Hot pic of the day

Screenshot_2016-08-24-13-00-35-1Mali Kimesera and Linda Bezuidenhount family wakiwa kwenye weekend gateway (min vacation) huko North Carolina kwenye milima inayo toa moshi (smokey mountains)! What a beautiful family! Hii family itapendeza sana ikiwa na reality show yao kwa TV ?? si hata nyie mnaiyona inavyo vutia eeh ?? glory and honor be to God!

“If she’s worth it, you won’t give up “!

FB_IMG_1472063089134

Manhood: Kareem

FB_IMG_1472062589393Kareem (London), kapendeza sana anaonyesha jinsi gani anavyojiamini kwenye camera! Ameitendea haki camera……!

Father and daughter moment

FB_IMG_1472063059523 President Obama na binti yake wakiendesha bicycle kama njia moja wapo ya kufanya mazoezi……….. Inapendeza sanaFB_IMG_1472062955001Lovely moment!

“Every woman is born a princess. Yet not every woman grows to become a queen”!

GOD IS RAISING AN ARMY OF WOMEN FB_IMG_1472063495137

Every woman is born a princess. Yet not every woman becomes a queen. Being a queen requires growth, change, evolving, maturing; and learning to value, respect, and care for yourself and serve others. Esther was selfless and willing to even die as she went before the king and plead with him to stop the death of the Jews. Back then you could be killed if you approach the King when he had not called for you , so this involves being more selfless than you are selfish, and more loving than you are defensive.

A queen is a woman who knows who created her and the purpose for which she was created. After Esther became a Queen it didn’t end there. She would pray and fast to fulfill the reason why she had been made Queen which was saving the Jews. A queen is a woman who never stops growing into who she ought to be, a wise woman who is rarely in the midst of gossip, and who partakes not in drama and childish things. Esther knew the dangers of what could have happened to her but she didn’t stop or give excuses. A queen is a woman who is strong-minded, intelligent yet humble, soft spoken, and doesn’t justify her weaknesses, but daily focuses on improving. A queen is everything a princess has potential to become. Until a woman grows into the queen she is created to be, she will remain a lost princess.”

Like Esther, discover your purpose of living and your God-given path which leads you to the palace. Your purpose will open doors for you as proverbs 18:16 tells us. Don’t get too comfortable being an idle queen but keep forwarding ahead. Be a woman of prayer, fasting and daily meditation of the word of God. God is raising women like Esther to arise from being a lost princess to becoming a Queen.

By: inspired with T_sha

Don’t hasitate be original that’s how change happens-Maria Sarungi Tsehai

Screenshot_2016-08-24-12-08-42-1

Hot pic of the day

FB_IMG_1471974869840Gorgeous! ❤

Kati ya hawa wawili, mwanamke yupi ni bora?

Screenshot_2016-08-22-08-57-53-1Screenshot_2016-08-22-08-57-06-1Screenshot_2016-08-22-08-56-48-1Screenshot_2016-08-22-08-56-19-1Screenshot_2016-08-22-08-56-02-1Screenshot_2016-08-22-08-55-48-1Screenshot_2016-08-22-08-55-36-1

Cheka uongeze siku za kuishi

Screenshot_2016-08-14-18-28-01-1

“Inahitajika busara kubwa ili kuvunja ukuta”-Peter Sarungi

FB_IMG_1471977078685Na Peter Sarungi (Next Speaker)

Kila mtu hapa duniani ana mapungufu yake, inawezekana mtu akayajua hayo mapungufu ama laa asiyajue mpaka aambiwe. Kuwa na mapungufu ni sehemu ya uumbaji wa Mungu maana Mungu hakupi vyote vilivyokamilika na ndio maana tumekuwa na utaratibu wa kibinadamu wa kukosoana, kuelekezana, kusifiana na hata kupingana katika maswala mbalimbali. Sio jambo la ajabu kukubali unapoambiwa mapungufu yako maana huo ndio mwanzo wa kutibu udhaifu unasababishwa na mapungufu yako, lakini ni jambo la ajabu na lililokosa busara na hekima kukataa kushauriwa ama kupinga uwepo wa mapungufu yako pale unapo ambiwa.

Kuna tukio linalozungumzwa sana na makundi mengi ya kijamii Tanzania, UKUTA. UKUTA inaratibiwa na chama cha upinzani Chadema Tanzania katika kufikisha ujumbe ya madai yao, lakini pia serikali ya awamu ya tano kupitia Chama cha Mapinduzi nao wanaratibu operation ya KUVUNJA UKUTA chini ya idara ya ulinzi n usalama wa nchi. Pande zote mbili zimekuwa na matamko mbalimbali yenye kuonesha ubabe, vitisho, dhihaka, chuki, na hali ya kutokubali kurudi nyuma. Kwa historia za mambo ya kisiasa hali hii ya sasa ni hatari sana kwa usatawi wa nchi ki uchumi, siasa na jamii nzima.

UKUTA na VUNJA UKUTA ni majina tu ya operation zinazoratibiwa lakini utekelezaji wake unabeba matendo na matukio makubwa yanayozaa mbegu ya chuki itakayopandikizwa kwa wananchi na serikali yao kwa vizazi vya sasa na vinavyokuja. Hali kama hii ilianza miaka ya 90+ nchini burundi na watawala wakashindwa kisoma alama za nyakati kwa kujivunia dola wanayo miliki bila kujua kuwa dola huletwa na wananchi, matokeo yake nchi ilipata hasara na pigo kubwa linalosumbua mpaka leo.

Viongozi wetu wanahitaji kutumia meza ya mazungumzo zaidi katika kufikia makubaliano mbalimbali kuliko kutumia operation za UKUTA na VUNJA UKUTA. Mazungumzo ni busara yenye nguvu ya Mungu kuliko operation za kibinadamu zinazotumia mabomu, mawe na vurugu. Hivyo nawaomba viongozi wa pande zote mbili kujadili kwa kutumia meza badala ya nguvu. Hii ndio busara na hekima zinazohitajika kutoka kwa viongozi wetu. Mfano: video hii ya chini

inatafsiri hali halisi ya viongozi wetu wengi tunaowapa dhamani ya kulinda maslahi ya nchi na wananchi wake wanavyokosa lugha yenye matamshi ya kuleta nchi pamoja na badala yake wanatoa matamshi ya kugawanya wananchi na kushauri wajenge UKUTA mwingine maana huu wamesha ubomoa tayari, matamko kama haya yanaishi vichwani mwa wananchi kwa muda mrefu na wengine hufika mbele zaidi katika kufikiri jinsi ya kukabiliana na VUNJA UKUTA zingine zitakazo kuja mbeleni.

#My_Take Tutumie taratibu za kisiasa katika kutatua migogoro ya kisiasa balada ya nguvu za dola, migomo na maandamano.
Naipenda Tanzania kuliko chama na mwanasiasa.

Kutoka Facebook

FB_IMG_1469659269564Wapendwa wasomaji wangu, naomba mniwie radhi! Ninamambo mengi nimebanwa hivyo muda unakuwa hautoshi ndio maana inaweza pita siku sija blog. Silipwi na mtu kublog nafanya kwa hiyari yangu hivyo nipale tu ninapopata muda wa ziada ndipo ninapoweza ku blog!……………Kwasababu hiyo kuanzia leo katika kile kipengele cha “Kutoka Facebook” nitakuwa nawaletea picha zaidi ya moja kufidia siku ambazo sitakuwa na blog!……… Haya leo nimezipenda hiziFB_IMG_1471977632405Foster (Bongoland), kapendeza sana na top yake ya kitenge…..love the colors
FB_IMG_1471974913839Fina (Australia), kapendeza sana na B&W suit, pia nimependa sana kiatu chake
FB_IMG_1471974792454Hawa (Queens land a.k.a UK) nimependa sana muonekano wake na pozi la kujiamini….nice!

RIO 2016: Asanteni sana wawakilishi wetu. Nyie ni fahari ya Tanzania!

Screenshot_2016-08-21-18-26-21-1IMG_20160821_185837 Screenshot_2016-08-21-18-27-41-1 Screenshot_2016-08-21-18-28-00-1 Screenshot_2016-08-21-18-28-44-1

RIO 2016: Hongera sana Alphonce Felix Simbu

FB_IMG_1469659269564Hongera sana Alphonce Simbu kwa kushinda nafasi ya 5 katika marathon! Asante sana kutuwakilisha vyema katika 2016 Olympic Tanzania imezidi kung’aa katika ramani ya dunia! Tunakuombea afya njema ili mashindano yajayo ukatwae taji la ushindi mkuu! Hongera sana! Screenshot_2016-08-21-18-25-03-1-1

“RIO 2016: You’ll love these Olympic Underdogs”- The dailybeast.com

Screenshot_2016-08-21-18-46-27-1Screenshot_2016-08-21-18-49-11-1To read more click here

Ubarikiwe sana kaka Tumaini Kajo!

Screenshot_2016-08-19-00-35-34-1FB_IMG_1469659269564Naomba niamini kuwa haya uyasemayo yanatoka ndani ya roho yako na ndivyo ulivyo! Na kama nikweli basi ubarikiwe sana! ……….. Siyo kwamba sikuamini bali kwa experience ambayo nimepitia na kuona, nimegundua kuwa watu wengi wanaojaribu kuweka a “positive” image kwenye public si wakweli na wala hiyo “image” haiendani na huwasilia wao! Na wengi haswa wanaume wanatafuta the weakest woman ambaye ata cover na ku protect their image ya kuwa ni mtu mwema kumbe sivyo! Sorry, I’ve seen a lot of abusive men and this has nothing to do with you! Naongea in general!………. Otherwise, ubarikiwe sana! Mabadiliko yanaanza na wewe!

Je, wamfahamu John Stephen Akwari?!

Screenshot_2016-08-19-00-36-23-1-1-1FB_IMG_1469659269564Binafsi nilikuwa sijawahi msikia John Akwari mpaka juzi kati nilipokutana na hiyo ?post hapo juu. Labda nianze kwa kusema kuwa kwenye maswala ya michezo ukitoa netball, basketball, tennis, na swimming kwakweli mie si mpenzi sana wa michezo. Hivyo huwa siifatilii sana! Kwasababu hiyo ni utetezi tosha wa kwanini simfahamu John Akwari. Au pia niseme taifa letu limeshindwa kuwaenzi watu kama John Akwari na ndio sababu watu wengi hatumfahamu!…………..Lakini hiyo haikuwa sababu ya mimi kumuweka hapa. Sababu kuu nikutaka watu waguswe na habari ya huyu shujaa wetu ambaye sisi tumeshindwa jivunia wakati mataifa mengine wanajivunia na kuguswa kwa ushujaa wake!………… Najua maisha yana changamoto nyingi ambazo wengi wetu tunapitia. Na saa nyingine mateso na maumivu yanakuwa makali sana kiasi cha kutaka kukata tamaa ya kutimiza ndoto zako au kuendelea na maisha. Trust me, I’ve been there multiple times! I truly understand and know the feeling! Basi usife moyo, kuwa mshindi si kuwa wakwanza kufika bali the spirit of not giving up is the real victory! …….. Embu tazama hii video

Nilijaribu kutafuta habari yake na nikakutana na haya ?mahojiano ambayo amefanya na Issa Michuzi soma hapa ? Michuzi …….. Screen Shot 2014-12-23 at 1.21.05 PMFB_IMG_1469659269564Acha kifo ndio kiamue kuwa ndoto zako zimefika ukingoni lakini wewe kazana tu! Kama unahitaji kupumzika basi fanya hivyo! Vuta pumzi ukipata nafuu endelea na safari. Wengi tunaonekana tunatembea kiushujaa kabisa japo miyoyo yetu ina ‘chechemea’ kama matone ya drip kutoka na mambo ambayo tumepitia au tunapitia.

 

Mother and sons moment

Screenshot_2016-08-18-09-17-45-1-1Joyce Kiria na vijana wake. Wamependeza sana

Kutoka Facebook

FB_IMG_1471582160781Ni zamu ya vijana kushika hatamu! Pongezi kwa Rais Dr. Magufuli kwa kuona umuhimu wa vijana kuanza kuiliongoza taifa hili kwani dunia imebadilika, tunahitaji vijana ambao wataweza kwenda na kasi ya mabadiliko hayo…………Hongera sana Mh. Mrisho Gambo Mkuu wa mkoa wa Arusha mpya!FB_IMG_1471582147172“Hongera sana Mheshimiwa Mrisho Gambo kwa kuteuliwa Mkuu wa mkoa Arusha. Ninakutakia Kila Heri, Baraka na Mafaniko ktk nafasi hii ya kuwatumikia wananchi wa Arusha na Tanzania kwa ujumla. #ArushaNiYetuSote” hayo ni maneno yake Mh. ShyRose Bhanji Mbunge wa East Africa-Tanzania………..picha nzuri sana

Mr and Mrs Mali Kimesera katika ubora wao

Screenshot_2016-08-16-22-49-53-1Our 2016 Hottest And Best couple katika ubora wao! Wakiwa katika sherehe ya uzinduzi wa hatua nyingine mpya na nzuri ya LB for IDE´AL clothing line iliyo fanyika jijini Atlanta Georgia………Hongereni sana. Nawatakia mafanikio mengine makubwa zaidi ya haya!Screenshot_2016-08-16-22-50-34-1kwa picha zaidi kuhusu tukio hili bonyeza hapa au tembelea ukurasa wa  Facebook wa Linda Bezuidenhount

Tuache kutesa familia kwa kutafuta sifa za kijinga -Joyce Kiria

Screenshot_2016-08-18-09-16-17-1Screenshot_2016-08-18-09-17-00-1-1

Blog