Cheka uongeze maisha!

screenshot_2016-09-26-07-39-13-1-1

Matukio katika picha: Oprah Winfrey na timu yake

screenshot_2016-09-24-13-23-17-1fb_img_1472436063790Nimeipenda hii picha ya Oprah Winfrey na timu yake wakiwa teyari kwenda kushuhudia ufunguzi wa makumbusho ya historia ya watu weusi hapa Marekani! Tukio hilo lilitokea jana mjini Washington D.C. ambapo makumbusho hiyo imejengwa………… Nyuma ya Oprah ni mpenzi wake (30+ yrs boyfriend / lover) Stedman Graham, wajukuu wa Stedman (walio vaa pink, and white dress), Oprah longtime best friend Gayle King (kulia) pamoja na Kirby ambaye ni binti yake Gayle King and Oprah’s guardian daughter…………. Walipendeza sana!

Matukio katika picha: Hongera Dr. Nai kwa kuvishwa pete ya uchumba!

fb_img_1474806992131screenshot_2016-09-25-07-37-15-1fb_img_1474807010314Hongera sana Dr Nai, nakutakia baraka tele katika safari ya hii ya maisha yako mapya unayo tarajia kuanza. Mungu akutangulie katika kila jambo na mipango yote uliyo nayo! screenshot_2016-09-25-00-45-46-1 Fundi / designer wako anajua sana ku-designe na kushona nimeangalia nguo zake kadhaa kwakweli ni mtaalam! fb_img_1474807000925The Doctors themselves! Pendeza sana…….hongera pia kwa mama Dr. Victoria Kisyombe kwa kule binti na sasa unamuozesha. Mungu kumbariki sana. And once again congratulations to you Dr. Nai!

Lemon Ginger zinger for slimmer belly

screenshot_2016-09-24-23-38-38-1

“Tupo kwa ajili ya kuliendeleza Taifa letu kwa faida liendelee mbele”- Innocent Mungy

fb_img_1474807609205-1Kumekuwa na Mjadala kuhusu ndege Mpya za ATCL! Nimeikuta hii mahali na naweka hapa wengine nao waone! Nikiwa X-staff wa iliyokuwa ATC, ninaelewa! Wakati mwingine ni vizuri kujua hadi uamuzi unafikiwa watu wamefanya utafiti, hali halisi ya viwanja vyetu na sababu zipi kwa chaguo husika!

BOEING VS BOMBARDIERfb_img_1474548653290KWANINI TUMENUNUA BOMBARDIER?

Shirika letu la ndege lilikufa kwasababu ya kushindwa kujiendesha kutokana na gharama kubwa za uendeshaji pamoja na ufinyu wa abiria wanaotumia usafiri wa anga!

Mwanzo nilifikiri labda ni wizi unafanyika lakini baada ya kujua gharama chache za uendeshaji nikaona ni sawa kwa shirika hili kushindwa kujiendesha.

Naomba nianze na bei ya Boeing

Boeing inauzwa dola milioni mia mbili tisini na sita(US296millions) wakati Bombardier Q400 inauzwa dola milioni 35 tu(US35millions)

Kumbe badala ya kununua Boeing moja ni heri tuongezee dola milioni kumi na tisa(US19millions) tununue Bombardier tisa(Bombardier 9)

Hesabu yake:

Boeing price US296 millions
Bombardier Price US35 millions
(35×9=315)
315-296=19

Ambapo hizi Bombardier tisa zingetusaidia kwa upande wa shirika kujiendesha lenyewe na kutupatia faida kubwa kwa mara tisa kwa Taifa.

Kuhusu Speed ya Boeing ni kweli ni kubwa kuliko Bombardier kutokana na uchomaji wa mafuta, Speed yake ni 590mph wakati speed ya Bombardier ni 414mph au 667km/h

Kama kutoka Dar to Mwanza ni Km 1100 maana yake Bombardier itatumia saa moja na dakika arobaini (1 hr and 40mnts) wakati Boeing itatumia saa moja na dakika kumi na tano(1hr and 15 mnts) tofauti ni dakika 25 tu

Boeing inatumia dumu moja la mafuta la lita 4 kwa sekunde moja kwa hiyo kwa lisaa limoja inatumia lita elfu kumi na nne mia nne (14,400) (4l×60s×60m)

Kwa mfano:

Mafuta ya ndege kwa lita yakiuzwa shilingi 2000 maana yake ili tutie mafuta ya kuelekea safari ya Songea inayochukua takriban saa moja tu tunahitaji milioni 28,800,000(14,400×2000)
Na tunahitaji abiria 96 watakaolipa Tsh 300,000 ili kuweza kulipia gharama za mafuta tu.

Hapo hatujajumlisha gharama za service na wafanyakazi na wala hatujapata faida yoyote

Bombardier inatumia 1.187lita ya madumu ya mafuta kwa mile moja yaani ukikadiria inatumia lita moja ya mafuta kwa mile moja (1mile=1.6kms)
Songea to Dar Air Distance ni takribani kilometa 537=335.625miles

Kwahiyo itatumia lita 398.386875 ambazo ukizizidisha kwa gharama ya Tsh 2000 kwa lita unapata laki saba tisini na sita elfu mia saba sabini na tatu=796,773

Kiuchumi kugharamika 28,800,000 na kugharamika 797,000 bora kipi?

Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu na mwenye kutaka shirika hili kujiendesha kwa kibiashara ni lazima atumie Bombardier ili apate faida.

Pia kutokana na hali ya viwanja vyetu ndege hizi zinafaa kwa sababu zinaweza kutua katika viwanja vya kawaida ndio maana serikali ilizinunua ndege hizi mahususi kwa safari za ndani!

Hizi ndege Bombardier Q400 zinatumika Marekani na wanaendelea kununua Shirika la ndege la American Eagle wanazo Bombardier 35 Uingereza nao shirika la ndege la Flybe wamenunua 40.

Australian Air wamenunua 20
Ethiopia wamenunua 4 kufikisha idadi ya Bombardier 19.

Hatuwezi kutenga bajeti ya serikali iende ikahudumie shirika la ndege ambalo ukitumia akili ya kiuchumi hili shirika linaweza kujiendesha na likaliletea faida Taifa na kuliinua kiuchumi.

Hatupo kwa ajili ya kujishow off kutumia ndege za gharama kubwa na zisizo na faida ili watu watuone tuna ndege kubwa no! 

Tupo kwa ajili ya kuliendeleza Taifa letu kwa faida liendelee mbele. screenshot_2016-09-25-07-13-21-1

Sharing is caring!

Young girls out there: be you, be you, and be you:- Hoyce Temu

screenshot_2016-09-23-05-23-40-1screenshot_2016-09-23-05-23-50-1

Kheri ya miaka 56 ya ndoa kwa Mzee Mwinyi na mama Sitti Mwinyi

screenshot_2016-09-25-07-37-57-1 fb_img_1472436063790Japo kwa kuchelewa, naomba niwatakie kheri ya miaka 56 ya ndoa baba na mama Mwinyi!…………Miaka 56 siyo mchezo! Tunashukuru wazee wetu kwa kuweka mfano bora kwa taifa letu! Tunawaombea kheri ya maisha marefu zaidi na baraka nyingi sana. Happy 56th Wedding Anniversary to our former President Hon. Ali Hassan Mwingi and our former FirstLady Mama Sitti Mwinyi! ❤❤

Cheka urefushe maisha yako

fb_img_1474806944143

Happy early birthday Zari!…… Hats off to you mama Tee and Diamond!

screenshot_2016-09-22-16-32-26-1 screenshot_2016-09-22-16-32-36-1Wow!………Happy birthday mama Tee wa ukweli the real bosslady! Wishing you many more countless blessings……….! I’m speechless! Laughing so hard as I know someone people right now their BLoodPressure is going Up & Down!!! Kufa hawafi lakini chamoto wanakiona!! Namacho yao “Wanakodoa kodo wanakodoa”!! #Salome ??? Mnyama umetisha sana mtoto wa Tandale!! ??????

“Naomba kuuliza, nani anatoa vigezo vya uzuri”-Hoyce Temu

screenshot_2016-09-22-05-50-53-1screenshot_2016-09-22-05-50-46-1

BAADHI YA VITU HATARISHI KWA NDOA YAKO – VIEPUKE

 

1. Gubu, tabia ya kuongea sana kwenye kitu kimoja, kulalamika na kulaumu mara kwa mara. Hii inaua sana intimacy
2. Tabia ya kupinga kila kitu, kuona kila afanyacho au apendekezacho mwenzako kinakasoro isipokuwa kile chakwako tu.
3. Ukali, ukatili na ubinafsi
4. Tabia ya kutafuta logic kwenye kila kitu, wewe kila analosema mwenzako unasema halina logic, fahamu sio kilakitu kwenye maisha ya mahusiano kina logic unayoijua wewe. Viko vingi sana vinahitaji uelewa tu. Just understand
5. Kutomsikiliza mwenzako, kila wakati kukwepa ukweli na uhalisia wa mambo
6. Kufanya maamuzi ya muhimu pasipo kumshirikisha mwenzako
Kwa kujiepusha na mambo haya utakuwa umeepusha kwakiasi kikubwa sana uwezekano wa ndoa au mahusiano yako kuharibika fb_img_1474555624518-1#ChrisMauki

Mama na vijana wake

fb_img_1474469667781Mama na jeshi lake! Beautiful chocolate boys! Mungu awalinde??

Kumbe Joyce Kiria ni wifi yangu!

screenshot_2016-09-22-07-31-32-1Mwe! Leo nilikwenda mchungulia mama wa #Mwanamke Piga Kazi! Eeh! Sinikakutana na hii post yake anasema “harudi mtu Kibosho”! Ndio nikagundua kumbe Joyce ni shangazi yake mwanangu ??? Haya Joyce kuanzia leo mie nakuita wifi ole wako ukatae undugu na mimi ??? Halafu sijui nitoboe siri nyingine ??? ngoja nilewe kwanza zikipanda nitamwaga radhi lol!……. Hongera wifi yangu wewe mchakarikaji sana. Lakini wifi, huoni wewe kufanya biashara ya kupika unawanyima riziki mama ntilie?! Kwa nini wewe using’ang’anie “Wanawake Live”!…….Nawaza tu kwa sauti??

“Ni matarajio yetu kwamba nauli itashuka”- Shy-Rose Bhanji

fb_img_1474548653290Pongezi nyingi zimfikie Kamanda Mkuu Rais JPM kwa uamuzi wake wa kufufua Shirika la Ndege Tanzania-ATCL. Ni faraja kuona ndege 2 mpya baada ya kilio cha wengi kutaka usafiri wa ndege upatikane kila kona ya nchi. Ni matarajio yetu kwamba nauli itashuka na huduma itakuwa ya uhakika. Ni faraja kwamba sasa tutaanza kufanana na nchi wenzetu wanachama wa EAC ktk usafiri wa anga.fb_img_1474548662004Congratulations to our Commander in Chief HE JPM for availing 2 planes for ATCL. It is to our great relief that air transport will improve considerably. We believe the fare and service will be customer friendly and that we shall be at Par with other EAC member states in terms of air travel.

Picha nilizopenda siku ya leo

fb_img_1474470178398 Jackline Ntuyabaliwe……..kapendeza sanafb_img_1474469799741 Veneranda Mwita……..my wifi umependeza sanafb_img_1474469715852Mwajuma and her friend………japo walikuwa kwenye tukio la msiba lakini nimependa walivyo vaa……poleni sana

Foster Collection

fb_img_1474469580925 fb_img_1474469544839 fb_img_1474469476742 fb_img_1474469460459

Don’t ever, ever, ever give up! #UsikateTamaa

img_20160921_075301Kaza kamba! Usikate tamaa kwasababu maisha yako ni duni kwani kuna sababu kwanini maisha yako ni duni ! Mungu peke yake ndiyo anajua sababu! Wewe anza safari ya kufikia ndoto zako hivyo hivyo mdogo mdogo  utafika tu na Mungu atakufunulia sababu ya kwanini ulipitia hayo maisha!……. Hata Rome haikujengwa kwa siku moja! Ilichorwa kwanza kabla ya kujengwa! Na naamini huo mchoro wa ramani yake kuna mahali walikosea wakafuta na kuanza upya!! #Usikate Tamaa

Thank you God I’m not dead!

fb_img_1474469660288screenshot_2016-09-21-09-53-57-2

“Kuwa mtulivu utavuka tu”-Dina Marios

screenshot_2016-09-21-09-39-15-1

MOLACAHO furniture

fb_img_1474468951213Made in Tanzania! Furniture za uwakika na quality za kimataifa! Fika Village Walk Mall ukajionee mwenyewe!

Blog