Kutoka Facebook

FB_IMG_1436712281821Wow! My cousin-sister huyo, toto la Mkowa wa Mara, toka wilayani ya Rorya pande zile za Shirati Sophia Makoyo binti wa uncle wangu late Daudi Makoyo jamaniii nimzurijeee?! FB_IMG_1436712352456Kitu natural beauty hiki, #NoFakeZone# hahaha! Well,  beuty and brai runs in our family blood yooo 🙂 🙂 hahaha!

Love in the Air

FB_IMG_1436667859715Mama na baba double G! (George Jr, and Georgina Faith). Couple yangu ya ukweli kabsaaa yani hii penzi lao ni original siyo mchina 🙂 🙂

Hii ndiyo best and hottest couple ya mwana huu, ukitaka kujua nani atapata next yr basi endelea kutembelea hii blog nitakuhabarisha 😉 Mie pendana  sana hii couple!

#TBS

2015-07-12 08.38.11Haya kwakua tuanakaribia kumuaga na kumkaribisha Rais wetu mpya Dr. John Pombe Magufuli basi nimeona si mbaya kutupia hizi picha humu  🙂  🙂 2015-07-12 08.29.22Ni kahistoria fulani kaliwekwa huko siku za nyuma na sidhani kama kuna mtu mwingine halishawahi fanya  hivi  tena 😆 baba na mwana kumiliki jukwaa kwa mara moja 🙂 kwenye fundraising dinner ……

2015-07-12 08.35.12Kila la kheri Rais Kikwete kwa hiyo miezi mitatu uliyo bakisha…….

Birthday wishes

FB_IMG_1436709183500Happy birthday to my childhood friend, primary and secondary school classmate! Naomba leo nikushukuru rasmi kwa sababu ni siku yako special. Nasema asante sana kwa kujitolea kuwa mtu wa kwanza kabisa kutoa mchango wako kwa hii blog. Ulitowa dondoo 10 muhimu kwa wazazi kuzingatia kwa watoto wao…FB_IMG_1436709169225Nasema Asante sana kwa moyo wako. Ni wachache wenye moyo wa kujitolea kama wako.  Katika siku hii yako muhimu naomba Mungu azidi kukubariki sana. Akupe furaha kama lilivyo jina lako  🙂 amani, upendo, na afya njema! Happy birthday girlfriend!

And our next President is………

220px-John_Magufuli               Hon. Dr. John Pombe Magufuli

Hongera kwa Dr. AshaRose Migiro, na Balozi Amina Salum Ally kwa kuingia Top 3!

Killing “The Giant”!

Each person has his / her own individual giant to face and kill in life; so did the CCM! The best way to kill the giant is through our willingness to accept its existence, understand its source of power and weakness, then you face it with no fear! tanzania-flagKilling the “giant” in CCM party might not be a favorable thing to some CCM members but was very essential to be done for the benefit of many (CCM members and non CCM members) as there is a big group of independent voters, people who don’t affiliate with any political parties that CCM needs their votes! I am not sure if this was an easy task but I am sure was one of the wisest decisions  ever done by CCM; for that, my congratulations to them! Flag_of_Tanganyikan_RepublicIt is very important to teach our young generation about ethical leadership, accountability,  and patriotism  not only in theories but also in actions!! It is high time to empower young Tanzanian generation at this time where RUSHWA has become a way of surving and getting justice that money is something but not everything! Money can never surpass the power of people! Teach them the power of clean money; that only CLEAN MONEY can gives you the power and respect you desrve!!

Educate them the importance of unity! Go and tell them money is nothing when you’ve strong bond holding you so tightly together! Empower them by giving them hope to see Tanzania as a land of opportunity for a every good citizen! That in this country which was built with well educated, higher ethical and strong African morals believers you can be anything you want to be including climbing the highest mountain of achivement regardless of where you came from financially, or geographically! Its time to end some unnecessary gender, religion, geographical, biases that bring division and discrimination in the country for the benefits of few!! 2015-07-11 13.02.34Tanzania as nation right now I compared it to a big puzzle where from outside looks like it can be easly put togher, while deep inside there are lot of broken pieces scattered everywhere! They need to be found, fixed, and figured-out how to assemble them into one as a country!! I’m  not sure who will unite us but I have to say Hongera sana CCM for showing  the right way, hoping for other political parties to follow suit!!  Many congrats to the Top 5 listed. Dr. AshaRose Migiro, Ambassador Amina Salum Ally,  Mr.  John Magufuli, and Mr. Bernard Membe. I am not sure if you guys are the best of all but at least some “Mafisadi Papa and Mafisadi Nyangumi” didn’t make through!!

True Friends are rare!

2015-07-02 11.51.02I’ve been hearing this since my childhood that ‘true friends are very rare and hard to find’; well, the longer I live the more I realize it’s so true! 2015-07-10 16.40.03I am very thankful to God to have the family of Dr. Thomas Ongwela as my true friend! 2015-07-10 16.51.58We met as strangers at Trinity Temple SDA church in Kalamazoo, by the grace of God we became friends and now we are family! 2015-07-10 16.41.05Thank you so much Dr. Thomas for allowing me and my lovely daughter to be part of your family. May God keep blessing you more and more and more!! 2015-07-10 16.42.23Rose, simply you are the best! I love you more than what you think. Will always miss your company 😘 2015-07-10 16.23.53Precious, my love, I will always miss your silliness 😊 you are so beautiful my daughter 😍 love you so much 2015-07-10 16.08.21awwii! Going to miss you ladies! Love you so deep! 2015-07-10 16.56.34 My babies! Love you big big 🙂 Missing you girls😍 FB_IMG_14365646595962015-07-10 16.09.41Dr. Thomas Ongwela, Thank you! Thank you! Thank you! and again Thank you so much! 2015-07-10 16.29.192015-07-10 16.33.522015-07-10 16.26.55Rose, I’ll miss your healthy delicious food 😯 FB_IMG_14365648209092015-07-02 11.50.01My dear readers, when you find a real-true friend(s) hold them so tight, because you can hardly and rarely find them in this 21st century world!! The Ongwelas, I love you guys. God bless you 😍

#FBF

FB_IMG_1436482622109It’s me, myself, and I 😙 back in 2008! I ❤ me!

Hongera sana Vincent Nyerere!

IMG-20150709-WA0004Napenda kuchukua fursa hii kumpongeza rafiki yangu Vincent Nyerere kwa kupewa ridhaa na wana Musoma mjini kuwania Ubunge wa jimbo hilo la Musoma Mjini kwa mara ya pili! Hongera sana. IMG-20150709-WA0007Kama mjuavyo Vincent yeye ni mwana Chadema au kama wajulikanavyo  kwa jina la M4C (Mark ✔✅ for Chadema) hivyo atagombea kiti hicho kupitia chama chake.  IMG-20150709-WA0001Naamini wana Musoma wameona kazi yako na kuridhishwa na utendaji na uwongozi wako na ndiyo maana wamekupa ridhaa hiyo kwa mara ya pili! Najua utapita bila kupingwa  kwani kwa sasa hauna mpinzani! IMG-20150709-WA0005Bibi alikuwepo kwenye mkutano  huo wakumpa ridhaa Vincent! Watu kama hawa ni muhimu sana kuwepo kwenye mikusanyiko kama hiyo kwani huwa wanabusara sana though Kingunge Ngombalemwilu yeye hakuwahi kubabahatika kuwa na busara! Usinishangae mimi kusema hivyo kwani wote tunajua kuwa Hekima na busara hutoka kwa Mungu! ‘Kumcha Mungu ni mwanzo wa hekima’ na kama ujuavyo Kingunge Ngombalemwilu yeye haamini kama kuna Mungu na wala  Hana dini! Ila mie najua dini yake ni ile ya Mafisadi 😲 kwani si hata nyie mnamuona marafiki zake 😷

But anyway, mie hizo hereni za bibi tuu ndo zina nichanganya 😆😆

IMG-20150709-WA0000Pichani ni Vincent, mwanamuziki wa bongo flava Prof. Jay, pamoja na mtoto wa marehemu baba wa taifa na ndugu wa karibu kabisa wakitoa heshima zao kwenye kaburi la Mwalimu Nyerere! R.I.P baba wa taifa, tutakukumbuka daima!IMG-20150709-WA0006Hongera sana Vincent na kila raheri katika kutetea kiti chako!

Kutoka Facebook

2015-07-10 08.54.26Leo kutoka Facebook nimeamua  kuwarusha mama zangu 🙂 Pichani juu  ☝ ni mama yangu mzazi na chini 👇  ni mdogo wake ambaye ni kitinda mimba wa bibi yangu mzaa mama (last born from maternal grandma).  FB_IMG_1436116820725Naomba nisisitize kwamba huyu mama yangu mdogo ni last born kwa tumbo la bibi mzaa mama lakini siyo mtoto wa mwisho wa familia kwani babu yangu mzaa mama alikuwa na wake wawili! Na bibi yangu mdogo alibahatika kupata watoto wanne; 2boys and 2girls. Hivyo mtoto wa mwisho kwenye familia an aitwa Julia Awiti.

Haya mama zangu mmependeza sana. Hata nyie wamo lakini hawavumi  😂😂😍😍

Jiandikishe na Upige kura!!

2015-07-05 21.28.16Haya kumekucha na makucha yake! Jiandikishe kupiga kura utumie haki yako vizuri! KutoKupiga kura ni kosa la Jinai!!

kalamazoo wafurahia 4th of July!

20150704_175213Wanajumuiya ya Kalamazoo walijumuika pamoja siku ya jana kusherekea siku ya uhuru wa inchi ya Marekani (Indepence Day) au kama watu wengi wapendavyo kuiita 4th of July!

20150704_175301Kulikuwa na kula, kunywa. na kucheka kwingi!
20150704_175226Bibi mama Kagumba naye alikuwepo nasi 20150704_175215watoto, vijana, kwa wakubwa wote walifurahi sana 20150704_175348Mtaalam wa BBQ akifanya mambo yake ni blogger Emmanuel Turuka wa Mungupamojanasi.com20150704_175338Mr and Mrs Kagumba 20150704_181038Hata mimi nilikuwepo 😘 20150704_175345Hata Charles naye alikuwepo 😉 20150704_181835-1Mwalimu  Ngonyani was nice seeing you and your lovely family! 20150704_17532620150704_181037-1Asanteni wapendwa wote nilifurahi kuwaona wote, Mbarikiwe sana and much love!

Manhood!

FB_IMG_1436116754969Lovely pic of Mr. Kweba and Mr. President!

kutoka Facebook

IMG-20150703-WA0001Nimependa sana hii picha ya Mrs. Noah Manongi, brother Noah, and Noah’s cousin Liz.  Walipendeza sana.

2015 Seventh Day Adventist church General Conference

mizo_sda_logo_thar_ber2015 General conference is officially started today in San Antonio, Texas. For that matter I would like to take this opportunity to wish a pleasant, fruitful 2015 General Conference to all Seventh Day Adventist believers around the world! May The blessings from heaven dwell upon you all not only for those 11 days but forever4539883284_262x259Happy 2015 General Conference my fellow believers!

To read  and hear more about 2015 GC click HERE  or / and HERE

 

 

 

 

#TBT#Vincent Nyerere

IMG-20150701-WA0005Kushoto ni Mbunge wa Musoma mjini Vincent Nyerere kabla hajawa “muheshimiwa” Nimecheka sana hii picha nimemfananisha na Diamond wakati ule anatoka na single yake ya Mbagalaa 🙂   Hapo ilikuwa Butiama 1997 na kulia ni hayati Baba wa taifa. Asante kwa ku share nasi. FB_IMG_1435851745520Na hivi ndivyo alivyo sasa hata swaga zimebadilika hahaha!

Twende tumlaki Bwana!

FB_IMG_1435768341084Wapendwa hili ni tukio la kuto kukosa haswa kwa wakazi wa Dar! Kanisa la Temeke Seventh Day Adventist linakuletea uwimbaji mkuu wa Live recording ya video yao itakayo julikana kwa jina la Nipe Neno!

2015-07-01 14.03.10Siku ya Juma Pili tarehe 5 mwezi huu. Tukio hili la kusisimu na kukupa nguvu mpya litafanyika katika viwanja vya kanisa hilo lililopo bara bara ya CHANG’OMBE linatizamana kabisa na kituo cha polisi cha Chang’ombe Usalama2015-05-13 23.35.18

Tukio hili la uwimbaji litaanza saa saba mchana (1:00 pm) na mgeni rasmi atakuwa si mwingine bali ni Mwenyekiti na Mkurugenzi mkuu wa Utegi Technical Enterprises (T) Ltd mzee Otieno Igogo! FB_IMG_1435768351313Hakuna kiingilio wote mnakaribishwa. Mbarikiwe sana.

Father and daughter moments!

11041765_10153086864977808_2961440738059779586_nKweba and his daughter after finishing 2.5 Km of the Den Haag CPC Run

10489725_10152546912802808_5542463007550279144_nfather and daughter in Brussels 10530878_10152546912427808_5169480290045825988_nGood job Kweba! Such a pretty girl.

Mother and daughter moment!

IMG-20150630-WA0002Blessing na mommy yake! Wamependeza sana.

Nijambo jema lakini linasikitisha na kuogopesha!

Miaka ya hivi karibu tumeshuhudia vijana wengi wakijiunga na vyama siasa na kua active katika shughuli za kila siku zinazo husiana na siasa na wengine hata kugombea uwongozi katika ngazi mbali mbali za uwongozi kama ubunge. Ni jambo jema sana kuona vijana wakijuhusisha na mambo yanayohusu maisha yapo pamoja na maendeleo ya inchi yao japo ukitizama kwa karibu linasikitisha na kuogopesha!

Kwanini ninasema ni lakusikitisha na kuogopesha; kwanza vijana wengi wanajiunga na siasa kwakufata mkumbo. Yani hawana ufahamu nini maana ya siasa na kwa nini wanajihusisha na siasa.  Sina huwakika ila nahisi kuwa wao wanafikiri siasa ni sare zile wanazo vaa na maandamano wanayofanya kila siku bila kujua kua siasa ndiyo inawafanya wao wawe  jinsi walivyo. Yani ninacho maanisha ni kuwa siasa ndiyo inakupangia maisha yako ya kila siku, na usalama wa inchi yako. Pili siasa imekuwa ni njia moja wapo ya kujipatia ajira, na hili tatizo si tuu kwa vijana bali hata kwa watu wengi walio ingia kwenye siasa. Hii imekuwa njia rahisi ya kujipatia mapato na si kuwa ni wazalendo kama watu wanavyo weza wafikiria.

Tukirudi kwenye point yetu, kinacho sikitisha na kuogopesha si vijana kuingia na kugombea uongozi kwenye siasa bali ni aina ya vijana wanaogombea hizo nafasi za uwongozi. Ukiwaangalia ni vijana ambao wao wenyewe hawajitambui, wala hawajielewi dhamani yao, na wala hajui ni nini wanataka katika maisha yao. Sasa hawa vijana wasio jitambua wala kujua nini wanataka katika maisha yao watawezaje kujua na kutambua nini mahitaji ya wanainchi wa Tanzania?

Hivi watu wanao wapigia debe na raia wanao wachagua wanaelewa ni jinsi gani wanaliweka taifa katika hatari kubwa sana?! Embu jaribu kutafakari, kama tukawachagua wabunge kama kumi tuu wanao toka kwenye Bongo flava, Bongo movie, na rapers wenye tabia kama za Sugu Mbilinyi unafikiri taifa litafika wapi? Niwapi vijana wa kitanzania wanataka kulipeleka taifa? Kwa manufaa ya nani? Kweli hawa wasanii wa Bongo movie na Bongo flava wataweza kujua na kupitisha budget ya inchi kweli? Hivi wataweza kutunga sheria za kulinda inchi yetu. Unajua kama hawa wabunge ndo wataamua kuwa twende vitani au la, sasa kwa kuwangalia tuu hawa wasanii je unafikiri kweli wanaweza fanya haya maamuzi ikiwa tuu wamweshindwa kufanya maamuzi kuhusu maisha yao wenyewe?!

Sikatai ni ukweli usiopingika kuwa watanzania wamechoka na mafisadi na wazee ambao wamekuwa kwenye siasa miaka nenda rudi bila kuleta mabadiliko ya kimaendeleo yoyote kwa inchi yetu, lakini pia lazima tuchunguze ni vijana wa aina gani tunawachagua kwenda kufanya maamuzi yanayo husu inchi yetu na sisi binafsi kama raia wa inchi. Bunge ni mahala patakatifu, bungeni si mahala pakwenda kuuza sura na kufanya fashion show! Bungeni si mahala pakutafuta umaharufu, bunge la Tanzania ndiyo roho au moyo wa Tanzania. Moyo ukiwa unajazwa na vyakula visivyo faa ipo siku utasimama na ukahacha kufanya kazi yani utakufa, na hapo inamaana ndiyo itakuwa kifo cha Tanzania kama inchi. Ni nani atalaumiwa? Hawa wasanii wanao jitokeza kugombea nafasi mbali mbali za uwongozi haswa ubunge ni jambo jema sana lakini linasikitisha na kuogopesha! Tafakari kwa makini na tumia haki yako ya kupiga kura vizuri!!

Blog