Beautiful pictures of Theo Andrew and her children. Nothing compares to mama’s love!Be blessed ladies.
Kutoka Facebook
Manhood
Kutoka Facebook
Busara za marehemu baba wa taifa
Manhood
Busara za marehemu baba wa taifa
Kutoka Facebook
Its Mothers’ Month
Its Mothers’ Month
Its Mothers’ Month
Its Mothers’ Month
Its Mothers’ Month
Happy Mother’s Day to all mothers
Napenda kuchukua fursa hii kuwatakia Furaha ya Sherehe ya Wakina Mama duniani kote. Mimi binafsi nashukuru sana Mungu kwa kunipendelea kuwa mmoja wa uzao wa tumbo la mama yangu. Naamini nisinge kuwa hapa nilipo kama si kwa maombi ya kila siku kutoka kwa mama yangu, ambayo huniombea kwa Mungu bila kuchoka.
Mama nasema asante sana. Nakuombea maisha marefu, yenye furaha na amani zaidi ya uliyo nayo. Nakupenda sana mama yangu.
Prisca (Ls) ni rafiki yangu tulisoma wote secondary, hapa alikuja nyumbani kunisalimu toka Mwanza ambako ndipo anapoishi. Asante Prisca nawe nakutakia Happy Mother’s Day.
Nani kama mama? !
Hapa ilikuwa siku ya birthday yangu na tulikuwa tunaelekea kwa dinner.
Nakushukuru sana mama yangu, si tuu kwa kunilea mimi kama mwano bali pia kwa kunisaidia kwa malezi ya mwanangu.
Its Mothers’ Month
Its Mothers’ Month
NANI KAMA MAMA?!
Pichani ni Suzy Igogo na mama yake mzazi siku ya gratuation yake.
Hapa Suzy na mama yake walikwenda kutembele makumbusho ya baba wa taifa kikijini Butiama. Mama yake Suzy yeye ni Mzanaki, kabila la marehemu baba wa taifa, lakini aliolewa Ujaluoni na baba yangu mkubwa hivyo mimi namwita mama mkubwa. Ubarikiwe sana mama yetu.
Its Mothers’ Month
Fina Nyongo na mama yake mzazi Mrs. Kimati. Hapa ni 6 yrs ago, ilikuwa siku ya Kitchen party ya Fina. Jamani, nani kama mama?
Mama kimati akiomboleza kifo cha mme wake late Dr. Kimati. Tunamshukuru Mungu kwa kila jambo. Tunajifunza mengi sana toka kwa mama zetu; upendo, kuheshimu Mungu, uvumilivu,pia pamoja na jinsi ya kukabiliana na matatizo mbali mbali yanayo tupata kama vifo vya wapendwa wetu. Pole sana mama. Nani kama mama?!
Hapa Fina Nyongo na mtoto wake wa kwanza George Jr. By the way Fina Nyongo was is our 2015-Hottest And Best Couple Of The Year. Kusoma zaidi, bonyeza HAPA
Hapa ni Fina Nyongo na binti yake mpendwa Georgina Faith: Nani kama mama?!
Its Mothers’ Month
Its Mothers’ Month
Its Mothers’ Month
Hapa ni Neema Musira (last born) na mama yake. Mama Musira ni mtoto wa kwanza kuzaliwa katika familia ya mama yangu mzazi. Pia yeye alikuwa kama mama mlezi wa mama yangu wakati pindi alipo kuwa akisoma Rugambwa Secondary School.
Hapa ni Makubwa, mimi, na da Eddie (1st born wa makubwa) back in 2010 Nilipo enda wasalia ndugu zangu wa Musoma baada ya kutoka kusalima ndugu zangu huko vijijini Utegi na Kowak.