Walk for Kagera-Sept 17th

fb_img_1474070305454

“Usikate tamaa” by MeTL

Leo tumezindua rasmi kempeni ya “Usikate Tamaa” fb_img_1474070235644 Kampeni hii ilizinduliwa na Mkurugenzi wa Masoko wa MeTL Bi Fatema Dewji-Jaffer.  “Usikate Tamaa” ni kampeni kuhusu utoaji wa matumaini kwa jamii kupitia simulizi za watu waliokuwa na kipindi kigumu na wakafanya vyema, simulizi hii ni kwa ajili ya maendeleo ya kijamii.

Chapa yetu inajitofautisha sana na wengine katika soko si kwa sababu ya kuuza soda tu bali ni ile imani yetu kwamba kwa kila tufanyacho tunabadili maisha ya watu wetu.

Katika kampeni hii hatukulenga tu kufanya biashara lakini, MeTL kupitia chapa yetu ya Mo tunataka kutengeneza hisia, tunataka wananchi wetu kuhamasika wakati wanakunywa vinywaji baridi vya Mo, tunataka vinywaji vyetu kuwapatia matumaini zaidi kuendelea kupambana licha ya kuwepo kwa changamoto mbalimbali fb_img_1474070242848Na sisi katika MeTL kupitia chapa yetu ya Mo tunaheshimu huo uwezo wa kutokata tamaa ambao watu wanao bila wao kujua, tunataka kuheshimu hilo, tunataka kuwapa tunzo watu hawa wa kawaida, tunataka kuwapa sauti ili watu wengine wawaige, hilo ndilo hasa linalomanaanisha kampeni hii ya Usikate Tamaa, huu ni mwanzo tu lakini tuna mengi sana katika siku zijazofb_img_1474070250224Katika uzinduzi wa kampeni yetu tulipata fursa ya kusikia simulizi za msanii maarufu wa miziki Tanzania, Sheta. Alisimulia magumu na vikwazo aliyopitia mpaka kufikia mafanikio bila ya kukata tamaa

Picha iliyo nivutia zaidi

fb_img_1474033203811Beautiful!

Picha nilizopenda siku ya leo!

bella-ayugi-20160913_234259Nimependa hii picha ya Bella Ayugi-Twakyoondo nafikiri hii milima itakuwa alikuwa Tanga! Mtu kwao ati! Ukipenda boga sharti upende na ua lake! Beautiful! nyasungu-20160914_201123Magreth, kapendeza sana fb_img_1474047761803Hawa Gwao, kinyumbani zaidi! Kapendeza sana

Mama na kijana wake!

fb_img_1474033302201How beautiful is this! Jacqueline na mtoto wake wamependeza sana!

Follow the trail of your dreams!

img_20160916_124121

Jackie furniture store

fb_img_1474033262013 fb_img_1472436063790Haya jamani mrembo wetu Mrs Mengi katufungulia duka la furniture la kisasa kabisa na quality ya hali ya juu huko Sea cliff, Dar es salaam liendalo kwa jina la “Jackie”! Basi kama wewe ni mpenzi wa furniture na uwezo wako unakuruhusu basi Jackie ndo sehemu yako! Usikose!….fb_img_1474033220417Hongera sana! Mlipendeza mno warembo, I loved Nancy’s dress more!

Michael Owinos’!

fb_img_1474032563991-1My shemeji is cuter than yours ??? Michael Owino mjaluo mzungu looking so fine! ??

The benefits of eating Banana flower

screenshot_2016-09-15-16-42-25-1-1fb_img_1473857436412

Ujumbe wangu kwa Maria Sarungi-Tsehai

fb_img_1472436063790Siku ya jana kama ilivyo kawaida yangu nilipita huko Facebook kuangalia ni nini cha ku-share nanyi siku ya leo. Basi nikakutana na huu mjadala ambao mpaka muda huu nawaletea bado muhusika hajatoa majibu au kutoa ufafanuzi wa kutetea alichokisema. Hivyo sijajua kama ameona hamna haja ya kutoa maelezo zaidi au hakuona maoni ya mmoja wa mashabiki zake!……..Embu soma kwanza hiyo status iliyo andikwa na Maria Sarungi-Tsehai na pia usome maoni ya kaka Tommy kabla ujasoma mtazamo wangu!
img_20160916_085301fb_img_1472436063790Mmmh! Labda nianze kwa kusema kuwa ni kweli nakubaliana na Maria kuwa maisha ni “safari”! Lakini kitu amabacho Maria ameshindwa kuelezea watu ni kuwa hii safari ya maisha kila mtu ana yake kama ilivyo kwa safari nyingine! Kila mtu alikuja dunia kwa suku yake, muda wake, na ataondoka hapa duniani kivyake! Hatukuja wote siku moja hivyo safari zetu haziwezi fanana hata siku moja!

Kama zilivyo safari zingine watu ujiandaa na kubeba vitu tofauti wanapo safiri. Ndivyo ilivyo safari ya maisha yetu hapa duniani katika kile tunacho amini kukimbilia kama our destiny! Huwezi hata siku moja kulinganisha safari ya mtu aliye pitia maisha ya unyanyasaji wakati wa utoto wake na wewe ambaye umeishi maisha ya upendo siku zote! Safari ya mtu ambeye ni victim of child abuse ni tofauti sana na yako wewe Maria kwani huyu mwingine anasafiri na mzigo mkubwa mgongoni kwake ambao teyari ni kikwazo cha yeye kufika katika safari yake akiwa salama bila kukata tamaa na kwa speed ambayo wewe unaenda nayo!

Safari yako wewe Maria haiwezi kufanana na mtoto aliye zaliwa kwenye mazingira duni “uswahilini”! Ambapo wazazi wake siyo tu hawakuwa na uwezo kifedha bali hata elimu ya maisha ya hii dunia hawana! Hivyo nakubaliana na Tommy kuwa hatuwezi wote kuwa wakwanza kwani hiyo siyo issue! Naomba uelewe kuwa sisemi kuwa ni dhambi kwa wewe kuzaliwa Masaki, kukulia Masaki, na kuishi Masaki! Hapana! Ila nilitegemea kwa elimu uliyonayo na exposure uliyonayo ungekuwa muelewa zaidi katika maswa haya ya kufikia malengo a.k.a “safari” kwani hakuna dhambi mtu kuwa wamwisho kufika! Ulichokisema kinaonyesha some sort of dharau kwa wengine ambao bado wapo safarini, ego, na ushamba fulani wa mawazo mgando! Napia inapingana na msg ambayo uliandika hivi karibuni. Soma ? Mwanariadha

Umesema “ukijaribu kuhama-hama njia kila wakati bila mpangilio utapata madhara” ??? Kwakweli imenibidi nicheke kwanza! Hivi, unajua hii miili yetu tunatofautiana?! Kuna watu wapo safarini ambao ni wagonjwa (iwe kifedha, maradhi ya kawaida ya mwili, psychological trauma, emotional abuse, au kiroho) hivyo saa nyingine inabidi wasimame bila kutegemea!! Unafahamu kuwa wanapo rudi kwenye bara bara kuna uwezekano mkubwa sana wasirudi kwenye the same line waliyokuwepo mwanzoni?!! Na mtu utajuaje kuwa hii bara bara ni nzuri kwangu au hapana bila kujaribu kupita?! Mbona Prof. Sarungi aliingia siasa?! Mbona wewe sasa unataka kuwa entrepreneur, wakati huo huo unataka kuwa mwana harakati, na bado mambo ya urembo umeshikilia? Tofauti yako wewe na hao wanao hama hama bara bara ni nini?! Siyo wote wamezaliwa Oysterbay kwenye bara bara za lami, mipangilio ya mitaa, na taa kubwa zikimulika wakati wagiza!! Inabidi wajaribu kila kitu kabla ya kujua nini ni wito wao katika hii dunia! 

Maria, najua ni ngumu sana kwako kuelewa hichi ninacho kiongelea kwani wewe huja experience maisha halisi ya mtoto wa “mlala hoi” wa Tanzania au mtoto wa “uswahili”! But my dear don’t only use your brain to think but use your heart as well! Try to be sensitive na hizi msg zenu nyie watoto wa “Masaki” haswa kama kweli nia yako ni ku-inspire people na kuwa mfano mzuri kwa jamii!! katika maisha kinacho jalisha ni uthubutu wa kuanza safari na si kuwa wa kwanza kufika. Hata kama itakuchukua mika mia moja as long as umejaribu na umefika that is all that matters! Siyo lazima kila mtu atembee au kuendesha safari yake kwa speed yako wewe ndio uone kuwa wapo kwenye njia salama! Acha watu watembee kwa speed ambayo wao wanaiweza. Wewe jukumu lako ni kuwahimiza wasikate tamaa na kuishia njiani na siyo kuwatupia maneno ya ukandamizaji wa kisaikologia!! Every ‘saint’ has a story to tell and who are you to judge!

Halotel kwa mawasiliano yenye ubora zaidi!

fb_img_1473857436412Halotel inajali sana wateja wake siyo tu kwa kuwapa mawasiliano ya gharama nafuu bali pia kulinda afya zenu! Hivyo inawakumbusha kujali afya zenu kwa kula vizuri ili tuwe pamoja kwa miaka mingi! ………Halotel has lifetime commitment to serve her customers!

Picha nilizopenda siku ya leo!

fb_img_1473861467144Urafiki unanoga sana kama ukipata rafiki muaminifu! ……….May Igogo (kushoto) pamoja na rafiki yake. Wamependeza sana fb_img_1473861412745Wadada wa nguvu! Hawa ni marafiki toka wakiwa secondary hadi leo hii ambapo kila mmoja anakwake lakini bado wameshibana! Nice!

NAILILIA KAGERA (BUKOBA) YA WAJUKUU ZANGU-Peter Sarungi

fb_img_1473861345540
Peter Sarungi

Mimi babu yenu Peter Sarungi kutoka Mkoani Mara wilaya ya Rorya wa kabila la kimataifa la LUO, naandika salamu hizi kwa masikitiko makubwa na huzuni nyingi kwa janga la tetemeko lililowakumba wajukuu zangu. Najua mpo katika huzuni kubwa na inawezekana janga hili limewatonesha vidonda na majeraha makubwa mliyowahi kuyapata miaka ya nyuma, vidonda vilivyosababishwa na MV Bukoba, Vidonda Vilivyosababishwa na Vita vya Idd amin dada na Vidonda vilivyosababishwa na Chimbuko la ugonjwa wa UKIMWI. Hakika majanga haya yameacha vidonda na alama ya huzuni kwa wajukuu zangu kwa kuondokewa na wapendwa wenu wengi mliowategemea na kuwapenda. Niwatie moyo kwa kusema kuwa mimi Babu yenu nawaombea kwa Mungu awafariji na kuwavusha salama kutoka katika kipindi hiki kigumu na awasamehee, kuwalinda na kuwaepusha dhidi ya majanga mengine.

Nawapenda sanafb_img_1473861327089Mungu azilaze roho za wapendwa wajukuu zangu mahala pema peponi…Amin.

Mama na jeshi lake!

fb_img_1473861368306Foster na vijana wake! Chocolate boys wa nguvu! Wamependeza sana. Mbarikiwe!

Ugonjwa wa Kansa: Mionzi peke yake haitoshi kutoa tiba…..!

Asante sana Mzee Dominicus Kihwele kwa somo muhimu sana kwetu sote kuhusu ugonjwa wa Kansa! Kwamba tiba pekee sio mionzi tu…

1. Kila binadamu ana seli za kansa mwilini na ili ziweze kuonekana kwenye vipimo na lazima ziwe zimezaliana kwa wingi. Ukipimwa na kukutwa huna kansa ni kwamba vijidudu havijazaliana hadi kufikia kiwango cha kusomeka katika vipimo.

2. Seli za kansa hujitokeza mara 6 hadi 10 katika naisha ya binadamu

3. Kama mtu hana upugufu wa kinga mwilini basi seli za Kansa hushambuliwa na kuzuiwa kuzaliana ili zisilete madhara mwilini

4. Ikigundulika kuwa mtu ana kansa ni kwamba mhusika hana baadhi ya virutubisho muhimu mwilini, na hali hii hutokana na sababu kadhaa kama, kuzaliwa nayo (kurithi), mazingira, aina ya vyakula tutumiavyo au mitindo fulani ya kimaisha

5. Ili kuzuia upugufu wa kinga mwilini ni muhimu kuwa tunabadilisha milo (aina za vyakula),pamoja na kutumia virutubisho kutaimarisha kinga mwilini.

6. Tiba ya Kuchoma mionzi huua ukuaji wa seli za kansa lakini wakati huohuo huua chembe nyekundu kwenye ute ute ulioko katika mifupa na hivyo kuweza kusababisha magonjwa kadhaa kama ya mapafu, ini, nyongo n.k

7. Wakati mionzi inaua seli za Kansa pia huunguza na kuharibu chembe chembe hai nyeupe za ulinzi wa mwili, tishu na viungo vingine muhimu mwilini

8. Matibabu ya mwanzo ya kutumia mionzi hupunguza ukuaji wa seli za Kansa ili zisilete madhara zaidi, ila matumizi ya mionzi mara kwa mara sio mazuri

9. Mwili ukishakua na sumu nyingi kutokana na mionzi, kinga ya mwili huwa imepunguzwa Kama si kuharibiwa kabisa na kusababisha madhara zaidi kwa mgonjwa

10. Tiba ya mionzi ikitumika mara kwa mara husababisha seli za kansa kuwa sugu na hivyo kuwa vigumu kuteketezwa na hivyo kusambaa sehemu nyingine mwilini

11. Njia bora ya kupambana na kansa ni kujitahidi kula vyakula ambavyo havisaidii kuongeza uzalianaji wa seli za kansa

**Seli za Kansa hustawishwa na**

a. Sukari. Yatupasa kupunguza matumizi ya sukari, tutumie bidhaa mbadala kama asali.

b. Maziwa husaidia seli za Kansa kukua

c. Seli za kansa hupendelea mazingira ya asidi hivyo nyama za ng’ombe pia Kitimoto ni changamoto bora kutumia samaki au kuku

d. Kwa asilimia 80 kinga ya mwili hujengwa na mboga za majani na juisi, nafaka, mbegu na karanga, korosho, matunda huusaidia mwili kuwa katika hali ya alkali hivyo seli za kansa hazifurukuti. Asilimia 20 ya vyakula inaweza kupatikana katika vyakula vya kupikwa yakiwemo maharage.

e. Jizuie matumizi ya kahawa, chai na chokoleti kwa kuwa zina kiwango kikubwa cha sumu iitwayo kafeini. Chai ya kijani (green tea) ni mbadala mzuri kwa kuwa ina virutubisho vya kupambana na Kansa

12. Protini ya nyama ni ngumu kufyonzwa mwilini hivyo mabaki yake mwilini hujenga mazingira ya seli za Kansa kujijenga

13. Ukuta wa seli za kansa umefunikwa na pritini ya ukweli, hivyo tukipunguza matumizi ya nyama tunazisaidia chembe hai za mwili kuziharibu seri za Kansa

14. Baadhi ya virutubisho husaidia sana kuongeza kinga mwilini

15. Kansa ni ugonjwa wa akili, mwili na roho. Hivyo juhudi za maksudi za kuwa na imani zaidi husaidia kuondoa hofu.

Hasira, kutosamehe na uchungu huufanya mwili uwe katika hali ya ASIDI ambayo husaidia seli za Kansa kujuinua. Jifunze kuwa na upendo na roho ya kusamehe. Jifunze kutulia na kufurahia maisha.

16. Seli za Kansa hazipendi mazingira yenye hewa safi na ya kutosha ya oxygen , hivyo mazoezi ni tiba pia.

Chanzo: Penny Tenga fb_img_1473857436412Halotel inajali sana wateja wake siyo tu kwa kuwapa mawasiliano ya gharama nafuu bali pia kulinda afya zenu! Hivyo inawakumbusha kujali afya zenu kwa kula vizuri ili tuwe pamoja kwa miaka mingi! ………Halotel has lifetime commitment to serve her customers!

Mpende akupendaye!

magreth-igogo-20160910_091557Ukishikwa sharti uonyeshe ushirikiano! ………. My wifi  is cuter than yours! Kaka zangu wanajua chagua LOL!……. nice pic brother!

Poleni sana watani zangu! #Pray for Bukoba #Pray for Kagera

img_20160914_080038fb_img_1472436063790Watani zangu,  poleni sana kwa maafa yaliyo wakuta! Tupo pamoja wapendwa, Mungu awape uvumilivu katika kipindi hichi kigumu!……. Naomba mkumbuke yakuwa sisi Wajaluo tu wakarimu sana hivyo kama huko si salama kuishi basi wala msisite! Kuweni huru kabisa kuamia UJALUONI tutawapokea kwa moyo mkunjufu ??

Jamani wee Muhaya vipi? Siye wajaluo tukitupa jongoo huwa hatutupi na mti wake you just never know ?? haya basi twende zetu tukatoe misaada huko kwenu nasikia ndugu zako hawana pakulala ??

Picha iliyo nivutia zaidi!

Screenshot_2016-09-07-08-14-28-1This is my hot pic of the day! Beautiful!…..keep that smile alive!

Tunawatakie EID njema!

fb_img_1473683206327fb_img_1472436063790EID njema wapendwa!kumbuka Halotel bado ndiyo habari ya mujini na vijijini! Jiunge nao leo wala hauto jutia!…….. EID Mubarak to all Muslims around the world!

Picha niliyoipenda siku ya leo!

fb_img_1473683493674Mtani wangu akiwa na niece wake……Kapendeza sana! Mbarikiwe wote

Blog