William Kamkwamba: The African brain!

screenshot_2016-09-21-09-56-17-1

Happy 9th birthday Malaika Kakoschke!

screenshot_2016-09-21-09-49-00-1Better be late than never! Happy 9th birthday binti Malaika. Wishing you countless blessings! With ❤ screenshot_2016-09-21-09-48-20-1Please follow her kwa IG anakwenda kwa jina la BintiMalaika ??

Picha iliyonivutia zaidi

fb_img_1474455701369-1Simfahamu lakini nimependa sana jinsi alivyo vaa!

Rais Magufuli aonyeshe hasira zake dhidi ya Ufisadi kwenye huu ufisadi mkongwe wa IPTL- Zitto Kabwe

fb_img_1474302356894Nimesoma ‘ arbitral award ‘ ambayo Benki ya Standard chartered wametunukiwa na ICSID ( case no. ARB/10/20 ) na kuumizwa sana kutokana na kwamba hoja zote ambazo zimetumika kuwapa ushindi SCB ndizo Kamati ya PAC ilizijenga kwenye Taarifa yake Maalumu iliyopitishwa na Bunge na kutolewa maazimio 8. Ndio hoja hizo hizo zilibezwa na Serikali chini ya Waziri Sospeter Mwijarubi Muhongo na umma kuambiwa kuwa TANESCO hawatakuwa na madai dhidi Yao.

Mahakama hii ( tribunal ) ya ICSID imethibitisha maonyo ya PAC kwamba hasara Kwa Nchi kwenye kashfa ya #TegetaEscrow itakuwa Ni mara mbili ya Fedha zilizochotwa kwani mwenye Mali akijulikana tutapaswa kumlipa tena. Tulimpa Harbinder Singh Seth tshs 306 bilioni na tunapaswa kuwalipa SCB tshs 320 bilioni. Jumla tshs 626 bilioni. Na bado tunamlipa Seth kila Mwezi $4m Kwa umeme wa mtambo alioupata kitapeli.

ICSID imesema IPTL Ni Mali ya Standard Chartered Bank.

Rais John Magufuli ana fursa ya kihistoria kumaliza kabisa huu mtandao wa wizi na utapeli uliodumu toka mwaka 1995.

Jitambue, jitafakari, jiamini, anza safari- Jackline Ntuyabaliwe

screenshot_2016-09-21-09-12-57-1

Cheka uongeze maisha!

fb_img_1474401172650

Tafadhali hiyo picha ya #Kidoti haina huusiano na hii story. Nimeitumia ili kuwakumbusha kumuunga mkono mrembo wetu!…..??

Source: haijulikani

Tanzania breast cancer foundation: “Race for the cure”! Register today!

screenshot_2016-09-21-06-03-42-1

Wazazi! wazazi! Wazazi!

screenshot_2016-09-20-14-23-36-1Wazazi! Kuweni karibu na watoto wenu ili wawe huru kuwaelezea kitu chochote kile! Tukio hili limetokea U.S.A lakini linaweza tokea sehemu yoyote ile hapa duniani! Usiamini mtu baki na mtoto wako hata awe na elimu au pesa kiasi gani!…….. Hii siyo mara ya kwanza kutokea kwa tukio kama hili hapa U.S.A. hata mwaka jana lilitokea kama hili soma ? #Wazazi! ……… Mungu awape hekima wazazi wote ili waweze lea watoto wao kwa busara, hekima, na upendo. Napia awalinde watoto wote!

“Ningependa kusisitiza kuwa heshima ni lazima kazini na hata kwa jamii inayokuzunguka”-Hoyce Temu

screenshot_2016-09-20-09-23-32-2screenshot_2016-09-20-09-23-39-1

Prayer is a weapon!

screenshot_2016-09-20-14-41-53-1Maombi ndio silaha! Hauitaji kukesha kanisani ndo maombi yako yasikike, hapana! Hata ukiwa unatembea omba kimoyo moyo! Hata ukiwa unaoga wewe omba tu na maombi yako yatasikika! #Usikate Tamaa

Picha nilizopenda siku ya leo

screenshot_2016-09-19-11-18-40-1-1-1 Miss Winfrey akiwa na TD Jakes…………. Wamependeza sanascreenshot_2016-09-19-16-29-19-1 Huyu dada simfahamu lakini nimependa alivyo vaa……… Picha nimetoa kwa Wema Sepetuscreenshot_2016-09-19-16-23-37-1Zari muke ya Chibu,  mama yake na Queen Latifa kapendeza sana

Never be ashamed of what you’ve been through!

img_20160919_170016screenshot_2016-09-19-16-54-55-1-1

Picha iliyonivutia zaidi!

fb_img_1474287930985fb_img_1472436063790Mama wa LB! A.K.A Kichuna cha Kizaramo! Muke ya Mali Kimesera katika ubora wake! Kapendeza sana akiwa amevalia nguo ya ubunifu wake katika moja ya matukio maarufu huko ATL! …… hongera sana

Bado haujachelewa!

screenshot_2016-09-19-11-18-40-1Penye nia pana njia! Kama bado unapumzi ya uhai na afya tele basi bado unaweza kutimiza ndoto zako haijalishi una umri gani! #UsikateTamaa……..Very happy TD Jakes anakuja na Talk show yake kwenye OWN! I’m a big fan of both Oprah and TD Jakes! Can’t wait!…..    Hii itakuwa ni talk show yake ya pili.

“ESCROW INAENDELEA KULITAFUNA TAIFA”-Zitto Kabwe

Kwanini Rais Magufuli hafanyii Kazi suala la IPTL? Matapeli hawa wataendelea kuipa hasara Nchi yetu mpaka lini? Sasa mahakama ya ICSID imeamua kuwa Benki ya Standard Chartered ilipwe Shilingi Bilioni 300 na riba. Kiwango Hicho Ni zaidi ya Bajeti ya Wizara ya Viwanda.

TANESCO wanaingia Hasara hii Kwa sababu ya wizi wa Fedha za TEGETA Escrow na Rais bado anavuta miguu kuchukua hatua dhidi ya suala hili. Nini kimemkuta Rais Magufuli? Rais Kwanini hashughulikii Ufisadi huu wa IPTL/PAP? Nini Kinamzuia Rais Kuchukua Hatua dhidi ya Wizi huu wa Dhahiri Kwa Taifa

Tanzania Tunapata Hasara mno, Na Hizi zote Ni Fedha za Wananchi zitakazopotea.

• Watanzania mmelipa matapeli Fedha zilizokuwa kwenye “TEGETA escrow account”, Fedha ambazo ziligaiwa Kwa Viongozi mbalimbali wakiwemo Mawaziri.

• Watanzania Mmewapa Mtambo wa kuzalisha umeme matapeli hao na mnaendelea kuwalipa “capacity charges” mpaka sasa – Kinyume Kabisa na Maazimio ya Bunge yanayotaka Mitambo Husika itaifishwe.

• Baada ya Hukumu hii Watanzania tutawalipa Standard Chartered Fedha zao kwa mtambo ambao sio wenu na Kwa Fedha ambazo (Kama tungelazimika Kulipa) tungezitoa kwenye Akaunti ya Escrow – Lakini sasa tutazitoa Hazina zikiwa ni Kodi za Watanzania.

Ushauri Wangu – Rais achukue Hatua Zifuatazo

• Awafikishe Mahakamani watu wote waliohusika na kuitia Nchi hasara katika sakata la TEGETA Escrow.

• Aitwae mitambo ya IPTL kisheria na kuimilikisha Kwa TANESCO (Kama ilivyoazimiwa Na Bunge).

• Amkamate Bwana Harbinder Singh Seth na wafuasi wake wote na kuwafikisha Mahakamani Kwa makosa ya Utapeli, Wizi, Uhujumu Uchumi, Utakatishaji wa Fedha nk.

• Ahakikishe Taifa halilipi Fedha Hizi Kwa Standard Chartered. Benki iliyotumika Kupitisha Fedha za TEGETA escrow ndio ilipe Hilo deni tunalotakiwa kulipa.

MUHIMU: Rais AAMUE Kusimama na WATANZANIA au kusimama na “Matapeli wa TEGETA escrow”. fb_img_1474302356894Zitto Kabwe Ruyagwa
Sept 19, 2016

Jokate Mwegelo a.k.a Kidoti! Hongera sana

fb_img_1474295648993Holy Cow! What a gorgeous lady! Nasikia kumbe huyu ndo wifi yangu kwa Ali Kiba! My brother! ? across the board! Hongera sana kaka Kiba kwa kumiliki binti mrembo, na mkarimu namna hii! fb_img_1474295587272Hongera sana Kidoti kwa kuja na school supplies za brand yako! ………Tumuunge mkono mrembo wetu ili azidi saidia watoto haswa mabinti wenye uwezo mdogo!fb_img_1474287848703Wow! Too cute!screenshot_2016-09-19-09-33-47-1How nice! ??

 

Dada wa taifa katika ubora wake!

fb_img_1474291961145fb_img_1472436063790Mie nampenda sana dada yetu! Such a humble lady! Unafiki kwake ni mwiko! Anajali, ana heshimu, na kuthamini watu wote bila kujali rangi zao, wala vyama vyao vya siasa. Ee Mungu tulindie dada yetu na uzidi kumbariki! We love you Shy-Rose Bhanji!

“Naongea na wadogo zangu haswa watoto wa kike”…..!-Hoyce Temu

screenshot_2016-09-19-08-35-21-1screenshot_2016-09-19-08-35-10-1

What a tribute! Hongera Diamond!

screenshot_2016-09-19-07-23-38-1fb_img_1472436063790Hongera sana Chibu Dangote umetisha sana “mnyama”! Mie kwakweli nimezipenda zote ila kama nataka ku-dance kisawa sawa then version ya Saida karoli ndo nitaiweka kwani ile migoma na midundo inaniinua kwenye kiti! Lakini kama nataka just to have a little fun na kucheka na marafiki zangu basi version ya Diamond ndo nitaiweka! Mwanangu yeye amependa zaidi version ya Diamond! ………but in general BRAVO! Very well done! Btw, napenda sana yule Harmonize ana nyimbo zenye ujumbe mzuri sana. I love him as well!……. Gosh! Where is my brother Ali Kiba jamani! Aje basi! Mie sina timu I enjoy kusikiliza nyimbo za Diamond more lakini nawapenda wote. Kiba mtoto wa mtaani kwetu tumekuwa wote so he’s my brother and I will always be his fan!!

Nawatakieni wiki njema!

fb_img_1474287833296Wapendwa, nawatakieni wiki njema yenye amani, upendo, furaha, na mibaraka tele! Mbarikiwe!

Blog