happy Sabbath to my fellow believers!

 

Happy 8th Birthday Marion Mley

2015-08-11 23.21.08Napenda kutaka mrembo wetu Marion Mley kheri ya siku ya kuzaliwa kwake. Marion ametimiza miaka 8 siku ya leo. Tunaomba Mungu aendelee kumlinda, ampe afya njema, upendo, amani, furaha, na hekima katika maisha yake.  Continue reading Happy 8th Birthday Marion Mley

Mother and daughter moment

FB_IMG_1438805421614Hahaha! I love this picture. Mama Ngonyani and gorgeous daughter Cynthia. So nice, enjoy motherhood mama Ngonyani. Mbarikiwe sana.

Prayer dedication!

IMG-20150811-WA0000Please remember my cute babysister in your prayers. she’s not doing so well, right-now she’s admitted and undergoing some treatment at Muhimbili Hospital.

Plus  don’t forget the Nyongos’ family. Baby Georgina is out of the hospital and doing well. But more prayers are needed for speedy recovery!

May the healing hand of God be with all children and everyone who is suffering at this moment in Jesus name, Amen!

Blog